Narudi nikiwa unstoppable

Narudi nikiwa unstoppable

That's what am doing bro.
Am not flexing am just being me
Sawa unakuwa wewe lakini mbona unakuwa tofauti na mentors wako ambao unawasoma kwenye hivyo vitabu?

Je mentors wako wanafundisha kuwa na majigambo? Wanafundisha kujiona wewe ni bora kuliko wengine?

Wanafundisha kupata heshima au kutambulika Kwa lazima?

Listen dude, kuna msemo unasema "iache kazi yako ikutambulishe uwezo wako"

Mfanyakazi mzuri ataonekana kupitia kazi yake anayoifanya,watu wakiona kazi yake watasema he or she is best

Ila wewe mwenyewe ukianza kusema mimi ni mchapakazi wakati hukuna Matokeo,watu watakushangaa

Sasa chapisha machapisho ya kiplatnum halafu watu waseme wenyewe yes de Gunner anastahili kuwa kweli platinum member

Be humble,mwerevu,muelewa mwaisho wa siku heshima itakuja yenyewe, nakwambia haya as your brother nakutakia mema
 
Tatizo lake anahisi humu watu wanajali kuhusu watu wengine. Na ndo kitu kinamtesa anahisi yeye ana umuhimu, kumbe alipopigwa ban hakuna hata anayejali kuhusu yeye ndiomana akaamua kuibuka na id nyingine aonekane..!! 😹😹😹

Huyu kiwango chake cha uchizi kiko juu sana ni wa kufungwa kamba…..!!
Yani umemjua kama umemzaa😅 hajui tu watu wa kilog off wanasahau takataka zote za humu
 
Sawa unakuwa wewe lakini mbona unakuwa tofauti na mentors wako ambao unawasoma kwenye hivyo vitabu?

Je mentors wako wanafundisha kuwa na majigambo? Wanafundisha kujiona wewe ni bora kuliko wengine?

Wanafundisha kupata heshima au kutambulika Kwa lazima?

Listen dude, kuna msemo unasema "iache kazi yako ikutambulishe uwezo wako"

Mfanyakazi mzuri ataonekana kupitia kazi yake anayoifanya,watu wakiona kazi yake watasema he or she is best

Ila wewe mwenyewe ukianza kusema mimi ni mchapakazi wakati hukuna Matokeo,watu watakushangaa

Sasa chapisha machapisho ya kiplatnum halafu watu waseme wenyewe yes de Gunner anastahili kuwa kweli platinum member

Be humble,mwerevu,muelewa mwaisho wa siku heshima itakuja yenyewe, nakwambia haya as your brother nakutakia mema
Siyo lazima afuate kila kitu hata robo yake inafaa maana haishi kwa kukariri
 
Mods wamefanya ubaya Ubwela.

Wame-merge akaunti ya mtoa mada na de Gunner
😀😀😀
Kijana ana shida sehemu, anahangaika na IDs nyingi hapo hapo anakuwa anazipigia misele IDs zenye majina ya kike. Hivi hata kama kweli ni Mwanamke nani atamkubalia ? Maana mpaka hapo anaonekana kama Tqpeli, mtoto mdogo tu msumbufu au mtu asiyejielewa
 
Aisee 😂
Hii vita sasa ni kama unataka kuanza upya tena.. Mimi ni mtu poa na genuine sana. Msinijengee picha mbaya mwishowe pissi kali zinikimbie bwana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom