Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,196
- 5,734
Pole sana Mkuu giza hakiwezi kupambana na nuru kunakucha....nor soon nitashukuru humu humu, never give up!
Wewe nimzembe tangu mwakajana mwezi wa 12 unashindwa kulima tuta la mboga. Unashindwa kupanda Miche kumi ya nyanya, unashindwa kinda bamia Miche 100, u ashindwa kupanda maharage kilo Moja upate mboga, acha upunguani na kujilalamisha na njaa wakati unaweza kifanya kimojawapo hapo, kikakusaidia. Hii ndiyo Serikali ya jamhuri. Mwandikie Mkurugenzi barua kuwa unamadeni mitaani unaomba upumzike kazi mpaka utakapo lipwa hela.Kwa kuanza kabisa Mimi ni mwalimu wa primary ajira mpya kwa hii intake ya Desemba!
Nakiri wazi kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2016 ndo nimebahatika kupata ajira mwaka jana lakini Hali yangu kimwili, na kiakili kwa Sasa haijakaa sawa kutokana na changamoto ninazopitia.
Kwanza naomba niweke wazi kuwa tangu mwezi desemba nipo kituoni (kazini) na sijawahi pewa mshahara hata mmoja maana kila nikifuatilia halmashauri naambiwa kuwa nisubiri uhakiki wa vyeti bado unaendelea na huu mwezi sina hakika ya kulipwa yaani hapa nilipo nadaiwa na watu hata kupokea simu naogopa, na mbaya zaidi kila siku naishi kwa mikopo na siku nikikosa kabisa nalala njaa kabisa, nilijaribu kumueleza mkuu wa shule lakini katika bajeti yao walinipa sh 10000 tu wakidai kuwa chalk na vifaa vingine vya shule havijanunuliwa na wakizidisha bajeti itawalemea.
Yaani sikuwahi jua kuwa mtu unaweza ikafika hatua ukaishi kwa mateso hivi.
Yaani inafika kipindi napika ugali naweka chumvi kisa sina mboga.
Muda mwingine nakoroga uji natia chumvi.
Huku kwetu maji tunanunua siku nikikosa hela ya kununulia maji nanawa maji niliyooshea vyombo.
Yaani Mambo mengi magumu ambayo nayapitia na mpaka saivi nimedhoofu mwili hasa, sina amani kabisa yaani.
Na kingine nikiweke wazi na hii shida sijui nimeirithi wapi maana ni Toka utoto mfano kama hapa nateseka Sana lakini kutoka hapa na kwenda kwa majirani nikaombe chakula nashindwa kabisa maana naweza kaa hata siku mbili sijaonja kitu lakini kuomba chakula kwa mtu nashindwa kabisa.
Na saivi hakuna mtu hata wa kumkopa maana asilimia kubwa nimewakopa na wengine wananidai maana nikiwaambia bado sijaanza kupokea mshahara wanahisi nawadanganya.
Ila nateseka sana Tena Sana kibaya zaidi naishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mwenye nyumba ananidai kodi Toka januari na analalamika nimlipe Kodi yake au nihame.
Naombeni ushauri jamani maana wazo lililopo kichwani ni kutoenda shule Hadi mshahara utakapo ingia ili hizi siku nitumie hata kufanya vibarua. Je, naweza achishwa kazi kwa kosa la kutoenda shule.
Mimi huwa naamin walimu wengi hampendan tofaut na wafanyakazi wengine.
Yan kweli kakosekana hata kjana mwenzako alie tangulia kwenye ajira ambae mamb yako vizur akajitolea akusaidie hadi mambo yakae vizuri uwe una kula chakula tu kwake? Kwani mkuu unamaliza kilo ngapi? Hata robo haumalizi.
Tatizo hampendani aise, wengine wakisikia kuna mgeni kafika muajiriwa mpya hata kama hawajuani wanahakikisha kwanza kapata sehemu ya kulala na kula.
Mbona uwezo wako wa kufikiri ni mdogo Sana unasubili Nini kuendelea kuwa kituoni si urudi kwenu usubiri siku wakuwekee mshaharaKwa kuanza kabisa Mimi ni mwalimu wa primary ajira mpya kwa hii intake ya Desemba!
Nakiri wazi kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2016 ndo nimebahatika kupata ajira mwaka jana lakini Hali yangu kimwili, na kiakili kwa Sasa haijakaa sawa kutokana na changamoto ninazopitia.
Kwanza naomba niweke wazi kuwa tangu mwezi desemba nipo kituoni (kazini) na sijawahi pewa mshahara hata mmoja maana kila nikifuatilia halmashauri naambiwa kuwa nisubiri uhakiki wa vyeti bado unaendelea na huu mwezi sina hakika ya kulipwa yaani hapa nilipo nadaiwa na watu hata kupokea simu naogopa, na mbaya zaidi kila siku naishi kwa mikopo na siku nikikosa kabisa nalala njaa kabisa, nilijaribu kumueleza mkuu wa shule lakini katika bajeti yao walinipa sh 10000 tu wakidai kuwa chalk na vifaa vingine vya shule havijanunuliwa na wakizidisha bajeti itawalemea.
Yaani sikuwahi jua kuwa mtu unaweza ikafika hatua ukaishi kwa mateso hivi.
Yaani inafika kipindi napika ugali naweka chumvi kisa sina mboga.
Muda mwingine nakoroga uji natia chumvi.
Huku kwetu maji tunanunua siku nikikosa hela ya kununulia maji nanawa maji niliyooshea vyombo.
Yaani Mambo mengi magumu ambayo nayapitia na mpaka saivi nimedhoofu mwili hasa, sina amani kabisa yaani.
Na kingine nikiweke wazi na hii shida sijui nimeirithi wapi maana ni Toka utoto mfano kama hapa nateseka Sana lakini kutoka hapa na kwenda kwa majirani nikaombe chakula nashindwa kabisa maana naweza kaa hata siku mbili sijaonja kitu lakini kuomba chakula kwa mtu nashindwa kabisa.
Na saivi hakuna mtu hata wa kumkopa maana asilimia kubwa nimewakopa na wengine wananidai maana nikiwaambia bado sijaanza kupokea mshahara wanahisi nawadanganya.
Ila nateseka sana Tena Sana kibaya zaidi naishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mwenye nyumba ananidai kodi Toka januari na analalamika nimlipe Kodi yake au nihame.
Naombeni ushauri jamani maana wazo lililopo kichwani ni kutoenda shule Hadi mshahara utakapo ingia ili hizi siku nitumie hata kufanya vibarua. Je, naweza achishwa kazi kwa kosa la kutoenda shule.
Duuuh. Umetoa siri wakulima wa nafaka wanavyoibiwa na wanunuzi. Ndoo za kupimia wanatanua kwa petroli. Ndo maana wakulima wengi tanzania ni masikiniKuna mwalimu yuko Geita vijiji vya ndan ndan sana....alipopatata ajira akaanza badilishana mpunga kwa hela...i thnk anakupa 5000 unampelekea debe 1...mwaka 2019 alikua ana machine za kukoboa mpunga alikua ana zaidi ya 600m bank narudia zaidi ya miliom mia sita benk...alinionesha nikahisi kupata kiharusi ..ukimuona unakataa...yaan anapelekewa mpunga balaa anaukoboa kitu kinaenda Rwanda na Congo! Ni mwalimu wa shule ya msingi tu!
Mwingine yupo Musoma...alipopelekwa vijijini akaanza kusanya mpunga anaweka kwake..akaona kwake kumejaa akaanza weka godown..yaan alikua anaukusanya kama kichaa ..mwaka jana ameuza akapata 8m! Na anakuambia hata 1m haikufika..maana wanafunzi wanampelekea anaupima ( ndoo unaiwekea petrol inatanuka)anawaambia haujfika debe analetewa 10kgs...nadhan wapima mpunga wanajua njia ile ya kuzungusha ndoo huku unaweka!
Wengine mikoa inayolima miti anawatumia wanafunzi kupanda miti..kwa mwaka anaweza panda miti hata 3000....imagine after yrs ana utajiri kias gani!
●Moral of the story wasibweteke tu huko mkifika vijijini... fursa kijijini had unadata..
Sidhan kama hawajui mkuuDuuuh. Umetoa siri wakulima wa nafaka wanavyoibiwa na wanunuzi. Ndoo za kupimia wanatanua kwa petroli. Ndo maana wakulima wengi tanzania ni masikini
Niliongea naye kadai kuwa mtu ambaye hajalipwa mshahara sio ww tu na lingine alisema yy anaruhusiwa kutoa ruhusa ya siku mbili tu ndo maana nataka niamue kwa mawazo yangu nistop kwenda kazini kwa muda hata bila taarifa rasmi.
Ndo maana tanzania imetoa tajiri mmoja kati ya 18 afrika. Kumbe masikini tumejazana rundo. Dhuluma imetamalaki wa watu masikiniSidhan kama hawajui mkuu
Shikamoo auntNimeikumbuka ajira yangu ya kwanza....... miaka 16 iliyopita
Hakuna nauli, hakuna hela ya kujikimu, hakuna mshahara miezi7
Marhaba mwanaShikamoo aunt
Wewe nimzembe tangu mwakajana mwezi wa 12 unashindwa kulima tuta la mboga. Unashindwa kupanda Miche kumi ya nyanya, unashindwa kinda bamia Miche 100, u ashindwa kupanda maharage kilo Moja upate mboga, acha upunguani na kujilalamisha na njaa wakati unaweza kifanya kimojawapo hapo, kikakusaidia. Hii ndiyo Serikali ya jamhuri. Mwandikie Mkurugenzi barua kuwa unamadeni mitaani unaomba upumzike kazi mpaka utakapo lipwa hela.
Rudi nyumbani kwa baba na mama ukashindane na wadogo zako kula chapati
Nilikua naanza chuo nadhan...Marhaba mwana
2006 first appointment ulikua na miaka mingapi😂😂😂😂
Ndo maana unashabikia ccm😒..40 nataka nikusindikize ukanyoe dadaangu....umeumia mnoMarhaba mwana
2006 first appointment ulikua na miaka mingapi😂😂😂😂