Nasaidiwa kutoa mahali wakati mimi ndio naoa

Nasaidiwa kutoa mahali wakati mimi ndio naoa

Acheni upuuzi wanaume, ulipokuwa unalala nae ulikuwa unamfahamu vizuri au laa? Inaonekana we sio mwanaume ni mvulana unakwepa majukumu yako. Akizaa mtoto utajifanya baba wkt hupendi majukumu. Lipa mahali ya binti wa watu, ukipanda mtoto mtoto huota hukujua kuna mimba mkifanya mlivofanya? Tena una bahati huyo dada anataka ushiriki malezi ya mtoto wako
 
Awali ya yote nina
mwanamke mmoja ambaye tulianza naye mapenzi toka tuanze wote kazi kwa
sababu tumeajiliwa sehemu moja ila tu tunatofautiana sehemu ya kufanyia
kazi yeye anafanyia wilayani na mimi nafanyia mkoani sasa toka tuanze
imefika kipindi akabeba ujauzito na saizi ni miezi mitano tangu abebe
huo ujauzito
sasa anataka nikatoe mahali kwao ili wanitambue wazazi wake rasmi yeye
ndio mpanga mahali na anasema ni milioni moja mahali pamoja na masufuria
ya shangazi na babu na bracket la bibi mimi nikamwambia kuwa hicho
kiasi sina akasema kuwa yeye atoe laki nne na mimi nimalizie laki sita
na leo kanipigia simu kuwa inatakiwa ipelekwe barua ya kishika uchumba
pamoja na elfu therathini mimi pia nikasema kuwa saizi sina hela yeye
akasema kuwa mimi niandike barua atakuja kuichukua na ataituma nyumbani
kwao kwa njia ya posta na ataiweka hiyo elfu therethini na kuituma
nyumbani
sasa ninachojiuliza ataka tuoane mapema ili amiliki baadhi ya vitu
vyangu na pale tutakapotofautiana tugawane kwa sababu ni kabanda kangu
kakisasa kabisa na nikikubali atoe siku tumegombana si ndio ataanza
kutamba kuwa nilikutolea na mahali au anaharakisha ili aje tukae wote
ili kakibanda kangu afanye kiburi ili tukauze jamani hebu tupeane mawazo
na kimri ananizidi yeye ana 28 na mimi nina 25

wababa mpooo..!?mwenzenu uyu apa anawawakilisha...teh kakibanda..!?u creatures where are you from...?
 
duh! huo kweli mtihani, kwanza kakuzidi! umri, means hata maarifa ya mjini amekuzidi! So dah akili kumkichwa hapo! ila ukimuweka chini, umwambie avute subira itakuwa vzr! utaondoa presha uliyonayo na utaona mapenzi yake yako wapi!
 
Acha mambo yako ya kitoto. Wewe kama hukuwa unampenda ulikubali vipi kuwa na uhusiano naye wa kimapenzi na hata ukampatia mimba?. Halafu mbona unakuwa materialist kiasi hicho?. Hako kajumba ndo unaona kama thamani kubwa kuliko mpenzi wako?. Kwani hata ukioa mwingine atakaa kichakani?. Umeniboa kijana. Badilika.
 
^^
Turudishie nyimbo zetu na jando la Taifa Mjomba..
By Mrisho Mpoto
^^
 
1. sio kila mali yako inakuwa ya wote mkioana.
2.Sheria inagawa mali zilizochumwa pamoja tu wakati wa ndoa.
3.Na japo kuna dhana kuwa mali zote zilizopatikana ndani ya ndoa ni za wote,sio zote ni za wote mpk ithibitike mmechuma wote.
4.Kuchuma wote haimaanishi ndnm 50/50 anaweza kupata less km mchango wake ktk upatikanaji wa hzo mali ni less.
5. Sheria haikatazi mwanandoa kuwa na mali zake peke yake.
6. Wewe hyo nyumba ulipata b4 ndoa so ni yako..
7. Kuoa ni uamuzi wako nakushauri usipelekeshwe fanya maamuzi yako mwenyewe na yawe sahihi.
8. Kama unataka kuoa lipa mahali yako mwenyewe akikulipia kuna chance ya yeye kucapitalise hapo na kukufedhehesha your entire life.
 
Mkuu umri unampeleka mbio hakuna kitu ambachi huwa kinawasumbua wanawake kama wanapofikia umri kama huo then suala la kuolewa ni kitendawili.
Huwa wanaumiza sana akili na huwa wanapata sana shida.
Anatafuta pakuzeekea huyo.
 
Awali ya yote nina mwanamke mmoja ambaye tulianza naye mapenzi toka tuanze wote kazi kwa sababu tumeajiliwa sehemu moja ila tu tunatofautiana sehemu ya kufanyia kazi yeye anafanyia wilayani na mimi nafanyia mkoani sasa toka tuanze imefika kipindi akabeba ujauzito na saizi ni miezi mitano tangu abebe huo ujauzito
sasa anataka nikatoe mahali kwao ili wanitambue wazazi wake rasmi yeye ndio mpanga mahali na anasema ni milioni moja mahali pamoja na masufuria ya shangazi na babu na bracket la bibi mimi nikamwambia kuwa hicho kiasi sina akasema kuwa yeye atoe laki nne na mimi nimalizie laki sita na leo kanipigia simu kuwa inatakiwa ipelekwe barua ya kishika uchumba pamoja na elfu therathini mimi pia nikasema kuwa saizi sina hela yeye akasema kuwa mimi niandike barua atakuja kuichukua na ataituma nyumbani kwao kwa njia ya posta na ataiweka hiyo elfu therethini na kuituma nyumbani
sasa ninachojiuliza ataka tuoane mapema ili amiliki baadhi ya vitu vyangu na pale tutakapotofautiana tugawane kwa sababu ni kabanda kangu kakisasa kabisa na nikikubali atoe siku tumegombana si ndio ataanza kutamba kuwa nilikutolea na mahali au anaharakisha ili aje tukae wote ili kakibanda kangu afanye kiburi ili tukauze jamani hebu tupeane mawazo na kimri ananizidi yeye ana 28 na mimi nina 25

Acha kua na roho za kimasikini za kuthamini mali..hako ka nyumba kako hakana uhusiano maana ulikua nacho kabla hamjafunga ndoa kwaio sio matrimonial property..so hawawezi kukiuza ili mgawane mali bali wataangalia mali mlizochuma mkiwa pamoja..na piaaa...divorce sio kitu kidogo au kirahiso kukipata kama unavyofikiria ina weza chukua hata miaka 8..or 10..so acha mawazo ya kimasikini ya kuthamini mali..labda kwa upande wa hizo dharau..unazohofia...over
 
Kwa hiyo ukimuoa hautakaa nae kwenye hiyo nyumba au?hiyo ni nyumba moja tu inakuwazisha ungekuwa nazo nyingi nahisi ungepata presha.
 
mbinafsi tena limbukeni na huna shukrani. nakushauri usioe mke yeyote maana una mapenzi saaaana na kibanda chako. get married to your mansion.

Ha ha ha haa the best post of the day!!
 
Hiyo ndo dawa ya nyie little boys msiojielewa. Kugegeda watoto wa watu mnaona raha tu tena pekupeku, afu ikipatikana mimba ndo mnaanza oooh me sijamchunguza vizuri tabia yake. Kwa hiyo unataka umtumie weee afu ukimchoka ndo ujifanye kanishinda tabia nyoooooo, kakukomesha kweli na usikute alishaona huna future naye, una future 2 na kakibanda kako, so akaamua 2 ajibebeshe 2 mimba.

Sasa hapo sijui unataka akaolewe na nani na huo mzigo wako akutunzie nani? Yaani namsifu sana huyo dada na ingekuwa ni mimi ningeenda kabisa na nyumbani kwenu nikajitambulishe na muda wa kujifungua ukifika ntaenda tena kwa wakwe kujifungulia. Akili itakukaa vizuri mfyuuuuuuuuuu.
 
Ukatoe mahali au mahari? unatuchanganya unajuwa?
 
Awali ya yote nina mwanamke mmoja ambaye tulianza naye mapenzi toka tuanze wote kazi kwa sababu tumeajiliwa sehemu moja ila tu tunatofautiana sehemu ya kufanyia kazi yeye anafanyia wilayani na mimi nafanyia mkoani sasa toka tuanze imefika kipindi akabeba ujauzito na saizi ni miezi mitano tangu abebe huo ujauzito
sasa anataka nikatoe mahali kwao ili wanitambue wazazi wake rasmi yeye ndio mpanga mahali na anasema ni milioni moja mahali pamoja na masufuria ya shangazi na babu na bracket la bibi mimi nikamwambia kuwa hicho kiasi sina akasema kuwa yeye atoe laki nne na mimi nimalizie laki sita na leo kanipigia simu kuwa inatakiwa ipelekwe barua ya kishika uchumba pamoja na elfu therathini mimi pia nikasema kuwa saizi sina hela yeye akasema kuwa mimi niandike barua atakuja kuichukua na ataituma nyumbani kwao kwa njia ya posta na ataiweka hiyo elfu therethini na kuituma nyumbani
sasa ninachojiuliza ataka tuoane mapema ili amiliki baadhi ya vitu vyangu na pale tutakapotofautiana tugawane kwa sababu ni kabanda kangu kakisasa kabisa na nikikubali atoe siku tumegombana si ndio ataanza kutamba kuwa nilikutolea na mahali au anaharakisha ili aje tukae wote ili kakibanda kangu afanye kiburi ili tukauze jamani hebu tupeane mawazo na kimri ananizidi yeye ana 28 na mimi nina 25

Iyo mbona kawaida sana kaka chakufanya nenda kwa wazazi wake kajitambulishe kwanza alafu mengine badae mi naona ana wasi wasi tu labada wewe utavuta mtoto mupyaaaaaaa........! Hata mi yashanikuta kama hayo ndo nilimaliza ki ivyo kukuchangia mahali si tatizo ila ni mapenzi yake tu na hiyo maali afanye lakitano tu milioni izo ni sifa....tu
 
mkuu pole sana, ila unahitaji muda wa kutosha kumsoma huyo mpenzi wako vizuri maana spidi anayokuja nayo ni zaidi ya mabasi ya mwendo kasi tunayoyategemea siku zijazo Morogoro rd!!
 
kama huyo dada yupo Jf aje hapa apewe tahadhar kwamba anaeleke. Kwenye mdomo wa mamba. Yani we unawaza kakibanda chako tu
 
Back
Top Bottom