Napitia katika changamoto kubwa

mmmmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimtishe mdada wa watu ukifikiria 35 angalia ni wa ngapi hawapo duniani, hao wanao force kingi ndo mana ndoa za siku hizi zimekuwa hell yani ujitolee mahari kisa ni nini labda. Huyo akitulia atapata tu kuna mdada anajipendekeza na kazeeka hajampata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha kwa hao wenzako mbona hata wazo la watoto kwao halipo anaeweza kuishi kama hao mbona shida hana hongela sana kwa kuishi kupitia wenzako
Sasa huku kwetu MTU ana mbele wala nyuma anazaa sikuongeza u maskini hafu uzae utegemee mtoto atakutunza kama hukujiandaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada, kufunga novena bila juhuzi ya ziada ni kasi bure. Fuatilia mfumo wako wa maisha. Namna unavyoishi na watu. Unawachukuliaje, unawasiliana nao vipi, unawajibika vipi kwao.

Jambo moja linalonishangaza ni kutaka kujiingiza kwenye mapenzi na mume wa mtu. Fikiria angekuwa ni mume wako. Ni nafuu ukaridhika na maisha hayo kuliko kukubali kufanya mambo mabaya kama ya kutembea na mume wa mtu. Madhara yake ni makubwa zaidi.

Fuatilia maisha yako. Badili staili ya maisha. Mume utampata kwenye maisha yako ya kila Siku. Badili namna unavyohusiana na watu. Ninaona kuwa, una changamoto fulani hapa.

Kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ku
Kujipendekeza ndio sijui na kujitongozesha amakumwambia mwanaume unanioa lini. Maana nitaenda teseka mpaka nijute kuwajua. Mimi nataka mtu aridhie mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…