Narudi kijijini kutafuta mke

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mbona naona kuti apo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
 
NN nimekukubali mkuu.. Wewe ni mmoja wa watu ambao hakuna atakayekuja kukuchukia... All the best Nyani Ngabu..
 
 
Hahahahahhaa kamata chini kamatia chini...
Kamata chini kamatia chini....
Kamata chini kamatia chini .......

Huku mikono ikikamatia chini mauno yanazunguka kama feni. .....

Heheheheheheee simooooo
Kasinde yaani kumbe na wewe unajua kuyanogesha mananihii,basi nije unionjeshe na mimi,na soda la kopo unipe pia.
 
Kasinde yaani kumbe na wewe unajua kuyanogesha mananihii,basi nije unionjeshe na mimi,na soda la kopo unipe pia.

Hahahahahaaa chakula ya wakubwa hapewi mtoto hata siku moja..........

Chakula ya muzee hapewi mgeni hata siku moja hahahaha

Kasie.
 

Ngosha anaogopa mungu wa kabili
mungu amtangulie afanikiwe!!!
 
Je utakumbuka kucheza ngoma ya maswezi?
Au kula ugali na nsanzaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…