Narudia tena, wanawake siyo watu wazuri

Binti kaolewa wik mbil zilizopita.na anaweka kabisa status picha za harus,mumewe n.k

Ila huwez amin ninachochat nae hapa sasa hiv,na si ajab weekend hii nikaenda mla,..

Aibu naona mim.

Binti huyu aliwai kua dem wangu kitambo sana.daaah...kikombe hik kiniepuke ,skuhiz nmekua mwoga sana na wake za watu,kuna ki guilty flan hiv.namwonea mwana huruma kinoma yan

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nashangaa watu wana kulaumu mkuu wakati mwanamke mwenyewe akili hamna kichwani hajua hata thamani ya ndoa na ni bado changa kabisa.
Alie muoa ana kazi sana na. Na wewe piga rungu tembea wanawake dizaini hii wasio na akili zinazo umia ni sehemu za siri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi ni mbinafsi sanaaa,mambo ya kuhudumia wakwe na mashemeji siwezi,kutoa mahari kwa mwanamke asiye bikra siwezi,ndoa ni mzigo kwa mwanaume ila ni mteremko kwa mwanamke ndo maana kila mwanamke analilia ndoa, mwanamke umlishe,umtunze,akiumwa umlipie matibabu,mama ake na baba ake wakiumwa ulipe hela ya matibabu,hapo hapo umpende,umjali,umpe muda wako,yeye anakupa pussy tu,tena pussy yenyewe hakupi kama unavyotaka, excuses kibao,mara anaumwa mara hajisikii,mara amechoka,ila mwanaume inabidi umuhudumie kila kitu bila excuses zozote.hapo bado hajachepuka,bado hajakuletea watoto wa nje,kwanini nihangaike na haya yote kisa pussy??

sijaoa na sitooa, nimeshazalisha watatu tayari,mwakani nazalisha mwingine,ova!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nime kumanya vizuri comrade..hakuna namna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi ni mbinafsi sanaaa,mambo ya kuhudumia wakwe na mashemeji siwezi,kutoa mahari kwa mwanamke asiye bikra siwezi,ndoa ni mzigo kwa mwanaume ila ni mteremko kwa mwanamke ndo maana kila mwanamke analilia ndoa, mwanamke umlishe,umtunze,akiumwa umlipie matibabu,mama ake na baba ake wakiumwa ulipe hela ya matibabu,hapo hapo umpende,umjali,umpe muda wako,yeye anakupa pussy tu,tena pussy yenyewe hakupi kama unavyotaka, excuses kibao,mara anaumwa mara hajisikii,mara amechoka,ila mwanaume inabidi umuhudumie kila kitu bila excuses zozote.hapo bado hajachepuka,bado hajakuletea watoto wa nje,kwanini nihangaike na haya yote kisa pussy??

sijaoa na sitooa, nimeshazalisha watatu tayari,mwakani nazalisha mwingine,ova!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikua utaacha
 
dah kiukweli ninakaa nae wangu huu mwaka wa 5 but sijawahi kumgusa hata konzi inshort yeye na familia yao wananiona ni mtu mpole kupita maelezo hut kuna siku nlimwambia mke wngu fanya mambo yote isipokuwa moja tu kunicheat maana ntakachomfanya huyo aliyekufanya ucheat hatosahau maisha yake yote na ntakachokufanya na wewe ntaandikwa kwenye historia kwenye kitabu cha taifa na bahat nzuri amekiona alichofanya mtoto wa mjomba wang kabisaa (kaka) kwa kumchoma mke na magunia ya mkaa,maana ile sku bro alivyokamatwa na kukiri wife usiku alinifata akiwa mpole mno na kuniuliza hivi na wewe unaweza kufnya kama alivyofanya nduguye jibu nlilompa mpka leo anaogopa hata kusalimiana na mazoea na watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhy na wife ukimchiti naye ruksa akuzungu kwa petrol?
 
Nakumbuka kuna jamaa mmoja by the time tunaelekea kugraduate chuo alikua anaishi na mwanamke wanapika wanapakua wote wakiwa wanafunzi alafu likizo yule mdada akaenda kwao Kilimanjaro uko akavalishwa Pete ya uchumba alafu akarud tena chuo akaendelea kuishi na jamaa as if nothing happen wakati picha zilisambazwa na kadi zikaanza kusambazwa na niliwaambia straight kwamba siwez kuchangia maana ctaki kushiriki dhambi kubwa ivyo. Tunaposema APA now alishaolewa na wana familia na huyo jamaa wa uko kwao.
 
Unaweza kuta unachati na Mwamba. Ndio utajua hujui. Haya mambo ni ya hatari sana sometimes.
 
Itakuwa haisimami usjifarague hapa! hata hao unaosema umezalisha watatu watoto siwako, kama unabisha kapime DNA
Hili nalo neno si ajabu alikuta mwenzie alisha panda yeye kapata kazi ya kumwagilia mbegu tu
 
Binti kaolewa wiki mbili zilizopita na anaweka kabisa status picha za harusi, mumewe n.k ila huwezi amini ninachochat naye hapa sasa hivi, na si ajabu weekend hii nikaenda mla.

Aibu naona mimi.

Binti huyu aliwahi kuwa msichana wangu kitambo sana. Daaah, kikombe hiki kiniepuke. Siku hizi nimekuwa mwoga sana na wake za watu, kuna ki-guilty flan hivi, namwonea mwana huruma kinoma yani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Asilimia chache mno ya mabinti walioturia. Wengi ni wachafu. Na wanaume ivyo ivyo.

Omba sana umpate binti alieturia na mustaarabu na co muongeaji kama chiriku, awe m2 wa ibada,,kwa mwanaume piaa ivyo ivyo. Ingawa nadra mnoo kumpata wa ivyo.
 
Mzee mtu kalipa mahari yake na unasema hata week 2 hazijaisha unamaanisha bado yupo kwenye fungate alafu ww unataka upitenaye kiboya boya tu kuwa makini hapo usije kesho kutwa ukatufungulia uzi wengine ukisema mke wa mtu sumu.
Km nayashuhudia marinda ya mzee wa kula tunda kimasihara yanavyogombaniwa na vikaka viloshiba
 
nilashasema sioi na wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao sio dream yao muda wa jioni ukifika,so anaolewa tu kutoa gundu ila mawazo yapo kwa boyfriend wake wa secondary,hapo ataanza kumpikia chakula mchepuko na anamtuma mtoto wako akampelekee mchepuko chakula ambacho ni jasho lako wewe na anaweza akazaa kabisa na huyo mchepuko wake mtoto ukasingiziwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nna umri usiopungua miaka 32 na sina mtoto wala mke kadri nnavyosoma huu uzi nazidi kuvunjika moyo kwenye suala la kuoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom