G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,487
- 39,965
Mbona ile ripoti ya IMF hawaitolei pongezi?Na kweli we si unaona uwongo unahararishwa kuwa kweliView attachment 1101838
Mbona ile ripoti ya IMF hawaitolei pongezi?Na kweli we si unaona uwongo unahararishwa kuwa kweliView attachment 1101838
Inasikitisha ndio nilikuwa naitafuta Google sipatiMbona ile ripoti ya IMF hawaitolei pongezi?
Mkuu, pia Museven alipojiona kijana alibana umri wa kugombea urais uwe chini ya miaka 75 ili wazee wasim-challenge ila yeye kwa sasa ana miaka 77 amebadili katiba eti umri wa kugombea urais usiwe na ukomo. Yani hawa madikteta wanaweka sheria na matamko kwa wakati walio nao na wanabadilisha hayo kutokana na muda na muda ilimradi waitendee haki nafsi yao.Kagame alisema, muda ukifika hataongeza hata sekunde moja, akaishia kubadilisha katiba.
Mwongo huwa hawi mwongo kwa jambo moja, kwa sababu ni tabia. Aliyokwishayasema:
1) Nitatoa sh milioni 50 kila kijiji - hakuna kijiji kilichopewa
2) uchumi unaenda vizuri, tupo pazuri - uchumi unakua kwa 4%, ukuaji wa uralii umeanguka toka 15% mpaka 3.6%; ukuaji wa uwekezaji umeanguka toka 24% moaka 4%
3) kuna watu wanataka nimtoe lakini nasema sitamtoa Muhongo - Muhongo alitolewa
4) mwenye vyeti fake hata akiwa nani nitamwondoa - Bashite, chapa kazi
5) nitatoa mikopo kwa wanavyuo wote wa vyuo vikuu - mpaka leo maelfu ya wanavyuo hawana mikopo
6) zoezi la uhakiki likiisha nitaongeza mishahara kwa wafanyakazi wote, na sitaki liwe ongezeko dogo - kauli ya karibuni, sitaondoka bila kuongeza mishahara
7) maendeleo hayana vyama - wanotaka kuja CCM wanakaribishwa ili tujenge nchi
8) safari nimeteua wakurugenzi wa halmashauri makada wa CCM ili wakasimamie vizuri ilani ya CCM - leo wanasema eti wakurugenzi wa halmashauri siyo makada ila ni wanachama tu wa CCM
9) ambaye atakosa chakula hakuna chakula cha msaada, watanazania nawapenda sana - unaowapenda utawanyima chakula kukiwa na janga?; n.k. n.k.
Je, tunaweza kuendelea kumwamini?
atatoka muda wake ukifika , na amesema hana mpango wa kuendelea kukaa kwa sababu ni takwa la kikatiba na anaheshinu sana katiba
Hata mimi mkuu ntapigia kura wa ccm lakini si huyu kiumbe wa sasa hafai hata kidogo .yeye kazi yake ugomvi tuBinafsi sijawahi kuipigia kura ccm tangu nianze kupiga kura mwaka 2000, lakini nasema 2020 akitokea mgombea kuchukua fomu ya kugombea urais anayeweza kumtoa Magufuli madarakani nitampa kura hata kama ni wa ccm, kweli huyu rais hata mwaka mmoja uliobaki naona ni mbali sana
Daaah hilo jambo umeliongelea mbona ni zito sana mkuu?Wanajamvi kulingana na utendaji kazi wa Mhe Magu na huruka zake mimi nasema hawezi kutoka madarakani kwa hiari yake!.
Nasema hivyo kwa sababu watu wenye utendaji wa aina yake haijawahi kutokea wakaachia madaraka, na hii ni kwasababu;
1.Wanaamini kuwa wao ni wanauwezo mkubwa kuliko viongozi wenzao, wananchi wengine, n k, na kila uamzi waufanyao ndio mzuri kwa mstakabali wa Taifa.
2.Wanaamini kuwa wana maadui wengi wa ndani na nje.
3. Wanaamini kuwa kila kitu wanakijua na wanakiweza, na kutaka kifanyike kulingana na mtazamo wao na sivinginevyo.
4.Dunia ya ushirikishaji na maamzi ya pamoja kwao ni mwiko.
5. Ni mwendo wa maagizo tu kulingana na waonavyo wao.
6.Hawapendi kukosolewa wanapenda kusifiwa tu. Ukikosoa unageuka kuwa adui wake na Taifa.
7. Wanaamini lazima ndoto na fikra zao zitimie wakiwa bado wapo madarakani.
8. Hahahahahaaa, hawaamini kuwa kuna nguvu ya asili na inaweza kutokea wakati wowote na kufanya chochote bila kizuizi, n.k.
Viongozi wenye karba kama hiyo ni kama;
-John P. Magufuli
-Paul Kagame
-Yoweri Mseven
-Ally Bushir
-Gadaff, n.k.
Kweli Mhe Magu wetu mwenye karba hizo anaweza kuachia madaraka kwa hiari yake mwenyewe?, mimi nasema hawezi kuachia madaraka kwa hiari!.
Rais Magufuli anajitambua sana hawezi kufanya hivyo. Rais hana chake binafsi anachojipangia, bali anatekeleza ilani ya chama na serikali kama alivyojinadi wakati wa kampeni. Pia anasimamia misingi ya katiba kwa uwaminifu kabisa. Usijali, muda ukifika ataondoka kwa mujibu wa katiba.Wanajamvi kulingana na utendaji kazi wa Mhe Magu na huruka zake mimi nasema hawezi kutoka madarakani kwa hiari yake!.
Nasema hivyo kwa sababu watu wenye utendaji wa aina yake haijawahi kutokea wakaachia madaraka, na hii ni kwasababu;
1.Wanaamini kuwa wao ni wanauwezo mkubwa kuliko viongozi wenzao, wananchi wengine, n k, na kila uamzi waufanyao ndio mzuri kwa mstakabali wa Taifa.
2.Wanaamini kuwa wana maadui wengi wa ndani na nje.
3. Wanaamini kuwa kila kitu wanakijua na wanakiweza, na kutaka kifanyike kulingana na mtazamo wao na sivinginevyo.
4.Dunia ya ushirikishaji na maamzi ya pamoja kwao ni mwiko.
5. Ni mwendo wa maagizo tu kulingana na waonavyo wao.
6.Hawapendi kukosolewa wanapenda kusifiwa tu. Ukikosoa unageuka kuwa adui wake na Taifa.
7. Wanaamini lazima ndoto na fikra zao zitimie wakiwa bado wapo madarakani.
8. Hahahahahaaa, hawaamini kuwa kuna nguvu ya asili na inaweza kutokea wakati wowote na kufanya chochote bila kizuizi, n.k.
Viongozi wenye karba kama hiyo ni kama;
-John P. Magufuli
-Paul Kagame
-Yoweri Mseven
-Ally Bushir
-Gadaff, n.k.
Kweli Mhe Magu wetu mwenye karba hizo anaweza kuachia madaraka kwa hiari yake mwenyewe?, mimi nasema hawezi kuachia madaraka kwa hiari!.
Mmebanwa mbavu macho yamewatoka kama mjusi kabanwa na mlango,bado hamjasema,mtamaliza nahau zoteWanajamvi kulingana na utendaji kazi wa Mhe Magu na huruka zake mimi nasema hawezi kutoka madarakani kwa hiari yake!.
Nasema hivyo kwa sababu watu wenye utendaji wa aina yake haijawahi kutokea wakaachia madaraka, na hii ni kwasababu;
1.Wanaamini kuwa wao ni wanauwezo mkubwa kuliko viongozi wenzao, wananchi wengine, n k, na kila uamzi waufanyao ndio mzuri kwa mstakabali wa Taifa.
2.Wanaamini kuwa wana maadui wengi wa ndani na nje.
3. Wanaamini kuwa kila kitu wanakijua na wanakiweza, na kutaka kifanyike kulingana na mtazamo wao na sivinginevyo.
4.Dunia ya ushirikishaji na maamzi ya pamoja kwao ni mwiko.
5. Ni mwendo wa maagizo tu kulingana na waonavyo wao.
6.Hawapendi kukosolewa wanapenda kusifiwa tu. Ukikosoa unageuka kuwa adui wake na Taifa.
7. Wanaamini lazima ndoto na fikra zao zitimie wakiwa bado wapo madarakani.
8. Hahahahahaaa, hawaamini kuwa kuna nguvu ya asili na inaweza kutokea wakati wowote na kufanya chochote bila kizuizi, n.k.
Viongozi wenye karba kama hiyo ni kama;
-John P. Magufuli
-Paul Kagame
-Yoweri Mseven
-Ally Bushir
-Gadaff, n.k.
Kweli Mhe Magu wetu mwenye karba hizo anaweza kuachia madaraka kwa hiari yake mwenyewe?, mimi nasema hawezi kuachia madaraka kwa hiari!.
Ndugu yangu naheshimu mawazo yako, ila pia jaribu kufuatilia kwa kupitia historia kidogo ya viongozi mbali mbali Dunia wenye karba ya Mhe wetu utajua ninacho maanisha!.Rais Magufuli anajitambua sana hawezi kufanya hivyo. Rais hana chake binafsi anachojipangia, bali anatekeleza ilani ya chama na serikali kama alivyojinadi wakati wa kampeni. Pia anasimamia misingi ya katiba kwa uwaminifu kabisa. Usijali, muda ukifika ataondoka kwa mujibu wa katiba.
Ungejua kuwa amani, furaha, uchumi, njaa, ukosefu/upatikaji wa fedha, umaskini wako, n.k, kuwa vinatokana na aina ya siasa na uongozi wa Nchi ulioko madarakani!. Naamini ungejua hilo usinge uliza hilo!.yanakuhusu nini wewe? fanya mambo yako
Hii ndo membe anaiita economic distortion!Na kweli we si unaona uwongo unahararishwa kuwa kweliView attachment 1101838
Aiseeeeeee hatuwezi kuwaambia malaika watubadilishie wamrudishe mengi wamchukue jiwe
KabisaMengi ana thamani kubwa sana kuliko tangawizi
Ni kweli hatoki anaogopa kurudi uraiani maana amewaumiza wengi, na akiwa uraiani hawezi kuwa na ulinzi alionao!.
Haya banah najua hujitambui, ila ungekuwa unajua kuwa injili kuwa ilianzia Yerusalemu na kuenea ulimwenguni usinge sema hivo. Leo tumeanza kubanwa sisi lakini najua kesho itakuwa kwako.Mmebanwa mbavu macho yamewatoka kama mjusi kabanwa na mlango,bado hamjasema,mtamaliza nahau zote
Na badoNa kweli we si unaona uwongo unahararishwa kuwa kweliView attachment 1101838
Hao maadui aliwatengeneza yeye mwenyewe muacheni aje apambane nao wakati hana ulinzi wowote ule...