Napitia katika changamoto kubwa

Napitia katika changamoto kubwa

Umesoma mpaka chuo....lakini kiswahili bado kinakupiga chenga......

Tiari=tayari


Nije kwenye ushauri sasa.....kwani dada ina maana toka umalize chuo mpaka hapo ulipo kuanzia kazini mpaka mtaani kwenu hakuna wanaume wengi wengi wanaokutongoza ???? Kama wanakutongoza halafu unawakataa huwezi jua mmoja wapo labda angekua mumeo!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sasa tuko pamoja kabsaaa huyo analake jambo tu

Kama kakosa itabidi amtengeneze mwenyewe tu
 
YANI KUWA MWANAMKE NI SHIDAAAA!!
dume hapa lingeshajizalia zake ,likagonga votu vyake safiiiii!
Ona dada wa watu anavohahaha kama anataka kupindua serikali!

Maskin sijui Nani kamwambia akishatoa bikira na kupata Watoto ndo amemaliza chabgamoto za MAHUSIANO!!

Anajilaumu kujitunza ,as in hawezi kushauri wanae wajitunze!!
Anaamini Kuna mwanadamu huko mwenye funguo za maisha yake!!
wooooih!!.

Mdada sikiliza,hebu sahau kwanza kuwa una Bikira!!

HALAFU ENDELEA NA MAISHA!!
And if at all unaanza MAHUSIANO na mtu na kuanza kuhubiri SHERIA KAMA UNATUNGA KATIBA!!
utaishia kutolewa Bikira,utazaa na utajikuta

TABU IKO PALE PALE!!
sijui nimeeleweka!!
 
Wanampa moyo et umri bado.
yani aende leba na 40 siamini akisemacho huyo ni mchaguzi kama wachaguzi wengine ngoja Mungu amuonyeshe kua yeye hakosei
Nimefuatilia comment nyingi zimekaa kinafiki tu ukweli unajulikana huyu mtoa post anaonekana mchaguzi sana na kama anajifanya wa imani Kali apate kwenye Dini sawa na yake atazeeka bila kupata hicho anachohitaji kwa sababu ya uchaguzi wake
 
Umesoma mpaka chuo....lakini kiswahili bado kinakupiga chenga......

Tiari=tayari


Nije kwenye ushauri sasa.....kwani dada ina maana toka umalize chuo mpaka hapo ulipo kuanzia kazini mpaka mtaani kwenu hakuna wanaume wengi wengi wanaokutongoza ???? Kama wanakutongoza halafu unawakataa huwezi jua mmoja wapo labda angekua mumeo!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Anatunza bikra yake kwa ajili ya mume atakae muoa kwahyo anaogopa kuingia kwenye mahusiano hovyio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante ndugu yangu. Maana nikikaa mwenyewe najiona kama niko mkosefu. Angalau niliona nisemee huku ili la moyoni linitoke niweze kufanya kazi vizuri. Kunachangamoto unapita nazo mpaka unaona dunia umeibeba.
Hapana Dada.ujue syo we tu. Mimi mwenyewe ninapokuwa natazamia kufikia hatua flani huwa nakuwa mvumilivu mpaka nachoka naamua kufanya maamuzi tofauti siku ambayo naenda kufanya hayo maamuzi mapya lile lengo la zaman ndpo linakuja .hapo ndpo ninapoaamini kuwa mungu huwa hawahi wala hachelewi ila hufika wakat mwafaka.wakati ule mwanadamu anapokata tamaa. Amini hauko mbali kulifikia lengo lako .Kama namuona shemeji(mmeo) ni mtu Bora na sahihi na ana endana na wewe, ana vokupenda sasa hadi wivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri wako bado mdogo dadangu, na mahitaji yako makubwa sana.

Unapoomba kwa Mungu usitegemee mwanaume atashuka kutoka mbinguni.

Jiweke katika mazingira ya kutongozeka, usinune nune kua na tabasamu muda wote na ujitahidi ku-socialize...

Kama umeamua kuomba, omba kwa bidii Mungu wetu (hata kwetu mashetani) ni mwaminifu na atakupatia hitaji la moyo wako. Usipate hofu 'mwanangu' utashinda kwani wakati wako bado hujawadia.

Sarah, mke wa Ibrahim alikuja kupata mtoto hata baada ya menopause kupita. Wewe ni nani hadi ukate tamaa mapema hivi.

Btw, hata mimi nipo mkoa uliopo. Nafikiri tunaweza kuonana kwa ushauri zaidi.

Wako mtiifu
- Satan -
-gracias-
 
Nimefuatilia comment nyingi zimekaa kinafiki tu ukweli unajulikana huyu mtoa post anaonekana mchaguzi sana na kama anajifanya wa imani Kali apate kwenye Dini sawa na yake atazeeka bila kupata hicho anachohitaji kwa sababu ya uchaguzi wake
WANAFIKI NI WENGI SANA ILA NDO WANAOKWENDA PM KUJAZIA. KUONDOA HIZO CHANGAMOTO
 
Back
Top Bottom