Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

Mkuu kwa hali huyo mwanafunzi unamfundisha nini?
Pole sana.
Ungejaribu kuwaeleza staff wenzio hali yako.
Kama ni chakula tu, jamani mbona hao wanaopokea mshahara wanakula?
Hakuna watu wazima hapo Ofisini kwenu? Ongea nao naamini watakubeba.
Kwa hali ilivyo ukiacha kazi hautaipata tena.

Try to be very social. Chakula kwa Walimu wenye ajira sio tatizo hata kidogo.
Wachotee hata maji basi au wafanyie vikazi vikazi.

Usiingie darasani na njaa ndugu yangu.
You won't teach anything.
 
Kwa kuanza kabisa Mimi ni mwalimu wa primary ajira mpya kwa hii intake ya Desemba!

Nakiri wazi kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2016 ndo nimebahatika kupata ajira mwaka jana lakini Hali yangu kimwili, na kiakili kwa Sasa haijakaa sawa kutokana na changamoto ninazopitia.

Kwanza naomba niweke wazi kuwa tangu mwezi desemba nipo kituoni (kazini) na sijawahi pewa mshahara hata mmoja maana kila nikifuatilia halmashauri naambiwa kuwa nisubiri uhakiki wa vyeti bado unaendelea na huu mwezi sina hakika ya kulipwa yaani hapa nilipo nadaiwa na watu hata kupokea simu naogopa, na mbaya zaidi kila siku naishi kwa mikopo na siku nikikosa kabisa nalala njaa kabisa, nilijaribu kumueleza mkuu wa shule lakini katika bajeti yao walinipa sh 10000 tu wakidai kuwa chalk na vifaa vingine vya shule havijanunuliwa na wakizidisha bajeti itawalemea.

Yaani sikuwahi jua kuwa mtu unaweza ikafika hatua ukaishi kwa mateso hivi.

Yaani inafika kipindi napika ugali naweka chumvi kisa sina mboga.

Muda mwingine nakoroga uji natia chumvi.

Huku kwetu maji tunanunua siku nikikosa hela ya kununulia maji nanawa maji niliyooshea vyombo.

Yaani Mambo mengi magumu ambayo nayapitia na mpaka saivi nimedhoofu mwili hasa, sina amani kabisa yaani.

Na kingine nikiweke wazi na hii shida sijui nimeirithi wapi maana ni Toka utoto mfano kama hapa nateseka Sana lakini kutoka hapa na kwenda kwa majirani nikaombe chakula nashindwa kabisa maana naweza kaa hata siku mbili sijaonja kitu lakini kuomba chakula kwa mtu nashindwa kabisa.

Na saivi hakuna mtu hata wa kumkopa maana asilimia kubwa nimewakopa na wengine wananidai maana nikiwaambia bado sijaanza kupokea mshahara wanahisi nawadanganya.

Ila nateseka sana Tena Sana kibaya zaidi naishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mwenye nyumba ananidai kodi Toka januari na analalamika nimlipe Kodi yake au nihame.

Naombeni ushauri jamani maana wazo lililopo kichwani ni kutoenda shule Hadi mshahara utakapo ingia ili hizi siku nitumie hata kufanya vibarua. Je, naweza achishwa kazi kwa kosa la kutoenda shule.
Pole sana kwa unayopitia mkuu, kwa mazingira kama hayo ni vyema ukawasiliana na maafisa utumishi then wakakupa ruhusa ya kwenda home na kurudi kazini pindi tu mshahar ukianzi kuingia but hiyo situation unapitia ni ngumu sana
 
Pole sana kwa unayopitia ila kwa utaratibu ni kuwa baada ya kuripoti kazini unarudi nyumbani mpaka mshahara utakapoingia ndio unaenda rasmi kufanya kazi, huyo mkuu wako hana msaada wowote kwako nenda kaonane na mwajiri wako/afisa utumishi ndiye anaweza kukusaidia..
Hamna utaratibu wa kurudi nyumbani mpaka mshahara uingie ila kuna siku kumi na nne mtumishi anapewa kwa ajili ya kwenda kufanya maandalizi kabla ya kuanza kazi. Hayo mengine ni busara na hekima za viongozi wake tu
 
Kumbe hii ya kurudi nyumbani hadi salary isome iko kisheria siyo??
Sio kwa serikali hii ya Hayati Magufuli.
Nenda nyumbani wakupige notification ya utoro mpaka uje ukae sawa kazi ushaachana nayo.
 
Vipindi vinabadilika, haya mambo ya kuriport na kukosa mshahara yameanza muda mrefu tu, ila kwa mazingira ya zaman mwalimu anapokelewa vizuri na kuwezeshwa na walimu wenzake pamoja na mkuu kwa kipindi chote kigumu anachopitia ila kutokana na hali ngumu ya kiuchumi siku hizi watu wamekuwa na roho mbaya sana kiasi kwamba wanaweza wakaona unapata shida na wakakuangalia tu
 
Nenda kwa mkuu wa wilaya ukamweleze tatizo lako
Kwa kuanza kabisa Mimi ni mwalimu wa primary ajira mpya kwa hii intake ya Desemba!

Nakiri wazi kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2016 ndo nimebahatika kupata ajira mwaka jana lakini Hali yangu kimwili, na kiakili kwa Sasa haijakaa sawa kutokana na changamoto ninazopitia.

Kwanza naomba niweke wazi kuwa tangu mwezi desemba nipo kituoni (kazini) na sijawahi pewa mshahara hata mmoja maana kila nikifuatilia halmashauri naambiwa kuwa nisubiri uhakiki wa vyeti bado unaendelea na huu mwezi sina hakika ya kulipwa yaani hapa nilipo nadaiwa na watu hata kupokea simu naogopa, na mbaya zaidi kila siku naishi kwa mikopo na siku nikikosa kabisa nalala njaa kabisa, nilijaribu kumueleza mkuu wa shule lakini katika bajeti yao walinipa sh 10000 tu wakidai kuwa chalk na vifaa vingine vya shule havijanunuliwa na wakizidisha bajeti itawalemea.

Yaani sikuwahi jua kuwa mtu unaweza ikafika hatua ukaishi kwa mateso hivi.

Yaani inafika kipindi napika ugali naweka chumvi kisa sina mboga.

Muda mwingine nakoroga uji natia chumvi.

Huku kwetu maji tunanunua siku nikikosa hela ya kununulia maji nanawa maji niliyooshea vyombo.

Yaani Mambo mengi magumu ambayo nayapitia na mpaka saivi nimedhoofu mwili hasa, sina amani kabisa yaani.

Na kingine nikiweke wazi na hii shida sijui nimeirithi wapi maana ni Toka utoto mfano kama hapa nateseka Sana lakini kutoka hapa na kwenda kwa majirani nikaombe chakula nashindwa kabisa maana naweza kaa hata siku mbili sijaonja kitu lakini kuomba chakula kwa mtu nashindwa kabisa.

Na saivi hakuna mtu hata wa kumkopa maana asilimia kubwa nimewakopa na wengine wananidai maana nikiwaambia bado sijaanza kupokea mshahara wanahisi nawadanganya.

Ila nateseka sana Tena Sana kibaya zaidi naishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mwenye nyumba ananidai kodi Toka januari na analalamika nimlipe Kodi yake au nihame.

Naombeni ushauri jamani maana wazo lililopo kichwani ni kutoenda shule Hadi mshahara utakapo ingia ili hizi siku nitumie hata kufanya vibarua. Je, naweza achishwa kazi kwa kosa la kutoenda shule.
 
... Hatujinyongiii hatunywi sumuuu CUF mbeleee kwa mbeleee [emoji445] [emoji445] [emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732]
On the eral though, huyu Mama atalegeza kamba kupandisha watu madaraja na kuwasaidia watumishi wa umma wapunguze makali ya maisha?

Kamati ya roho mbaya itapitisha ajenda hii?
 
Nenda kamweleze Afisa Elimu, ikishindikana nenda kwa Mkurugenzi wa Wilaya

Haya yote uliyoyaandika humu, waeleze hao mabosi (waeleze yote, usiache hata moja)

Hakika shida yako itatatuliwa, acha uwoga
 
Kwa kuanza kabisa Mimi ni mwalimu wa primary ajira mpya kwa hii intake ya Desemba!

Nakiri wazi kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2016 ndo nimebahatika kupata ajira mwaka jana lakini Hali yangu kimwili, na kiakili kwa Sasa haijakaa sawa kutokana na changamoto ninazopitia.

Kwanza naomba niweke wazi kuwa tangu mwezi desemba nipo kituoni (kazini) na sijawahi pewa mshahara hata mmoja maana kila nikifuatilia halmashauri naambiwa kuwa nisubiri uhakiki wa vyeti bado unaendelea na huu mwezi sina hakika ya kulipwa yaani hapa nilipo nadaiwa na watu hata kupokea simu naogopa, na mbaya zaidi kila siku naishi kwa mikopo na siku nikikosa kabisa nalala njaa kabisa, nilijaribu kumueleza mkuu wa shule lakini katika bajeti yao walinipa sh 10000 tu wakidai kuwa chalk na vifaa vingine vya shule havijanunuliwa na wakizidisha bajeti itawalemea.

Yaani sikuwahi jua kuwa mtu unaweza ikafika hatua ukaishi kwa mateso hivi.

Yaani inafika kipindi napika ugali naweka chumvi kisa sina mboga.

Muda mwingine nakoroga uji natia chumvi.

Huku kwetu maji tunanunua siku nikikosa hela ya kununulia maji nanawa maji niliyooshea vyombo.

Yaani Mambo mengi magumu ambayo nayapitia na mpaka saivi nimedhoofu mwili hasa, sina amani kabisa yaani.

Na kingine nikiweke wazi na hii shida sijui nimeirithi wapi maana ni Toka utoto mfano kama hapa nateseka Sana lakini kutoka hapa na kwenda kwa majirani nikaombe chakula nashindwa kabisa maana naweza kaa hata siku mbili sijaonja kitu lakini kuomba chakula kwa mtu nashindwa kabisa.

Na saivi hakuna mtu hata wa kumkopa maana asilimia kubwa nimewakopa na wengine wananidai maana nikiwaambia bado sijaanza kupokea mshahara wanahisi nawadanganya.

Ila nateseka sana Tena Sana kibaya zaidi naishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mwenye nyumba ananidai kodi Toka januari na analalamika nimlipe Kodi yake au nihame.

Naombeni ushauri jamani maana wazo lililopo kichwani ni kutoenda shule Hadi mshahara utakapo ingia ili hizi siku nitumie hata kufanya vibarua. Je, naweza achishwa kazi kwa kosa la kutoenda shule.
Wote tumepitia huko. Kwanza wewe unamaisha mazuri sana hapo ulipo.
 
Haya uliyoandika ungemwandikia hivihivi mkurugenzi wako pengine Mambo yatabadilika.

kwa Sasa tuache tunashuguulika na yatima walioachwa na magufuli mama mtilie,machinga ,bodaboda na wengineo Hawa hawajui hata kesho yao itakuwaje.
 
Kuna mwalimu yuko Geita vijiji vya ndan ndan sana....alipopatata ajira akaanza badilishana mpunga kwa hela...i thnk anakupa 5000 unampelekea debe 1...mwaka 2019 alikua ana machine za kukoboa mpunga alikua ana zaidi ya 600m bank narudia zaidi ya miliom mia sita benk...alinionesha nikahisi kupata kiharusi ..ukimuona unakataa...yaan anapelekewa mpunga balaa anaukoboa kitu kinaenda Rwanda na Congo! Ni mwalimu wa shule ya msingi tu!

Mwingine yupo Musoma...alipopelekwa vijijini akaanza kusanya mpunga anaweka kwake..akaona kwake kumejaa akaanza weka godown..yaan alikua anaukusanya kama kichaa ..mwaka jana ameuza akapata 8m! Na anakuambia hata 1m haikufika..maana wanafunzi wanampelekea anaupima ( ndoo unaiwekea petrol inatanuka)anawaambia haujfika debe analetewa 10kgs...nadhan wapima mpunga wanajua njia ile ya kuzungusha ndoo huku unaweka!
Wengine mikoa inayolima miti anawatumia wanafunzi kupanda miti..kwa mwaka anaweza panda miti hata 3000....imagine after yrs ana utajiri kias gani!
●Moral of the story wasibweteke tu huko mkifika vijijini... fursa kijijini had unadata..
Dah sijui wengine tunafeli wapi

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Acha dharau,
Mimi Ni mwl sijapitia huko, wewe mwl wa zama zipi na nchi gani uliyepitia maisha magum kama hayo?
 
Dah sijui wengine tunafeli wapi

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Huyu wa 600m mie nilihis naota .yaan alinionesha kwa jicho langu...ana mashine kama 4 ..zinasaga zinakoboa mpunga na kugrade ..( then geita unga ni aghali...so unapewa kiroba ch 10 unaleta mpunga nadhan 3debez)
Huyu wa mwisho ni shoga ana maono hata nikikaaga naye yaan anakuambia mtoto akikoaa hela ya dawat anatoa yy lakin gunia la mpunga liletwe wakat wa mavuno...sasa mzaz alosaidiwa anamuongezea na debe 2 juu(umeelewa)
 
Kwa kuanza kabisa Mimi ni mwalimu wa primary ajira mpya kwa hii intake ya Desemba!

Nakiri wazi kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2016 ndo nimebahatika kupata ajira mwaka jana lakini Hali yangu kimwili, na kiakili kwa Sasa haijakaa sawa kutokana na changamoto ninazopitia.

Kwanza naomba niweke wazi kuwa tangu mwezi desemba nipo kituoni (kazini) na sijawahi pewa mshahara hata mmoja maana kila nikifuatilia halmashauri naambiwa kuwa nisubiri uhakiki wa vyeti bado unaendelea na huu mwezi sina hakika ya kulipwa yaani hapa nilipo nadaiwa na watu hata kupokea simu naogopa, na mbaya zaidi kila siku naishi kwa mikopo na siku nikikosa kabisa nalala njaa kabisa, nilijaribu kumueleza mkuu wa shule lakini katika bajeti yao walinipa sh 10000 tu wakidai kuwa chalk na vifaa vingine vya shule havijanunuliwa na wakizidisha bajeti itawalemea.

Yaani sikuwahi jua kuwa mtu unaweza ikafika hatua ukaishi kwa mateso hivi.

Yaani inafika kipindi napika ugali naweka chumvi kisa sina mboga.

Muda mwingine nakoroga uji natia chumvi.

Huku kwetu maji tunanunua siku nikikosa hela ya kununulia maji nanawa maji niliyooshea vyombo.

Yaani Mambo mengi magumu ambayo nayapitia na mpaka saivi nimedhoofu mwili hasa, sina amani kabisa yaani.

Na kingine nikiweke wazi na hii shida sijui nimeirithi wapi maana ni Toka utoto mfano kama hapa nateseka Sana lakini kutoka hapa na kwenda kwa majirani nikaombe chakula nashindwa kabisa maana naweza kaa hata siku mbili sijaonja kitu lakini kuomba chakula kwa mtu nashindwa kabisa.

Na saivi hakuna mtu hata wa kumkopa maana asilimia kubwa nimewakopa na wengine wananidai maana nikiwaambia bado sijaanza kupokea mshahara wanahisi nawadanganya.

Ila nateseka sana Tena Sana kibaya zaidi naishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mwenye nyumba ananidai kodi Toka januari na analalamika nimlipe Kodi yake au nihame.

Naombeni ushauri jamani maana wazo lililopo kichwani ni kutoenda shule Hadi mshahara utakapo ingia ili hizi siku nitumie hata kufanya vibarua. Je, naweza achishwa kazi kwa kosa la kutoenda shule.
Umeenda kwa mkurugenzi ukapewa jibu gani?
 
Huyu wa 600m mie nilihis naota .yaan alinionesha kwa jicho langu...ana mashine kama 4 ..zinasaga zinakoboa mpunga na kugrade ..( then geita unga ni aghali...so unapewa kiroba ch 10 unaleta mpunga nadhan 3debez)
Huyu wa mwisho ni shoga ana maono hata nikikaaga naye yaan anakuambia mtoto akikoaa hela ya dawat anatoa yy lakin gunia la mpunga liletwe wakat wa mavuno...sasa mzaz alosaidiwa anamuongezea na debe 2 juu(umeelewa)
Aisee nimeelewa, Kuna watu wanajua kupambana kuanzia chini kabisa bila kuwa na mtaji, sie tunasubiri mamilioni tuanze biashara

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Aisee nimeelewa, Kuna watu wanajua kupambana kuanzia chini kabisa bila kuwa na mtaji, sie tunasubiri mamilioni tuanze biashara

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Ndo maana mie sio muumin kbs wa kusema mtaji hakuna...mfano huko visiwani nimeona wamama mostly single mazaz...wanaishi huko....yaan nilichoka...asbh anatembelea mialo ya dagaa anaomba kaz ya kuanika dagaa na kugeuza ..jion wanapopim( wanapouza matajiri) yy anakuwepo p3mben...zikibak anapewa yeye ..na zinabak kama debe halijai sana...imagine anakusanya hizo wanaita za mboga kias gan! Wanatembea na madish yale madogo yanayouzwa 2000...yaan kufika saa12 mwenzako anakufata anakuambia tajiri nna ndoo 5 naomba nikuuzie...sasa imagine akusanye for a week ..huyo hana cha kusubiri mtaji wala nn ...sema wamebweteka...hawaoni mbele...wale wenye vision ndo unawaona daily wanaenda +254 na kurudi wanapeleka dagaa!
Mie sio muumini wa hizo neno MTAJI
 
Back
Top Bottom