Malume store
New Member
- Nov 17, 2015
- 2
- 0
Du kweli umetunyoosha
Du kweli umetunyoosha
Mhhhhhhh!Mama umesema mengi sana!
Haya bwana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nasema nawe: before hujamwambia ahem good morning ushaangalia new post jamii forum na status mpya za watu (joke)
Miss you more mamitomiss yuuu thana best
Ukiona msanii anaimba au muigizaji anaigiza jinsi anavyojua kupenda, kumfurahisha pamoja na kumjali mtu wake huwa sio kweli kwamba yupo hivyo anavyoimba au kuigiza kwenye maisha yake ya kila siku nje ya mziki au filamu
Ina maana kuna uwezekano ukawa kama msanii unayeishi tofauti na unachokiimba kwenye mada yakonasema nawe: unayejua maisha uliyokariri yako hivyo, nani alokwambia tabia za wanadamu zina formula??
Kaka upogo?
Nimekukosa kiaina.
Ngoja waje....mie napita tu hapa
Mungu awabariki nyote.
Leo nimeamua kusema na hawa watu, mnaonaje mkibadilika
1.Unayeanzisha mahusiano na mtu ambaye humpendi ila unamwaga maneno matamu ahadi kama vyama vya siasa wakati wa kampeni! unamfanya mwenzako akuamini aache kuangalia fursa nyingine
2. Unakuwa na mahusiano na wanaume/wanawake wengi wote unawaahidi unawapenda mtajenga maisha ya baadae! na bado utakuja kuwaacha wengine uoe mmoja halafu ikitokea mkeo/ mmeo, gf/bf akakusaliti eti na wewe unaumia nakulalamika wanawake/ wanaume sio watu wakuamini wewe ndo umewafundisha.
3. Unayejifanya malaika kwenye mahusiano mwenzako akifanya vikosa vidogo vidogo ambavyo vinavumilika na usipovichukulia serious ukasamehe ama ukavichukulia kama mapungufu ya mwenzio havina madhara na maisha huendelea kwa upendo unajifanya hakufaiii , je wewe ukoje hukoseagi! huna vimapungufu vidogo vidogo??
4. Unayetaka mwanaume aa mwanamke wakuchonga! kila kitu unataka kiwe kama utakavyo ukipata kasoro moja kwa mwenzio nyingine hata hajajisababishia yeye basi utamsimanga, kejeli, matusi n.k je wewe huna hitilafu?? yanayofaa kuvulilika kwa nini usiwe binadamu??.
5. Usiyekuwa na siri wala haya mambo ya ndani ya mpenzi wako unayaweka hadharani ni ili kila mtu ajue ni kweli ulimvua nguo au?? maana ya mapenzi ya wa2 ni kwamba utakayokuta huko sirini yaishie hukohuko huyataki achana kimyakmya usitangaze wewe yako yakianikwa hapa mjini utapita?
6. Wewe kazi yako kuhesabu makosa kama hesabu za jumlisha?? hujui kusamehe lazima ujumlishe na kosa la january hadi x mass eeehh, acha
7. Usiyekuwa na tabia yakujishusha unapomkosea mwenzako!! unapomuudhi mwenzako mke/mme, gf/ bf kumbuka anaumia kujifanya huombi msamaha bado unashikilia ulichokifanya ni sawa unaongeza maumivu. hivi kukubali umekoaea ni shingapi? kitambi/ matiti yako yataisha? ama hiyo nanii yako itapungua?? jifunze kukiri makosa mapenzi ya ubabe sio mapenzi.
8. Wewe mwanaume unayejua mapenzi nikuridhishwa na mwanamke tuu wewe ndo ubembelewe, ujaliwe kila kitu na mkeo/ gf vile vile anayahitaji hayo alokuambia mapenzi hupewa mwanaume tu nani?? pendaneni na mpeane mpendavyo woote.
9. Wewe mwanamke usiyejua jukumu lako kama mama, kufanya mapenzi ya tamthiliya eewhhh! alokuambia huyo mme/ bf wako ni kama yule muigizaji nani?? kila mtu ana anachokipenda hivyo usicopy kwa marafiki cjui waapi huko angalia anacjopenda huyo wako ndo ufanye!!?
10. Ni lini wewe mwanamke nyumbani kwako utaacha kuishi kama mpita njia??, housegirl ndo anajua kinachopikwa , aina ya chakula mmeo anakula na asichokula!! nguo anayopenda na asiyopenda???( akijua na style ya 6+6) ni sawa sasa.
11.Ni lini kina mama mtaacha kufanya vyumba vyenu ka sehemu ya sagurasagura ya mtumbani?? kila kitu manguo mmerusha huko , uvunguni minguo , ukunani mi nguo, dirishani, kitandani!! mwenzangu unataka kuanzisha mradi wakufuga panya au?? panga chumba wewe hata kama ni masikini huna kabati, mabegi nunu mafuko yale ya buku 2 panga nguo zako humo yafunikw na kakitambaa basi.
12. Hivi wewe unalaliaje shuka jumatatu hadi jumapili?? na mnalala wawili humo mi jasho nini huoni aibu, halafu eti waati mwingine mnalala bila kuoga eeehhh, acheni bahna.
13.Hiyo tabia yako yakuropoka hovyo vitu vyakuongea wewe na mkeo/mmeo, bf, bf ndani una muuliza mbele za watu na waati pengine unajua hilo jambo alikuwa haliafiki ila unataa watu wakuone una sauti juu yake!! akikujibu vibaya hapo utalaamika?? unashindwa nini kuvuta subira ukamuuliza mkiwa wawili au hata umtumie sms hapo kama mko na watu?? aibu zako
14, Wewe mwanaume unayejidai ni mwanaume gani cjui mwenzako kadeki chumba vizuri, kapanga nguo kabatini, kwenye begi vizuri halafi unavuta ti kama nini unavuruga hujali hata katumia mda kupanga eti mi ni mwanaume hayo mambo siwezi!?? kuchukua nguo kwa ustaarabu, mara unaingia na maviatu machafu ndani eti mwanaume?? ukioga mafini sabuni tupa chini, maji hata husukumi na broom hadi mkeo aje jaman acheni ubinafsi, mkeo gf hayupo umemwaga maji ndani bahati mbaya hukaushi yashinde hapo eti mwanaume aaahh!!?
15. Nyie kina dada sijui kina mama nani aliyewaambia ulete mambo ya