Nasaidiwa kutoa mahali wakati mimi ndio naoa

Nasaidiwa kutoa mahali wakati mimi ndio naoa

Kwanza inabidi uchunguzwe miaka 25 una nyumba ya kisasa ? How ?
 
We jamaa umenishangaza sana!
kwanza uko too negative.. kwa nini unamwazia huyo binti vbaya namna hiyo?

wewe ume mmimba halafu unaambiwa toa 30 elfu ya posa .hunaa ?? Una nini sasa? ''hako kakibanda unakojishaua nako nahisi ni ka nyasi au tope''

by the way .. si support kulipiwa mahari, but huyo binti ana haraka hatamani kuzalia kwao ndio maana ana kupush.

but mwoaji akili zake ..mmmmmmmm
 
Anaharakisha sababu anaogopa aibu ya kuzalia nyumbani anataka mda wa kujifungua awe ashaolewa,
halafu bwana mdogo kwanini unahofu kuwa anataka ndoa il mgawane nyumba?
Halafu unasema kakuzidi kwani unavyompiga katafunua hujuona? Uoe bwana!
 
Papuchi bure.....mimba juu,kishika uchumba unatolewa,mahar mnachanga sasa ww unataka nn????unafikiria hako kakibanda!!!!
 
Ninayo ila nahisi kama vile anaharakisha tuoane wakati sijamsoma vizuri na mbaya zaidi yeyey anakaa wilayani nia mimi mkoani na ni mbali kwa hiyo nahisi niwe makini zaidi ili nimjue zaidi

Wakati wa kumgegeda wilayani palikua karibu unaenda tu kila weekend kumpumulia, sasa hivi akiwa na mimba ndio unajifanya unamchunguza na kuwa wilayani ni mbali sana?!

Wewe elfu themanini huna halafu unaogopa kwamba atataka mgawane mali?!
Mali gani sasa?! Huna, bora uishi nae tu maana inaonekana mwenzio anaweza japo kukusaidia mkapiga hatua!!

Nyie walimu ndio maana mnafelisha watoto wetu!
 
Wanaume wengine bhana hamjielewi.. Huoni apo umepata bonge la wifey adi anakusaidia kutos mahari, chakarika ufunge ndoa!!!
 
Kwanza inabidi uchunguzwe miaka 25 una nyumba ya kisasa ? How ?

swala la kuchunguzwa la nini mkuu wakati watu tunajibana kujenga vibanda na tunaacha mambo mengine kama pombe wanawake na vitu vyote visivyo na umuhimu na ukijua maisha ya kupanga yana changamoto kubwa Nilipata changamoto ya kujenga baaya mwenye nyumba kuniambia kuwa nanunua sofa na tv wakati sina hata chumba kimoja na alinicheka sana ikabidi niwe na machungu sana ndipo nilipoacha kutumbua hela
 
Huyo dada wala si mtu mbaya(kwa mtazamo wangu)...ila tu yuko desperate kuhakikisha inakuwa kama ambavyo INATAKIWA KUFANYWA.......inaelekea uko slow katika kuwajibika kwa MIMBA uliyompa na ndio maana kama humuelewi...we fuata taratibu na umpende yeye na mwano kwanza kabla ya 'KAKIBANDA'
 
Hahahahaha LOL!!!! Hii kali lol!!!!

mbinafsi tena limbukeni na huna shukrani. nakushauri usioe mke yeyote maana una mapenzi saaaana na kibanda chako. get married to your mansion.
 
Kama bdo humuelew mbna ulikimbilia kumgegeda f.a.l.a kwel ww tena hujitambui, afadhal huyo mdada namjua ntampeleka kwa wataalamu hyo mimba wakuwekee ww ili uone utamu wake, ili mdada akulipie ww mahari mana we c umeshndwa.
 
We jamaa umenishangaza sana!
kwanza uko too negative.. kwa nini unamwazia huyo binti vbaya namna hiyo?

wewe ume mmimba halafu unaambiwa toa 30 elfu ya posa .hunaa ?? Una nini sasa? ''hako kakibanda unakojishaua nako nahisi ni ka nyasi au tope''

by the way .. si support kulipiwa mahari, but huyo binti ana haraka hatamani kuzalia kwao ndio maana ana kupush.

but mwoaji akili zake ..mmmmmmmm

mwambie huyo!
 
Awali ya yote nina mwanamke mmoja ambaye tulianza naye mapenzi toka tuanze wote kazi kwa sababu tumeajiliwa sehemu moja ila tu tunatofautiana sehemu ya kufanyia kazi yeye anafanyia wilayani na mimi nafanyia mkoani sasa toka tuanze imefika kipindi akabeba ujauzito na saizi ni miezi mitano tangu abebe huo ujauzito
sasa anataka nikatoe mahali kwao ili wanitambue wazazi wake rasmi yeye ndio mpanga mahali na anasema ni milioni moja mahali pamoja na masufuria ya shangazi na babu na bracket la bibi mimi nikamwambia kuwa hicho kiasi sina akasema kuwa yeye atoe laki nne na mimi nimalizie laki sita na leo kanipigia simu kuwa inatakiwa ipelekwe barua ya kishika uchumba pamoja na elfu therathini mimi pia nikasema kuwa saizi sina hela yeye akasema kuwa mimi niandike barua atakuja kuichukua na ataituma nyumbani kwao kwa njia ya posta na ataiweka hiyo elfu therethini na kuituma nyumbani
sasa ninachojiuliza ataka tuoane mapema ili amiliki baadhi ya vitu vyangu na pale tutakapotofautiana tugawane kwa sababu ni kabanda kangu kakisasa kabisa na nikikubali atoe siku tumegombana si ndio ataanza kutamba kuwa nilikutolea na mahali au anaharakisha ili aje tukae wote ili kakibanda kangu afanye kiburi ili tukauze jamani hebu tupeane mawazo na kimri ananizidi yeye ana 28 na mimi nina 25

mwanaume gani unalialia tu. mahali unasaidiwa, hata 30,000 ya kishika uchumba huna? uyo mtoto utalea kweli wewe?
kingine u mbinafsi sana,
unawaza kuachana na kugawana mali akat ata kuoa hujaoa????
 
acha ujinga, umempa mimba sasa unamuona hafai kakibanda ndo nini, kapange. tutolee utoto watu wanahonga gorofa ijekuwa kakibanda? unatuaibisha wanaume wenzio

hahaha. ashakuambia mambo ya wilayani, unategemea nini. mwanaume wa ukweli hawazi kugawana mali, we mwanamke kakupa signatures hapa duniani wanaanza kuvutana nae et aya masufuria uliyakuta,, we wako mwiko????

basi utafute kila kitu, mke utakaeoa aje na nguo alizovaa tu kwani ndo akatakoondoka nazo siku ukimuacha. ata chupi ulizomnunulia aziache
 
Yani watu tunahonga maviX,BMW na magorofa.we unakua unaogopa kudhulumiwa hako kakibanda chako?
 
Back
Top Bottom