Nasema Rais Magufuli hawezi kutoka madarakani

Nasema Rais Magufuli hawezi kutoka madarakani

Wanajamvi kulingana na utendaji kazi wa Mhe Magu na huruka zake mimi nasema hawezi kutoka madarakani kwa hiari yake!.

Nasema hivyo kwa sababu watu wenye utendaji wa aina yake haijawahi kutokea wakaachia madaraka, na hii ni kwasababu;

1.Wanaamini kuwa wao ni wanauwezo mkubwa kuliko viongozi wenzao, wananchi wengine, n k, na kila uamzi waufanyao ndio mzuri kwa mstakabali wa Taifa.

2.Wanaamini kuwa wana maadui wengi wa ndani na nje.

3. Wanaamini kuwa kila kitu wanakijua na wanakiweza, na kutaka kifanyike kulingana na mtazamo wao na sivinginevyo.

4.Dunia ya ushirikishaji na maamzi ya pamoja kwao ni mwiko.

5. Ni mwendo wa maagizo tu kulingana na waonavyo wao.

6.Hawapendi kukosolewa wanapenda kusifiwa tu. Ukikosoa unageuka kuwa adui wake na Taifa.

7. Wanaamini lazima ndoto na fikra zao zitimie wakiwa bado wapo madarakani.

8. Hahahahahaaa, hawaamini kuwa kuna nguvu ya asili na inaweza kutokea wakati wowote na kufanya chochote bila kizuizi, n.k.

Viongozi wenye karba kama hiyo ni kama;
-John P. Magufuli
-Paul Kagame
-Yoweri Mseven
-Ally Bushir
-Gadaff, n.k.

Kweli Mhe Magu wetu mwenye karba hizo anaweza kuachia madaraka kwa hiari yake mwenyewe?, mimi nasema hawezi kuachia madaraka kwa hiari!.
Mimi binafsi natamani hata mda wake wa kikatiba ukiisha ang'ang'anie tu pengine watz tutajifunza kupitia njia ngumu
 
Kwa mawazo yangu, kiongozi habakii madarakani baada ya muda kwa matakwa yake, bali kwa matakwa ya kikundi kinachonufaika na uwepo wake hapo madarakani. Raisi kama raisi peke yake hana huo ubavu.
Inayosema ni kweli kabisa. Tuzidi kumwomba Mungu rais huyu asiwe na vikundi hadi mwisho wa utawala wake. Makundi yanayowazunguka marais ni mashetani wakubwa wa kuvuruga amani. Kwa sasa sioni kama Magufuli ana kundi lolote. Naona kila mtu ana tumbo joto akihofia utendaji wake.
 
Huu ni ushahidi zaidi na uthibitisho kuwa hiyo rufaa ya serikali dhidi ya hukumu ya mahakama huu inahitaji zaidi ya muujiza kupata ushindi. Udhalimu na ufisadi wa kisiasa lazima ufikie mwisho!
 
Kutoka Madarakani ni Suala la Muda tu, ni lazima atoke madarakani! Watanzania ni wajinga sawa ila so wapumbavu, mwaka 2020 ataendelea na urais ila akijaribu kukidanganya kwamba 2025 aendelee utakuwa ndo mwisho wa ujinga wa, Watanzania na uzembe wa kufikiria
 
Wanajamvi kulingana na utendaji kazi wa Mhe Magu na huruka zake mimi nasema hawezi kutoka madarakani kwa hiari yake!.

Nasema hivyo kwa sababu watu wenye utendaji wa aina yake haijawahi kutokea wakaachia madaraka, na hii ni kwasababu;

1.Wanaamini kuwa wao ni wanauwezo mkubwa kuliko viongozi wenzao, wananchi wengine, n k, na kila uamzi waufanyao ndio mzuri kwa mstakabali wa Taifa.

2.Wanaamini kuwa wana maadui wengi wa ndani na nje.

3. Wanaamini kuwa kila kitu wanakijua na wanakiweza, na kutaka kifanyike kulingana na mtazamo wao na sivinginevyo.

4.Dunia ya ushirikishaji na maamzi ya pamoja kwao ni mwiko.

5. Ni mwendo wa maagizo tu kulingana na waonavyo wao.

6.Hawapendi kukosolewa wanapenda kusifiwa tu. Ukikosoa unageuka kuwa adui wake na Taifa.

7. Wanaamini lazima ndoto na fikra zao zitimie wakiwa bado wapo madarakani.

8. Hahahahahaaa, hawaamini kuwa kuna nguvu ya asili na inaweza kutokea wakati wowote na kufanya chochote bila kizuizi, n.k.

Viongozi wenye karba kama hiyo ni kama;
-John P. Magufuli
-Paul Kagame
-Yoweri Mseven
-Ally Bushir
-Gadaff, n.k.

Kweli Mhe Magu wetu mwenye karba hizo anaweza kuachia madaraka kwa hiari yake mwenyewe?, mimi nasema hawezi kuachia madaraka kwa hiari!.
Wakili: Umeieleza mahakama ulimsikia Mbowe akisema "Magufuli ni mwepesi kama KARATASI"?

Ngichi: Ndiyo

Wakili: Ni Magufuli yupi huyo?

Ngichi: Kimya
 
Wakili: Umeileza mahakama ulimsikia Mbowe akisema "Magufuli ni mwepesi kama KARATASI"?

Ngichi: Ndiyo

Wakili: Ni Magufuli yupi huyo?

Ngichi: Kimya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Iko hivi si kwamba madikteta wanapenda sana kuongoza wanaogopa watarudije Kwa jamii waliyoiumiza hali hawana ulinzi hivo Salama yao ni kung'ang'ania Madaraka au kuweka atakaemlinda still nayo sio Salama. Mfano Kabila bado ni Kijana ataingia mwingine asiyeside Na tsekedi atamnyoosha Kabila kumlipizia kisasi hata kama ni miaka 30 ijayo akiwa Mzee atavuna.Hata maliyamungu ajiandae tu hata kama ni miaka 30 ijayo watamlipizia kisasi maana atakuwa nje ya mfumo ushawatema.Hawana Madaraka hawana ulinzi

Mkuu tatizo ni moja, mtu akishatoka nje ya mfumo unaompa kiburi cha kunyanyasa, watu wanasahau. Kwa mfano ukatili aliofanya Mwigulu wakati wa JK, huoni saa hii watu wameshasahau? Huyo JK mwenyewe watu walikuwa wamemchoka balaa, leo anaonekana afadhali maana kipimo chake ni jiwe.
 
aache then achukue nani? maana kule upinzani hawana mtu hadi atoke CCM na kwa mapokea ya CCM lazima amalize mihula miwili

Huko upinzani nani achukue? Cheo ambacho JK na Magufuli wameweza nani atashindwa? Kwa taarifa yako, kuwa rais Tanzania inatakiwa uwe na akili timamu tu ya kutokuvua nguo hadharani.
 
Mkuu tatizo ni moja, mtu akishatoka nje ya mfumo unaompa kiburi cha kunyanyasa, watu wanasahau. Kwa mfano ukatili aliofanya Mwigulu wakati wa JK, huoni saa hii watu wameshasahau? Huyo JK mwenyewe watu walikuwa wamemchoka balaa, leo anaonekana afadhali maana kipimo chake ni jiwe.

Akiwa huwa zikiwakaa wakiwa nje ya mfumo ,usalimia kila MTU. MTU yeyeto masikini afai kupewa leseni ya Kuendesha watu atalewa Na kunyanyasa watu,akili uwajia wakiwa nje
 
Ni kujilisha upepo kudhani jiwe ataondoka madarakani hata muda ukiisha. Mnataka dalili gani wakati kila kitu kakiweka wazi
 
Huko upinzani nani achukue? Cheo ambacho JK na Magufuli wameweza nani atashindwa? Kwa taarifa yako, kuwa rais Tanzania inatakiwa uwe na akili timamu tu ya kutokuvua nguo hadharani.

Yeyeto tu anaweza hata kichajaa,hakuna kipengele cha kupima IQ test ya mtu
 
Huyu anaamini kwenye kuishi milele akiamini atabaki kileleni milele,shida wameumbiwa wengine. Keshaharibu mtaani hana rafiki anaogopa ataishije? Na mfumo ukishakutupa unaonekana sawa na RAIA tu,wakiwa madarakani wakiambiwa watengeneze taasisi imara wawe Salama hata wakiwa nje ya mfumo uona hayawahusu.Leo hata kuongea wanaogopa,wakiambiwa wasipande miba njiani kuna siku itawachoma huwa wanaelewa wakiwa nje.Leo wastaafu wamevuna waliyoyapanda wengine wamenyang'anywa Mashamba yao.Ni makosa makubwa sana hasa mwafrika kumpa Madaraka yote ni lzm atayatumia kuwaumiza wengine, mwafrika apaswi kuwa Na Kofia Mbili akikosa wa kumdhibiti ugeuka laana Kwa awaongozao.
 
Ukweli ndio huo uliosema!.
 
Hao maadui aliwatengeneza yeye mwenyewe muacheni aje apambane nao wakati hana ulinzi wowote ule...
Ulishawahi ona raisi anayedhani ni mpendwa anatunguliwa alafu wananchi wanafanya sherehe?
 
Haheshimu katiba, hiyo kusema atatoka wote huwa wanasema ili kuhadaa umma. Ikifika siku ya kutoka anaandaa genge lake linakuwa kama linamashawishi kuendelea na wakati huohuo katiba inabadilishwa ili aendelee. Ukishaona tu kiongozi haheshimu box la kura basi jua huyo kutoka madarakani ni kwa machafuko.
Hakika Mkuu Tindo, huyu jamaa hana dalili ya kutoka na "indication" moja kubwa ni yeye kutoheshimu sauti ya wananchi kupitia sanduku la kura

Kwake yeye "kuiba" kura akishirikiana na wakurugenzi wake makada aliowateua kwa kushirikiana na Jeshi lake la Polisi, anaona ni jambo la kawaida sana!
 
Tatizo kubwa la Rais Magufuli ni uongo,unafiki,udikteta,wivu,ukabila,uchoyo,hila ushirikina,,ubinafsi,chuki,unafiki,wizi,tamaa,roho mbaya na majungu.....pamoja na mengine mengi hawezi kutoka madarakani kwa hiari yake....lazima limtokee jambo kabla ya kumaliza muda wake kwa salama ya Mama Tanzania.
 
Back
Top Bottom