Napitia katika changamoto kubwa

Mmmmmm! 32 kweli bikira ipo hukucheza rede au kuruka kamba maana zingine zinatoweka kwa mazoezi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mwanaume utakayempata atapata tabu sanaa!
 
Pole sana dada, ila swala kama hlo mbona kawaida tu.maadam umeamua Umeamua kuwa baridi kwa kumtegemea Yesu endelea hvo hvo usigeuke nyuma...binafsi namjua Yesu kamwe hajawah kumwangusha mtu
 
Mmmmmm! 32 kweli bikira ipo hukucheza rede au kuruka kamba maana zingine zinatoweka kwa mazoezi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mwanaume utakayempata atapata tabu sanaa!
Na tabu yake si ya nchii hii. Mbona atajuta kunijua. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kama uko tayari mimi sihitaji bikira ila nahitaji mke mwaminifu kwenye ndoa lakini pia mimi siyo tajiri ila familia yangu hailali na njaa japo ni maskini. Kama kweli siyo mwongo njoo nikupe watoto unotaka lakini utakuwa mke wangu siyo uzae uniambie nitatunza mwenye nina pesa zangu hapo tena sitaki nenda kaolew huko kwa wanaoweza kufanya hivyo. Upo au unakimbia mpaka uvunjike miguu kesho unarudi na thread kama hii tena...
 
Eeee wewe sasa hutofautiani na baba watoto wa zamani yaani mwanzoni tu unakalika hivi. Niache tu nijipange kurudi nikilalamikia wazee wa fursa wamefanya yao wakasepa.
 
naomba baada ya mwezi uje na mrejesho wa hii post kisha uni tag
 
Eeee wewe sasa hutofautiani na baba watoto wa zamani yaani mwanzoni tu unakalika hivi. Niache tu nijipange kurudi nikilalamikia wazee wa fursa wamefanya yao wakasepa.
Umesema vema...utapata sauti ya upole na kubembeleza utavuna mauti...shida watu hapendi ukweli wanataka ladha tamu ya maneno hatima yake ni ndoano. Hongera kwa kukimbia majivu...maisha mema.
 
Umesema vema...utapata sauti ya upole na kubembeleza utavuna mauti...shida watu hapendi ukweli wanataka ladha tamu ya maneno hatima yake ni ndoano. Hongera kwa kukimbia majivu...maisha mema.
Asante pia. Hao wa kumbembeleza waache wapate nafasi. Nikiumizwa si utanipa pole ama utaninanga?
 
Haya sasa! bora ungeenda kuomba ushauri kwa baba askofu.
 
Kitu kinachonishangaza kuhusu shetani huwa anapenda kuwatesa watu wanaosali na kuswali sana.

Anyway majaribu ni mtaji kusanya kusanya dada angu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Askofu kamtuma hapa JF? Kwani umesikia huyu ni mtawa??

Haaaaa! Maana nakuona unafungasha uende mwanza kutatua tatizo uwe mgeni sijui wa muda gani begu ziikigoma hata mwaka unakaa kwa dada wawatu kweli
hahahaaa mnavyopaparika daaah mnaaminije huyu ni mwanamke na si dume linawaenjoy tu?

Hata mm nimestuka kitambo hakuna bikira hapo.
 
Haaaaa! Maana nakuona unafungasha uende mwanza kutatua tatizo uwe mgeni sijui wa muda gani begu ziikigoma hata mwaka unakaa kwa dada wawatu kweli

Hata mm nimestuka kitambo hakuna bikira hapo.

Ndo maana tunasema, awaite wanaume kwake na wapeane mikataba sahihi. Kama ni kidume hicho basi aelewe kuwa watu wapo pia wa kumpa mbegu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…