Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

Pole sana brother!!! Anaeijua njaa anakuelewa. Ukiona vimeshindikana brother rudi om kwa muda, japo i know na ajira unaitaka ila usiendelee kuteseka jamaa angu pambania ikishindikana basi rudi om sikilizia kwanza mzee.
 
Mimi huwa naamin walimu wengi hampendan tofaut na wafanyakazi wengine.

Yan kweli kakosekana hata kjana mwenzako alie tangulia kwenye ajira ambae mamb yako vizur akajitolea akusaidie hadi mambo yakae vizuri uwe una kula chakula tu kwake? Kwani mkuu unamaliza kilo ngapi? Hata robo haumalizi.

Tatizo hampendani aise, wengine wakisikia kuna mgeni kafika muajiriwa mpya hata kama hawajuani wanahakikisha kwanza kapata sehemu ya kulala na kula.
 
Ungerudi home kwanza ukisubiria malipo yako na kama haitokei unaweza kubadilisha msimamo wako kuhusu hio ajira..jiajiri mwenyewe katika mashamba ya mboga mboga na mifugo kama kuku, nguruwe paka na mbuzi maisha yataenda tu ila siku zote mwanzo ni mgumu, anzisha chochote amabacho una uwezo nacho baadae utakuja kujishukuru kuwa ulianza mapema kufanya hivyo.
 
Mkuu pole sana......ajira ajira ajira.........ajira zombie......pole sana.....uliposema ugali chumvi au uji chumvi.......nimekuelewa barabara......nilipita huko mkuu, maisha ni safari....nikuulize huko ulipo ni wapi? hakuna hata vibarua,,, kulima, kupalilia, hata kuchimba mitaro halmashauri......pole sana....ila usikate tamaa...usiache kazi......hiyo elimu uliyonayo inaweza kukusongesha mbele zaidi....inuka tauta vibarua,,,,,kimbiza maisha.....wewe ni mtoto wa KIUME.......kuna macho mengi yanapata matumaini kupitia kwako.....usiogope giza...soon kunapambazuka brooo...
 
Pole sana kwa unayopitia ila kwa utaratibu ni kuwa baada ya kuripoti kazini unarudi nyumbani mpaka mshahara utakapoingia ndio unaenda rasmi kufanya kazi, huyo mkuu wako hana msaada wowote kwako nenda kaonane na mwajiri wako/afisa utumishi ndiye anaweza kukusaidia.
 
Pole sana kwa unayopitia ila kwa utaratibu ni kuwa baada ya kuripoti kazini unarudi nyumbani mpaka mshahara utakapoingia ndio unaenda rasmi kufanya kazi, huyo mkuu wako hana msaada wowote kwako nenda kaonane na mwajiri wako/afisa utumishi ndiye anaweza kukusaidia..
Sasa huyu mkuu wa shule hajui huu utaratibu? Pole sana ndugu.
 
Kuna watu mafundi wa maneno humu balaa, hebu mkuu nicheki nijaribu kuwa na wewe hata kwa faraja tu
 
Kuajiri kabla ya kuhakiki vyeti ni sawa na kuchamba kabla ya kunya.

Serikali katili ya CCM bado inaishi enzi za kinjekitile Ngwale.
 
Kwa kuanza kabisa Mimi ni mwalimu wa primary ajira mpya kwa hii intake ya Desemba!

Nakiri wazi kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2016 ndo nimebahatika kupata ajira mwaka jana lakini Hali yangu kimwili, na kiakili kwa Sasa haijakaa sawa kutokana na changamoto ninazopitia.

Kwanza naomba niweke wazi kuwa tangu mwezi desemba nipo kituoni (kazini) na sijawahi pewa mshahara hata mmoja maana kila nikifuatilia halmashauri naambiwa kuwa nisubiri uhakiki wa vyeti bado unaendelea na huu mwezi sina hakika ya kulipwa yaani hapa nilipo nadaiwa na watu hata kupokea simu naogopa, na mbaya zaidi kila siku naishi kwa mikopo na siku nikikosa kabisa nalala njaa kabisa, nilijaribu kumueleza mkuu wa shule lakini katika bajeti yao walinipa sh 10000 tu wakidai kuwa chalk na vifaa vingine vya shule havijanunuliwa na wakizidisha bajeti itawalemea.

Yaani sikuwahi jua kuwa mtu unaweza ikafika hatua ukaishi kwa mateso hivi.

Yaani inafika kipindi napika ugali naweka chumvi kisa sina mboga.

Muda mwingine nakoroga uji natia chumvi.

Huku kwetu maji tunanunua siku nikikosa hela ya kununulia maji nanawa maji niliyooshea vyombo.

Yaani Mambo mengi magumu ambayo nayapitia na mpaka saivi nimedhoofu mwili hasa, sina amani kabisa yaani.

Na kingine nikiweke wazi na hii shida sijui nimeirithi wapi maana ni Toka utoto mfano kama hapa nateseka Sana lakini kutoka hapa na kwenda kwa majirani nikaombe chakula nashindwa kabisa maana naweza kaa hata siku mbili sijaonja kitu lakini kuomba chakula kwa mtu nashindwa kabisa.

Na saivi hakuna mtu hata wa kumkopa maana asilimia kubwa nimewakopa na wengine wananidai maana nikiwaambia bado sijaanza kupokea mshahara wanahisi nawadanganya.

Ila nateseka sana Tena Sana kibaya zaidi naishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mwenye nyumba ananidai kodi Toka januari na analalamika nimlipe Kodi yake au nihame.

Naombeni ushauri jamani maana wazo lililopo kichwani ni kutoenda shule Hadi mshahara utakapo ingia ili hizi siku nitumie hata kufanya vibarua. Je, naweza achishwa kazi kwa kosa la kutoenda shule.
Habari ziwafikie wasifiaji wa serikali ambao kwao wanaona wanyonge ni akina mama ntilie, bodaboda na wamachinga tu. Lakini waajiriwa wa serikalini wapo wengi wana wakati mgumu sana
 
Nyie waalimu si ndio tatizo kubwa la tawala mbovu za Nchi hii

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Hapana nenda shule maana usipoenda mkuu wako atatoa taarifa kwa afisa elimu kata kuwa hufiki kazini naomba uje inbox mkuu pole kwa changamoto
 
Uko Wilaya gani?Pole sana
Weka namba ya simu pia atakaeguswa akusaidie
Ila pambana andika barua fuata taratibu zinazohusika kutoa malalamiko,,omba appointment na wakubwa ukikwama kabisa tafuta shuhuli nyingine ya kufanya.
Pole,Mungu atafanya njia

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Mungu akubariki Sana ndugu yangu hapo ulipotoa akakuzidishie zaidi na zaidi
 
POLE SANA,
VUMILIA YATA ISHA MUDA SI MREFU,
sema sasa huu msiba,.
Unaweza endelea KUKOSA HELA.

PLEASE NJOO PM
 
Back
Top Bottom