Napitia katika changamoto kubwa

Tatizo ni kuwa utapata mtoto umri umeenda na kuna uwezekano usione mafanikio yake
 
Ninae mama mdogo aliolewa akiwa na about 45, kuna dada mwingine namfahamu aliolewa akiwa na 40, mlinzi wetu alioa akiwa na 45 alioa binti wa 30, kuna rafiki yangu baba yake anaandaa harusi anaoa akiwa na 60 na mwanamke 55, huyo baba hakuwahi kuona alikuwa ana zaa tu na wanawake tofauti tofauti. Sasa wewe 32 unajiona umezeeka wakati bado binti kabisa? we angalia chereko chereko kwenye TV kama ushaona vibinti vinaolewa? wanao olewa asilimia kubwa na kuanzia 25 and above wa 30 to 35 ndo asilimia kubwa wanao olewa, fanya uchunguzi uone.
 
Pole sana,jitunze na ongeza kusali Novena na kusubili majibu ya Mungu,kwani njia mbaya huja haraka ila iliyonjema huchelewa. Naomba sali sana pia SALA ILIYOKUTWA KWENYE KABURI LA YESU 1503AD(huwa Mimi naitumia sana ili kutafuta ufumbuzi wa jambo kwaharaka). Mimi nami nitaanza kukupigania kiroho na ninaimani mafanikio yanakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiamini kila Kitu ambacho jamii inaamini, wewe inaelekea unapata tabu kutokana na jamii yako kukuona ulivo, Muamini Mungu, imani uliyona yo

Endelea nayo USIKATE Tamaa, ulipoishia ndipo Mungu anaaanzia ,kama umeweza vumilia Muda wote, Endelea kesho yako ipoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kwamba nakupinga ila kwa mwanamke umri una maana kubwa sana mkuu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"bora uzae na mwanaume ambae hajaanza kuwa na familia,familia yako ndo iwe ya kwanza."

Na bikra mngekuwa mnatutunzia ili na sisi tuwe wanaume wenu wa kwanza ingependeza zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Kweli sister kwa sasa your head is not right. Moyo wenye subira una malipo mema, na kusihi usiwe na haraka na maisha unakoelekea unaenda kuharibu maisha yako na utajuta milele yule mdudu unaoitwa UKIMWI yuko jirani yako anakumendea au jiandae kubeba makopo jalalani au kunyofolewa baadhi ya viungo vyako kwa hao waume za watu unaotaka kuparamia. Mungu ashakuandalia mume mwema sema tu huna subira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani fote 40 kabsaa kwa mwanamke mii sikubali kwa mwanamke punguza tena saaa
Aliyetoa hiyo post ameshindwa kuelewa kuwa at 45 ndo muda ambao wanawake wengi duniani kizazi kinafunga exceptional kwa wale wa oman ambao wao at 50 ndo mwisho sjajua sababu hasa .sasa unaoa at 40 unapata mtt wa kwanza at 41 hapo hajapumzuka 1 year au 2 so kama ni 2 at 43 anabeba mimba anazaa ata 44 mara paap kizazi hakitotoi tena at 45 na bado unahitaji watoto .

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sikia dada yangu, usijaribu kuvunja taratibu zako kwa ajili ya mwanamme kwani kuna wanaume wengine wanatumiwa na shetani kukupima wewe au kukuharibia maisha.....kama uliweza kuvumilia miaka yote hiyo basi utaweza vumilia mpaka pale utakapopata mume atakayekuletea Mungu. Mungu ana maajabu yake na usikute anakupima tu aone utafanya nini. Kumbuka, hauishi kwa matakwa ya jamii, unaishi utakavyo wewe, hivyo basi usikubali kuhukumiwa nao hata siku moja. Inaonekana wewe ni mcha Mungu na unajuwa fika kuwa Mungu kampangia kila mmoja wetu njia tofauti maishani. Subira uvuta heri, Kumbuka hili.
 
Cha ajabu mie naona kama hausali bali unamlaumu Mungu. Ndio maana unadai unasali lakini hapo hapo uko tayri kuzaa na mume wa mtu, unamjaribu eeeh!!!
Mungu hajaribiwi my dear, kama unauomba basi omba ukimaanisha kisha subiri, wakati wa Mungu ndio wakati sahihi. Usimpangie, kuna watoto yatima wengi tu wamekosa wa kuwasitiri hebu wafikirie pia.
 
Yan kwa maelezo hayo u fit in every way with a woman of my dreams, ispokua umri tu maana m 24yrs.. m pretty sure out there kuna mume wako all u have to do is, fanya mambo yako na uendelee kusali, hakika Mungu atakuletea mwanaume ambaye analingana na thamani yako na ambaye atajiona ni mwenye bahati kuwa na wewe...
Nakushauri usitatue tatizo dogo kwa njia ambayo mbeleni itakuzalishia matatizo makubwa kwako na watoto wako..

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…