Manabii tusiguswe bwasheeWajinga sana😆😆 hawajui sisi ni manabii nyumbu hawa
😹😹😹 Huyu chiwawa haishiwi pirika..!!Hiyo ya Eugene Krabs mnaijua wachache sana kuwa ni yeye 😂😂
Bwana mdogo hapa JF washamba kama wewe huwa tunawatroll na kuwafukuzia FB huku hatujali wewe ni mbuzi wa aina gani huku kila mtu mbabe,mjuaji. Yaani utamwambiani nini mwana Jf mshamba mmoja wewe.I don't give a damn
Hizo tambo wapelekee washamba huko kijijini kwenu
Uzuri wasukuma hawajawahi kutunza siri mkiongozwa na kaka yenu dudu baya a.k.a MAMBA 😹😹No comment
Acha kuhangaika na magazetiBwana mdogo hapa JF washamba kama wewe huwa tunawatroll na kuwafukuzia FB huku hatujali wewe ni mbuzi wa aina gani huku kila mtu mbabe,mjuaji. Yaani utamwambiani nini mwana Jf mshamba mmoja wewe.
Jf utapata nyumba wako kadhaa wataokuwa nakupa kichwa uzidi kujiona staa ila kusepa na kijiji hiyo sahau.Wewe nimekutolea mifano ya mbugira wenzako ambao wamepita kama kivuli.
Wewe humu akuna anayekujali wala kuzingatia upupu wako.Humu kama umenotice humu kila mtu fyatu.Jichanganye ulete userious uzidi kuchanganyikiwa!!!
Meaning nitakuwa SI unit hadi muda nilioambiwa nakufa around oct,november 🥺Tulia hivyohivyo, wewe ndio SI UNIT ya JF kwa mwezi August mpaka October 2026.
Kwa wivu mkubwa sana bro😅Manabii tusiguswe bwashee
Una maneno 🙌🙌😹😹😹 Huyu chiwawa haishiwi pirika..!!
Tatizo una mihemko mno...Uzuri wasukuma hawajawahi kutunza siri mkiongozwa na kaka yenu dudu baya a.k.a MAMBA 😹😹
IPO siku ukipiga cheupe utatufurahisha wambea..!!
Worry not kila mtu atalamba mchanga one time,Meaning nitakuwa SI unit hadi muda nilioambiwa nakufa around oct,november 🥺
Yeah, 100% uhakika arifWorry not kila mtu atalamba mchanga one time,
Umejuaje people hawa take care kuhusu yeye?Tatizo una mihemko mno...
Ndo maana people don't care about your bs
Haujui hata namna ya kubadilika kutokana na mazingira
Huwa unaingia na gia ile ile na vi emoji vyako vya paka
😹😹😹Una maneno 🙌🙌
Chiwawa?
Mimi ndo nilivyo siwezi kubadilika kama wewe mjomba Kanye 😹😹😹Tatizo una mihemko mno...
Ndo maana people don't care about your bs
Haujui hata namna ya kubadilika kutokana na mazingira
Huwa unaingia na gia ile ile na vi emoji vyako vya paka
Dogo acha mihadarati ukitaka ustaa hamia insta huko kauze sura.Acha kuhangaika na magazeti
Kama haujawa triggered hata usinge andika kitu.
Hautakufa. Utaishi Mkuu.Meaning nitakuwa SI unit hadi muda nilioambiwa nakufa around oct,november 🥺