Narudi nikiwa unstoppable

Narudi nikiwa unstoppable

Kwa sababu she's acting soo wierd

Yaani hana utulivu kabisa.

Anahisi atapata attention this time around
Mimi nipate attention kwa nani? 😹😹

Wewe ndo unapenda attention kuliko kula, hina uvumilivu na ban tayari umeibuka na id zako na kujiita mara shangazi yake na de gunner huoni kama unajitia kidole na kujinusa?
 
Umejuaje people hawa take care kuhusu yeye?
Tatizo lake anahisi humu watu wanajali kuhusu watu wengine. Na ndo kitu kinamtesa anahisi yeye ana umuhimu, kumbe alipopigwa ban hakuna hata anayejali kuhusu yeye ndiomana akaamua kuibuka na id nyingine aonekane..!! 😹😹😹

Huyu kiwango chake cha uchizi kiko juu sana ni wa kufungwa kamba…..!!
 
D

Dogo acha mihadarati ukitaka ustaa hamia insta huko kauze sura.

Hii mitandao ya Anonymity huwa kuna aina ya watu ambao mpaka wakufagilie lazima uwe very extra extra ORDINARY.Tofauti na hapo wewe ni chizi(mwanasesere) kama machizi wengine.
Utatoa mapovu mpaka uchoke tu...
Am unstoppable as I said, watu kama nyie huwa mnaumizwa sana... Because y'all insecure as hell.

Skia ongea na mkeo akuandalie chapati za kusukuma. Utaumia bure kujibizana humu
 
Sio nguvu tu mkuu
Nina nguvu na sina maumivu kokote

Bado nina matumaini lakini hata ikiwa ndivyo sivyo sitakuwa na cha kufanya, ni njia ambayo haikwepeki

Thats weird kwa kweli.
Uko normal tu mkuu.

Na Hope ndio kila kitu .
Na Mwaka 2027 utauona kwa uwezo wa Mungu.
Have Faith mkuu.
 
Tatizo lake anahisi humu watu wanajali kuhusu watu wengine. Na ndo kitu kinamtesa anahisi yeye ana umuhimu, kumbe alipopigwa ban hakuna hata anayejali kuhusu yeye ndiomana akaamua kuibuka na id nyingine aonekane..!! 😹😹😹

Huyu kiwango chake cha uchizi kiko juu sana ni wa kufungwa kamba…..!!
Utajitetea na kutema nyongo sana...

Nimekwambia have some sort of creativity.. Japo huwezi maana unajua you're just another crab in the barrel
 
Sio nguvu tu mkuu
Nina nguvu na sina maumivu kokote

Bado nina matumaini lakini hata ikiwa ndivyo sivyo sitakuwa na cha kufanya, ni njia ambayo haikwepeki

Thats weird kwa kweli.
Uko normal tu mkuu.

Na Hope ndio kila kitu .
Na Mwaka 2027 utauona kwa uwezo wa Mungu.
Have Faith mkuu.
mapambano Mema.
 
Ulitakiwa uanze wewe huoni comments zote za members zinakuona kituko?

Umejaa ujinga na sifa za kipuuzi, nyuzi zote unalilia badge kama taahira..!! 😹😹
Ni watu walidhani hivyo
 
Sio nguvu tu mkuu
Nina nguvu na sina maumivu kokote

Bado nina matumaini lakini hata ikiwa ndivyo sivyo sitakuwa na cha kufanya, ni njia ambayo haikwepeki

Thats weird kwa kweli.
Naona Uko normal tu mkuu.

Hope ndio kila kitu .
Na Mwaka 2027 utauona kwa uwezo wa Mungu.
Have Faith .
Nikutakie mapambano Mema.
 
Bro mimi ni msomaji mzuri tu
View attachment 3652143
Sawa ni msomaji mzuri sikatai na hongera kwahilo

Lakini kama hupati manufaa na kile unachokisama huoni kwamba ni kupoteza muda bure kwenye hivyo vitabu?

Kwababu watu wengi sana tunasoma vitabu lakini hatukifanyii kazi kile tunacho kisoma matokeo yake tunakuwa kama wote hatuja soma

Mtazamo,maono yako na matendo yako inapaswa yareflect na kile ulichosoma na kukifahamu,hapo sasa utaona faida ya kusoma
 
That's what am doing bro.
Am not flexing am just being me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom