Napitia katika changamoto kubwa

Yes mkuu namimi nakaziapo apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
desperation in highest order.

halafu watu kama wewe mkiwa bado mko kwenye heydays za usichana wenu huwa mnatukana sana masela wanaojaribu kuwa approach, mkiombwa namba za simu mnavuta midomo dharau nyingi.... utafikiri hamtakuja kumuhitaji mwanaume maishani mwenu, kumbe muda huo sir God huwa anawachora tu, jua likizama ndio mnaanza kuangaika na kuweuka kama hivi ...mamaee!!

Na wewe uwe fundisho kwa videmu vya JF ambavyo bado vinaringa ringa na nyodo kibao vifahamu tu kwamba jua likizama vitatutafuta hadi sisi wapiga debe.
 
Dah...!!! Hii nilitakiwa niione mwaka jana hii..
 
MBONA KIMYAA AU MSHAHAMIA PM TAYARI,,,,,,,,,,,,?
 
BIBLIA inasema hakuna atakayekosa mwenza wake ila unapaswa ujiweke kwenye mazingira yya kuonekana kwa watu ssio kwa kufunga au kuoomba lazima ujiweke kwenye mrengo wa kupatikana
1. Jiweke sawa katika maneno yako na uunavyojisemea wewe mwenyewe, biblia inasema dunia iliumbwa kwa maneno. maneno unaayojisemea yanaweza kukjengea au kukuuharibu. Unawaza nini juu ya jambo lako. ukiwa hasi inakuwa hasi ukiwa chanya inakuwa chanya
2.Muonekano.. unawezakuta kuna wau wanakuona ila uavyojiweka wanahisi wewe ni wa gharama sana au unajiweka kamammama mtu mzima kumbe bado ni binti jiweke kwenye mkao wako unaopeleka ukaonekana
3.Tafuta watu sahihi ambao mna matatizo au changmoto sawa ukikaa na ambao wana watoto utapaik mana kila muda wao wanajadili mambo yao wewe huna la kujadili juu ya watoto.
Lakini pia kuwa mvumilivu na ujiulize je maombi yangu nayaomba kwa njia sahihi(neno la Mungu) yawezekana ukioma unamlaumu sana Mungu bbadala ya kumnyenyekea au kumuuliza akuongoze kwenye njia sahihi. Unavyoomba siku zote itakuletea faida au hasara. refer .....mapenzi yako yatimizwe,,
Yaawezekana ukawa unaoma mtoto kume huyo mtoto ndo akawa mwanzo wa kukuharibia maisha yako..

NAONA MAJESHI YAMEHAMIA PM KILA HERI
2.
 
Mpigie huyu hapa ni mtumishi wa mungu kwa namna yoyote atakusaidia 0763134629. Mm pia amenisaidia makubwa kuliko yako.
 
Haya Mambo ya DINI ndio yanayokuwekea vikwazo.

Ondoa hiyo DHANA kichwani mwako.

Kama shida yako ni MTOTO tu, nitafute nikuletee KIUMBE.

DINI yangu MUISLAM.

Unasemaje MALAIKA?

Muhimu,

Uwe tayari kupima NGOMA (UKIMWI), na tunaenda wote pamoja MIMI na wewe kwenda kupima NGOMA
 
Pole sana Jane..... God is on your side..... nakuombea ufanikiwe..... ukitakaushauri zaidi jisikie huru kuniuliza..... I will be available....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwaje; uliosoma nao,unaoishi nao,unaosali nao,unaofanya kazi nao,na mlioishi nao asitokee hata mmoja aliyetayari kuishi na wewe......kuna tatizo, labda ulikuwa mkali sana au kuna sifa zingine ziliwanyima nafasi za hao unaowatafuta kipindi hiki.kuna tofauti,umri wa mwanaume unapoongezeka kuhitajika kwake ktk mahusiano huongezeka zaidi ni tofauti na mwanamke,umri unapoongezeka zaidi wanaume wanajiondoa kwenye ushindani.kwa umri ulionao kama hutobadilika ktk life style kuna uwezekano mkubwa ukazaa na mme wa mtu,au mtu aliyefiwa na mke.
 
Mungu ni mwema wakati wote!

Habari mrembo wangu katika Kristo Yesu, natumai uko poa, sitaki kukupotezea muda sana niende kwenye mada, nmesoma uzi wako kwanza nikupe hongera kwa kua na msimamo na nataka nikutie Moyo mume mwema yuko njiani usijali maana mawazo anayotuwazia Mungu wetu ni mema ikiwemo kukupatia mume halali wa ndoa na familia nzuri!

Hebu ukipata muda soma kitabu kizima cha Ruthu ni kitabu kidogo tu kina sura nne tu! Kuna ushauri mzuri sana Naomi alimpa Ruthu hebu upitie!

Nitakuweka kwenye maombi yangu leo, na namwomba Roho Mtakatifu akuongoze vyema katika kuchambua na kuchukua ushauri mzuri utakao kufaa katika mwingi ambao umeshatolewa humu ndani (watu wengi wametoa ushauri mzuri sana!)

Ni hayo tu mrembo wangu nakutakia kila la heri na lenye baraka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo inbox tafathali Nina shida kama ya kwako njoo nipo huru tubadilishe mawazo tutalimaza kabsa

Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
 
Sipati picha hayo mabazazi yalivyojazana huko PM kwako yakipambana kupewa ruhusa ya kuivunja bikra yako!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wameokoka wanaogopa kutoa wamezoea vya kukuta njia ishatengenezwa. Kwa hiyo hawapo kabisa wapo tu hapa wanasoma na kutoa michango. Wanaume nao si wanaakili nyingi.
 
Ushauri mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…