Narudi kijijini kutafuta mke



Hii Wazungu wanaita ,,midlife crisis" hakuna kingine!
 
Mi nakuombea wanaomsubiri mkeo town wabadili nia maana wanafurahije unaenda kuwaletea kitu OG.
 
mzee mwenzangu unaukumbuka ule wimbo wa profesa j....nikusaidiaje... hiyo hapo nimekuambatanishia isikilize kwa makini sana kisha kuwa makini sana katika swala la kutafuta mke....mke mwema anakuja mwenyewe hatafutwi mke mwema ni kama zawadi kutoka kwa Mungu, muombe sana Mungu na popote anaweza akakukutanisha na mke mwema.
 
Yaani wewe jamaa wewe... salute, hiyo si ni stand ya zamani hapo Shy. Piga picha pande za Ikungulyababshashi naweza kuikumbuka pia.

Ni dalili nzuri za kutafuta mke toka usukumani maana hawa wengine ni vichomi.

Hapo niaje.....unapatambua? Ni maeneo ya mnadani. Ila Wasukuma tuko washamba eeh heheeee



Downtown Ikungulyabashashi....cheki kikwangua anga hicho. Owner wake alikuwa Nyarugusu huko teh teh



Hiyo bodaboda ni yangu by the way....
 
Huh!?!

Basi nimeghairi...acha nikimbizane tu na hawa akina Ralina wa mjini manake naweza kufa kwa shengesha na shinikizo bure!
..tena ukimpeleka huko USA ndio atakupa shinikizo la damu hadi usahaulike. Nakumbuka jamaa alienda US akaishi huko miaka kadhaa, baadae akaona arudi home kuoa. Alioa na kumpeleka mkewe US ili kuendelea na maisha, kumbe yule dada alikuwa na mtuwe huko.
....naamini unaweza kubashiri kilichoendelea.
 
Umezoea mitumba yenye nywele bandia, kope bandia, nyusi bandia, uso poda, marangi mdomoni, manyonyo mdindisho, kalio mjaladio, kucha bandia, sikio tundu tano, pua kipini, ulimi kipini, kwapa mpulizo, papuchi kipini, kitovu kipini, kiuno cheni, mguu kikuku, shupi bikini wa kijiji utamuweza kweli Mkuu.
 

DFPA ni plate # za miradi, hahahaa. Hii story ya si ya kuichukulia kibubusa. Bodaboda ya mradi....
 
Mkuu wanzuki inangenezwaje kweli nisaidie maana ilikuwa kinywaji changu miaka ya 90 wakati nikiwa kanda hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…