Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
Nimekumbuka yale ya Kwenda kwetu yaliokuwa yanaitwa Bukwaya wakati huo.
Bongo imejitahidi mkuu, Full Mkeka hadi bushi!
Nilijuwa tu....Muhindi yuleeeeeee. Aisee hawa jamaa wana ukata kichizi na sidhani kama kuna wananchi wanaoishi maisha duni hapa duniani kama India. Hapa Bongo mswahili koko anona fahari kujiita muhindi, yaani basi tu ujinga?

wamelaaniwa