Nasari jiandae kutukanwa na makinda!

Nasari jiandae kutukanwa na makinda!

Nasari aende bungeni? Mnachekesha nyie!! Mfarijini na mumsaidie namna ya kurudisha madeni aliyokopa kwa ajili ya kampein! Otherwise tunaweza tukampoteza kwa presha baada ya kutangazwa kuwa kushindwa kwa asilimia kubwa sana!!

Vipi na wewe upo kwenye timu ya uchakachuaji? Au wale vijana nao mmefanikiwa kuwapa vituo vya kupigia kura? Huko kujiamini kunatoka wapi? Si ungengoja matokeo au?
 
Kijana Nassary tutakutana pale Chako ni Chako kwa ajili ya kula kuku choma. Mdudu tunakula pale Carribean jirani kabisa na mjengoni then tutaenda kuwinda teenagers pale CBE tukale nao bata 84... Yote haya tutayafanya ukishamaliza kusoma miswada kwani kazi na dawa
 
mh nasari usisahau kushonesha suti kwa ajili ya mjengoni na usisahau kwamba kama utatoa hoja ya maana ya kuwachoma magamba utapigwa na mwongozo wa spika.
 
Nasari aende bungeni? Mnachekesha nyie!! Mfarijini na mumsaidie namna ya kurudisha madeni aliyokopa kwa ajili ya kampein! Otherwise tunaweza tukampoteza kwa presha baada ya kutangazwa kuwa kushindwa kwa asilimia kubwa sana!!

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa............. na hayo meno yako kama ya spika wa bunge, LOL
 
Yamebaki masaa machache tusikie kauli hizi, "wameiba kuraa!" "kamanda tusikubali mpaka kieleweke" "mwisho wao 2015"
hii ni kwasababu kuna udhaifu mkubwa umeanza kujionesha upande mmoja wa mapambano!
kibao kimegeuka, lol
 
Nasari aende bungeni? Mnachekesha nyie!! Mfarijini na mumsaidie namna ya kurudisha madeni aliyokopa kwa ajili ya kampein! Otherwise tunaweza tukampoteza kwa presha baada ya kutangazwa kuwa kushindwa kwa asilimia kubwa sana!!

Ndo ameshaenda sasa, wewe kunywa sumu tu
 
Nasari aende bungeni? Mnachekesha nyie!! Mfarijini na mumsaidie namna ya kurudisha madeni aliyokopa kwa ajili ya kampein! Otherwise tunaweza tukampoteza kwa presha baada ya kutangazwa kuwa kushindwa kwa asilimia kubwa sana!!
hahahaaa, bado umelala, eti? amka utupatie updates za matokeo
 
Nasari aende bungeni? Mnachekesha nyie!! Mfarijini na mumsaidie namna ya kurudisha madeni aliyokopa kwa ajili ya kampein! Otherwise tunaweza tukampoteza kwa presha baada ya kutangazwa kuwa kushindwa kwa asilimia kubwa sana!!

Funguka wewe, bado umelala kiasi hicho.
 
Nasari aende bungeni? Mnachekesha nyie!! Mfarijini na mumsaidie namna ya kurudisha madeni aliyokopa kwa ajili ya kampein! Otherwise tunaweza tukampoteza kwa presha baada ya kutangazwa kuwa kushindwa kwa asilimia kubwa sana!!

HAHAHHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Umepigwa DO.............. malizia mwenyewe
 
usicheke cheke ovyo kama mwanamke malaya aliyeona pesa
 
Back
Top Bottom