Mungu yupi? au Mungu wa ccm au wa kabila lenu au wa dini yenu? Kama una maanisha Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo yaani Mungu wa Biblia na hakika na nakuhakikishia zaidi ya 100% siyo yeye. Wewe una maanisha wa kabila lenu au wa chama chenu ccm. Nenda kasome Wafalme, uone wale waliotokana na Mungu kweli ukianzia na Daudi, walipokuwa wakitawala Israel ilikuwa inapatwa na nini? harafu ulinganishe na rais unaemsifia. Kabla hatujafika mbali tu democracy yenyewe tu ni mfumo wa kishetani, sasa rais anayewekwa na mfumo wa kishetani atokane na Mungu kweli?. Acha kabisa kudhihaki jina la Mungu, wee vipi? Franklin Roosevelt 33rd degree member marson na Rais wa 32nd wa Marekeni anasema hivi "Presidents are selected and not elected". So marais wengi huwa hawatokani wa matakwa ya wananchi, kuna kundi dogo tu katika nchi yoyote duniani ndo huwa lina amua nani wampe urais kwa interest zao. So usitake kuleta zako hapa. Unataka kuwa kipofu kama viongozi wa dini wa nchi hii? Toka usingizini na fumbua macho na uyaoshe.