BuchosaWasukuma wa wapi washamba hivi aisee!?
Usijali sana bwashee, sisi tulewe tu, leo na kichaa cha kula pombe vibaya mno 😉
Kwanini bwashee 😁😁😁Nakuomba ukilewa usiweke uzi bwashee
Ama ukishindwa kujizuia weka nyuzi mbili tu
Kwa shigongoNdo wapi huko bwashee?
Kwanini bwashee 😁😁😁
Kmmk wallah
Kwa hiyo mimi ndo nimekuwa wa mfano? Yani kama past paper sio
😆😆😆, sema uzuri mmoja naweka chitchat bwashee 🤣 wanaodisi ni magoigoi tu wasio jua dhima na jukwaa sahihiUkipendezaga unaweka nyuzi kwa mkupuo sana bwashee
Halafu nyuzi zenyewe sasa 🤦♀️
Nitaenda na wewe hivi hadi ukae mkao wa kula, haiwezekani the entire sukumagang inaharibiwa taswira na mtoto mdogo namna hii.Mzee shakmo..
Mbona umeingia na gia mbaya hivi?
Kuna wanapaita Lamadi(Ramadi?), nikajua wa huko ndio chenga, ngoja tuzidi kutafiti mangiiBuchosa
Kawaida tu , ukiwa na mzunguko mdogo wa pesa lazima uwaze kujiona matako kisa uzi wa jamii forumHivi huwa ukijirudi huwa unajiona je kwa mfano?
😆😆😆, sema uzuri mmoja naweka chitchat bwashee 🤣 wanaodisi ni magoigoi tu wasio jua dhima na jukwaa sahihi
I knew utakua wise enough kujua my tabia of kujitapa is mine na haina shida yoyote kwa member humu.Nitaenda na wewe hivi hadi ukae mkao wa kula, haiwezekani the entire sukumagang inaharibiwa taswira na mtoto mdogo namna hii.
Halafu humu jukwaani hakuna mzee, wala hatusalimiani shkamo! Hapa wote ni wakuu!!