Narudia tena: Magufuli si wa kuchezea

Bar sasa hivi ni heshima tu hakuna kuagiza nyingi kwa fujo wala ofa za hovyo,,
Nakubaliana na mtoa huu UZI Magufuli ni kiboko kwa kweli anatunyoosha kisawa sawa .
 
Masikini weee! kumbe ndiyo ujinga tulionao siku zote tukifikiri barabara ile imegharimiwa na serikali. Kwa taarifa yako serikali haijachangia hata sentí moja kwenye fly over ule ni msaada kwa serikali ya Japan
Kama kweli akili yako imeruka so ajabu . Japan ikujengee wewe kwani unataka uolewe nao ama nini. Huo ni mkopo na tutalipa kwa Kofi zetu. Kama hujui sio ukae kimya tu jamani.
 
Mi namuona Magufuli kama MTU sahihi kuongoza nchi ambayo ilikuwa imepinda ,
Ukweli mchungu, kwa kweli tumepata Rais bora sana.. Kuna watu wanasubiri atoke Madarakani ndio waseme tulipata kiongozi bora.. Tunaona Leo vioja vya upinzani kumkumbuka Kikwete wakati walimtukana matusi yote
 
Magufuli ni chaguo la Mungu anayesema ni dikteta aende Gambia akaone mfano.
Huyo mungu atakuwa wa chato ila sio Mungu wa mbinguni.
Watu wake Mungu lazima wakili na kuamini kuwa Mungu yupo.
Watu wa Mungu lazima waishi katika maneno yao.

Watu wa Mungu lazima Mungu aonekane machoni na mioyoni mwao.

Watu wa Mungu huongozwa na Busara itokayo kwa Mungu.


Watu wa Mungu humtanguliza Mungu katika kila jambo kwani yeye ndiye huwa kiongozi wao.

Watu wa Mungu hukaa na kuomba kwa ajili ya watu wao na si watu wao waombe kwa ajili yao.

Watu wa Mungu hulia na kuomboleza pale watu wao wanapopatwa na majanga,hufunga na kulililia jina la Bwana ili wapate kuokolewa nalo.

Mpaka hapo utakuwa umeelewa kama ni chaguo la Mungu au mungu.
 
Wanabodi wanajamii na watanzania kwa ujumla, nawasihi kila Siku kwamba namuona Magufuli kwenye sura za akina sokoine, Nyerere, Mkapa, Tumain el Kihwelu, na saa Nyingine ni kama Mrema Wa enzi zile,

Kwanza tumjue Magufuli ni nani,

Magufuli ni rais Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania,

Mambo yapi yanayoonesha magufuli hana utani kazini wala hataki kukwamishwa,

1. Wakati huu mamlaka zimekuwa active zaid kushughulikia wale wakosaji hata kabla ya yeye kutamka lolote maana wanajua akitamka ni mbaya zaid, bora watende kabla hajatamka

2. Magufuli hataki kutoa ahadi za kuridhisha tu , kama haiwezekan ni haiwezekan, fuatilia hotuba zake nyingi,

3. Magufuli ni mtu asiyependa kukwamishwa wala kubishiwa au kumtoa kwenye misingi anayoamini yeye,

4. Hacheki na MTU na hapendi kujaribiwa na hajaribiwagi

5. Upinzani na watu kwa ujumla wapo.kimya na wanachunguza maneno kabla hawajasema, imekuwa kama mwalimu nyerere vile, ukisema vibaya au kukashfu uko mikononi

6. Wala rushwa na wabadhirifu wanahaha wanashindwa wafanye nini kila kukicha maana njia zote kazibana

7. Magufuli ameweza kuelekeza hela za rambirambi bukoba zifanye mambo ya jamii ya bukoba na hakuna Wa kuhoji wanahoji chini chini,

8. Magufuli anania njema na Tanzania hivyo ukitaka kuleta ujinga tutakutunza sehem Salama kwanaza

9. Magufuli ndo kafanya Maalim seifu kukaa kimya na kuishia kujifariji kuwa kesi iko ICC, na kakataza fyokofyoko.

10. Magufuli ndo kafanya mnyika, mdee na wengine kukaa kimya maana utawala huu hauhitaji ujinga,

11. Magufuli ndo amesababisha Tanzania kujulikana upya uku Nje tulipo na kutambulika sana kama nchi yenye heshima,

12. Kama humjuhi magufuli hebu jaribu kumjaribu maana hata thread nyingi zinafutwa na mods kwa kuogopa,

13. Magufuli kafanya shilling ithaminiwe tena hakuna tip tena kwenya hoteli na bar

14. Mi namuona Magufuli kama MTU sahihi kuongoza nchi ambayo ilikuwa imepinda ,


Dah Magufuli!!!!!!!!!!!
Halafu ishu kama za madawa ya kulevya, pembe za ndovu na nk, zimepungua sana!
 
Back
Top Bottom