mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,628
Inaonekana hauko tayari kuoa na unafikiria mali.
Kwa maisha ya siku hizi wanaume mnabadilika ona wala hajakosea kukuambia mfanye haraka kesho unaweza kumgeuka na yeye ikaleta soho kwake kuzaa nje ya ndoa labda anataka kuendeleza heshima ktk familia na haswa kwa wazazi wake.
Hizi umeshafikiria kuwa yeye anajisikiaje kupata mimba nje ya ndoa, ona ulivyo umri hauna tabu ila ungetueleza kama kweli unampenda au la. Mambo ya mali unaogopa nini wewe hauna pesa. Mie najua unamdanganya kuwa huwezi ha elfu 30 ili aachie ngazi na umeona anazidisha speed na unaogopa sasa.
Kwanini ulilala nae bila kinga, hukujua mimba itakuja siku moja?
Sasa wanawake wengi wanaogopa na wanataka umuhakikishie kuwa weye ni wake kwa njia hiyo ya ndoa na haswa wakati ana mimba yako duh kweli una roho mbaya yaani unasema atachukua mali je huyo mtoto alie njiani in 4 months time anakuja duniani kwa mapenzi ya Mungu. Unataka alale wapi mtoto huyo kwa babu na bibi na wewe upo?
Kama haumtaki mwambie alie aumie later atapata bwana atamlea mwanao kama wake. Na hapo ndio utakoma jinsi mwanao atakavyokua akimwita uncle wake daddy.
Katoe mahali acha ubairi labda huyo ndio mtoto pekee utakaempata, na acha kumdanganya mwenzio hauna pesa. Mali sote tutaziacha hapa duniani.