Chiwawa umerudi lakini bado una kamasi kichwani..!!
Wewe ngadu ungekuwa na pesa ungesumbua sana humu..! 😹😹
Haya lete mitusi yako kama juzi nikuitie mods urudi na id yako ya Kanye..
Ana ID ya kanye pia? 😂😂
Huyu mbona naanza kuhofia hata ID yangu itakuwa yake sasa