Hatujapungua ila hatuzungumzi sana, tumeliacha Jembe letu lifanye kazi.Wapambe wake wamepungua sana cku hizi humu.cjui hali ngumu
Wanabodi wanajamii na watanzania kwa ujumla, nawasihi kila Siku kwamba namuona Magufuli kwenye sura za akina sokoine, Nyerere, Mkapa, Tumain el Kihwelu, na saa Nyingine ni kama Mrema Wa enzi zile,
Kwanza tumjue Magufuli ni nani,
Magufuli ni rais Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania,
Mambo yapi yanayoonesha magufuli hana utani kazini wala hataki kukwamishwa,
1. Wakati huu mamlaka zimekuwa active zaid kushughulikia wale wakosaji hata kabla ya yeye kutamka lolote maana wanajua akitamka ni mbaya zaid, bora watende kabla hajatamka
2. Magufuli hataki kutoa ahadi za kuridhisha tu , kama haiwezekan ni haiwezekan, fuatilia hotuba zake nyingi,
3. Magufuli ni mtu asiyependa kukwamishwa wala kubishiwa au kumtoa kwenye misingi anayoamini yeye,
4. Hacheki na MTU na hapendi kujaribiwa na hajaribiwagi
5. Upinzani na watu kwa ujumla wapo.kimya na wanachunguza maneno kabla hawajasema, imekuwa kama mwalimu nyerere vile, ukisema vibaya au kukashfu uko mikononi
6. Wala rushwa na wabadhirifu wanahaha wanashindwa wafanye nini kila kukicha maana njia zote kazibana
7. Magufuli ameweza kuelekeza hela za rambirambi bukoba zifanye mambo ya jamii ya bukoba na hakuna Wa kuhoji wanahoji chini chini,
8. Magufuli anania njema na Tanzania hivyo ukitaka kuleta ujinga tutakutunza sehem Salama kwanaza
9. Magufuli ndo kafanya Maalim seifu kukaa kimya na kuishia kujifariji kuwa kesi iko ICC, na kakataza fyokofyoko.
10. Magufuli ndo kafanya mnyika, mdee na wengine kukaa kimya maana utawala huu hauhitaji ujinga,
11. Magufuli ndo amesababisha Tanzania kujulikana upya uku Nje tulipo na kutambulika sana kama nchi yenye heshima,
12. Kama humjuhi magufuli hebu jaribu kumjaribu maana hata thread nyingi zinafutwa na mods kwa kuogopa,
13. Magufuli kafanya shilling ithaminiwe tena hakuna tip tena kwenya hoteli na bar
14. Mi namuona Magufuli kama MTU sahihi kuongoza nchi ambayo ilikuwa imepinda ,
Dah Magufuli!!!!!!!!!!!
Magufuli ni chaguo la Mungu anayesema ni dikteta aende Gambia akaone mfano.
ni chaguo la mungu na siyo Mungu, Mungu huwa hachangamani na watu ambao mikono yao imetapakaa damuMagufuli ni chaguo la Mungu anayesema ni dikteta aende Gambia akaone mfano.
Mtu asiejulikanaWanabodi wanajamii na watanzania kwa ujumla, nawasihi kila Siku kwamba namuona Magufuli kwenye sura za akina sokoine, Nyerere, Mkapa, Tumain el Kihwelu, na saa Nyingine ni kama Mrema Wa enzi zile,
Kwanza tumjue Magufuli ni nani,
Magufuli ni rais Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania,
Mambo yapi yanayoonesha magufuli hana utani kazini wala hataki kukwamishwa,
1. Wakati huu mamlaka zimekuwa active zaid kushughulikia wale wakosaji hata kabla ya yeye kutamka lolote maana wanajua akitamka ni mbaya zaid, bora watende kabla hajatamka
2. Magufuli hataki kutoa ahadi za kuridhisha tu , kama haiwezekan ni haiwezekan, fuatilia hotuba zake nyingi,
3. Magufuli ni mtu asiyependa kukwamishwa wala kubishiwa au kumtoa kwenye misingi anayoamini yeye,
4. Hacheki na MTU na hapendi kujaribiwa na hajaribiwagi
5. Upinzani na watu kwa ujumla wapo.kimya na wanachunguza maneno kabla hawajasema, imekuwa kama mwalimu nyerere vile, ukisema vibaya au kukashfu uko mikononi
6. Wala rushwa na wabadhirifu wanahaha wanashindwa wafanye nini kila kukicha maana njia zote kazibana
7. Magufuli ameweza kuelekeza hela za rambirambi bukoba zifanye mambo ya jamii ya bukoba na hakuna Wa kuhoji wanahoji chini chini,
8. Magufuli anania njema na Tanzania hivyo ukitaka kuleta ujinga tutakutunza sehem Salama kwanaza
9. Magufuli ndo kafanya Maalim seifu kukaa kimya na kuishia kujifariji kuwa kesi iko ICC, na kakataza fyokofyoko.
10. Magufuli ndo kafanya mnyika, mdee na wengine kukaa kimya maana utawala huu hauhitaji ujinga,
11. Magufuli ndo amesababisha Tanzania kujulikana upya uku Nje tulipo na kutambulika sana kama nchi yenye heshima,
12. Kama humjuhi magufuli hebu jaribu kumjaribu maana hata thread nyingi zinafutwa na mods kwa kuogopa,
13. Magufuli kafanya shilling ithaminiwe tena hakuna tip tena kwenya hoteli na bar
14. Mi namuona Magufuli kama MTU sahihi kuongoza nchi ambayo ilikuwa imepinda ,
Dah Magufuli!!!!!!!!!!!
Miaka yote tangu uhuru Tanzania tumekuwa tukipata marais bora, na wote wanatoka CCM. No complaints. Nashangaa mnaposema JPM ametunyoosha kama vile hao wengine hawakutunyoosha wakati nao walikuwa bora na walitoka chama kile kile. Nyie watu mbona hoja zenu huwa zinapingana pingana???Ukweli mchungu, kwa kweli tumepata Rais bora sana.. Kuna watu wanasubiri atoke Madarakani ndio waseme tulipata kiongozi bora.. Tunaona Leo vioja vya upinzani kumkumbuka Kikwete wakati walimtukana matusi yote
Mtu asiejulikanaMungu huyo siyo yule tumwaminiwe sisi wanyonge.mungu huyu ni wa kwako na yeye tu.Hakuna Mungu wa Visasi, chuki au ubaguzi.Msitudanganye na Mungu yenu mnayoijua wenyewe
Lakini ni kweli kabisa. Marais na viongozi na wanachama wa kutoka CCM wote wanafanana. Hawana tofauti hata kidogo. Wote wanakubaliana kwa kila kitu. They are birds with same feathers..... ndio maana Tanzania ipo hapa ilipo leo. No complaints at all.Hayo ni maoni yako. Ulichokosea ni kumfananisha Mhe Magufuli na Baba wa Taifa na Sokoine. Sidhani ulikuwa makini na nina wasiwasi kuwa hukumaansha.
Vipi namba 8?Namba 12 uko sahihi kabisa
Kilichompata Dikteta wa Gambia ulikiona ?Magufuli ni chaguo la Mungu anayesema ni dikteta aende Gambia akaone mfano.
Fly over wakati dawa hamna hospitalini?Mi nilikuwa naziona flyovers kwa majirani zetu Kenya zikipendezesha jiji la Nairobi..nikahisi kwetu ni kitu ambacho hakitakuja tokea na hakiwezekaniki..khaa Jamaa kuingia naona zinachipua kama uyoga..noma sana..kweli kila kitu kinawezekana chini ya jua.
Mi sijawahi kukosa dawa hospital au duka la dawa..ni pesa yako tu..Fly over wakati dawa hamna hospitalini?
Pengine ww ndio unapesa ila kuna vizee kule vijijini hawana hata mia,hii nchi yetu sote.Mi sijawahi kukosa dawa hospital au duka la dawa..ni pesa yako tu..
Pengine ww ndio unapesa ila kuna vizee kule vijijini hawana hata mia,hii nchi yetu sote.Mi sijawahi kukosa dawa hospital au duka la dawa..ni pesa yako tu..
Kumbe ishu ni pesa..nilidhani dawa..kutokuwa na pesa sio Tanzania tu..na kila mtu haitatokea awe na pesa..ndio maana wengine wanatibiwa Hindu mandala au agakhan..wengine temeke au mwananyamala..wakati wengine India au SAPengine ww ndio unapesa ila kuna vizee kule vijijini hawana hata mia,hii nchi yetu sote.