Umri wako bado mdogo dadangu, na mahitaji yako makubwa sana.
Unapoomba kwa Mungu usitegemee mwanaume atashuka kutoka mbinguni.
Jiweke katika mazingira ya kutongozeka, usinune nune kua na tabasamu muda wote na ujitahidi ku-socialize...
Kama umeamua kuomba, omba kwa bidii Mungu wetu (hata kwetu mashetani) ni mwaminifu na atakupatia hitaji la moyo wako. Usipate hofu 'mwanangu' utashinda kwani wakati wako bado hujawadia.
Sarah, mke wa Ibrahim alikuja kupata mtoto hata baada ya menopause kupita. Wewe ni nani hadi ukate tamaa mapema hivi.
Btw, hata mimi nipo mkoa uliopo. Nafikiri tunaweza kuonana kwa ushauri zaidi.
Wako mtiifu
-
Satan -
-gracias-