Unataka ujisahaulishe kuwa ww Ulitoa hadi Uzi wa Mahaba kwa member wa JF 😎😎😎.
Na bado ukakataliwa hadharani,Tena kwa herufi kubwa.
No you got it wrongThe deep meaning of “A giant looks in the mirror and sees nothing” is about failing to recognize your own worth, strength, or potential.
It suggests that:
The giant represents someone who is actually powerful, talented, successful, or capable.
The mirror represents self-reflection—how you see yourself.
Seeing nothing represents low self-worth, lack of self-awareness, or being unable to recognize your own abilities.
Mimi nilijizuia kuuliza bora umeniwakilisha!Nimefika hadi hapa kwenye umbea nimeshindwa kumove on
Enhe, alimtaka nani tena huyu akapigwa cha mbavu?
Sifa za kijinga kabsa.🥶A giant looks in the mirror and sees nothing ~Donda West
In my time off, JF nilijikuta naingia katika kujitathmini kwa kina ili nijue where why y'all hating on me the goat 🐐?
Ila nikaona it's all me who's trying to give y'all the upper hand.
Sasa narudi nikiwa makini kabisa kuona ya kuwa I can't trade my worth to Undeserving people.
Ndugu zangu kuna watu ukitaka u elevate, wao kazi yao ni kukutia insecurities doubts and fear. Aina hii ya watu ni wale walokwisha kukata tamaa, ambao wanajua fika ya kuwa wewe ni nani..
Kwa maana hakuna mtu atadeal na kitu anacho jua kakizidi.. Yaani hauwezi kwenda kushindana na timu uliyo izidi kila kitu...
Sasa narudi nikiwa sina drama za kijinga tena...
Itakuwa mimi na machapisho ya kiplatinum mpaka uongozi wa jf unipe badge of honor..
I will never let any demonic entities pull me back, I will always be ten toes to my vision, goals and purpose..
Nilisoma kuhusu Joanah is it true? Aisee....ila Kadri tunavyojua how perishable these physical reality is, ndo itupe motisha ya kupiga hatua na kuishi maisha tu yatakayo.
Elevenn is officially back now.
Nani kakwambia Binti wa zamani alinikataa?Mimi nilijizuia kuuliza bora umeniwakilisha!
Kuna muda alikua anamtaka binti kiziwi akapigwa cha mbavu sasa hivi anaishia kumtukana.
Akamchombeza binti wa zamani nako akapigwa cha mbavu.
Tatizo anataka mishangazi ili wamlee
Mkwara gani wa 11 hadi umekuingia kiasi hiki?Mimi kanipiga mikwara ndo maana sitii neno mpaka binti kiziwi afike
Tobaaa! Hata siri huna😂
Hii comment nimeisoma nikiwa kwenye V8, uelekeo wa Masaki.Am just joking bwana..
Kwenye uzi nimeandika in a way ambayo haita expose your privacy mbona.
Mm niliumizwa na zile taarifa, that's all
Alinambia leo ban inatolewa na anawekewa badge ya platinum.Mkwara gani wa 11 hadi umekuingia kiasi hiki?
😅😅😅
😂😂😂😂 Leo imeanzia saa ngapi hadi saa ngapi? Mbona bado hajapewa baje?Alinambia leo ban inatolewa na anawekewa badge ya platinum.
Mimi na wewe tusimchezee anatujua hadi majina yetu ya utotoni.
Kumbe hauumiwi bwana😂😂😂
Aisee wewe inabidi tukuweke case study tu hamna namna
Hakuna wa kuchomoa kwangu nikiamua
Hela hana!😂😂😂😂 Leo imeanzia saa ngapi hadi saa ngapi? Mbona bado hajapewa baje?
Jokes aside akipewa baje nahama. 😅
Shemeji kampa labda, who knows.Hela hana!
Mimi nilijizuia kuuliza bora umeniwakilisha!
Kuna muda alikua anamtaka binti kiziwi akapigwa cha mbavu sasa hivi anaishia kumtukana.
Akamchombeza binti wa zamani nako akapigwa cha mbavu.
Tatizo anataka mishangazi ili wamlee