Napitia katika changamoto kubwa

Inawezekana amu kama sio chai lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unasema ukweli jaribu kuangalia safari ya Wana Israel? Hivi unafikri kwa umbali wa kutoka misri hadi kanani wangeweza kutumia muda wa miaka 40.
Kama ulimuomba Mungu akupe kazi na alikupa kwa nini saizi unamuona Mungu hawezi kukupa Mme.
Unamkatia tamaa Mungu ambaye ndo aliyeshika uhai wako.
Soma mapito aliyopitia Ayubu je unafikiri angekata tamaa mwisho wake ungekuaje?
Unafikri kuolewa ni suluhisho la Furaha ya mwanadamu? Je , hujaona watu wako kwenye ndoa lakini hawana watoto?
Yesu anasema mfurahini mnapopita katika majaribu maana baada ya hayo mtavikwa Taji.
Wana Israel walipokua wanamwacha Mungu na kugeukia miungu mengine walikua wanapigwa na maadui zao vibaya. Rudi usifanye kupata mke na mtoto ndo awe Mungu wako.
Tafakari ni mangapi Mungu amefanya kwako then rudi kwa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kama unafanya utani afu unamwingizia Mungu kwenye Utani jitafakari Mana Mungu adhihakiwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza hongera kwa kujitunza mana kwa dunia ya leo ww ni wapekee!! Amka usiku wa manne muombe Allah!!! Mwambie kwa hisia kali kama vile unamuona face2face,,, mwambie usiponisadia ww nan atansaida!! Naapa kwa alieumba mbingu na ardhi, hakika atakupa hitajio lako,, tena atakupa mpaka uridhike!!
 
Sasa hivi naona kama umri unaenda sana hivyo nahofia kukosa mtoto kabisa. Tatizo kubwa nililonalo ninapenda sana watoto na kwa sasa namhitaji kuliko ninavyoweza zungumza.
Pole sana ni kweli umli unaenda na inaonyesha unapenda sana watoto ila usithubutu kufanya mpango wa kuzaa kwa kutafuta tuu yeyote wa kukuzalisha ni hatari sanaaa mamy ogopa sana nazani bado kunamuda kidogo endelea kusubiri utapata mtu sahihi na utapata mtoto impendezavyo Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sina muda wa ku-pm wadada wa humu jf maana naona ntajipotezea muda amu
 
Daaa!!!! Tatizo umenizidi umri,ila nakushauri nenda kwa gwajima kwa walokole, kuna mwenzio alikuwa ana shida kama yako juzi kavaa shela ameolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo mkoa gani, mi nipo hapa moro, nicheki inbox tuyajenge wengi watakuzingua
 
Kibongo bongo ukishaolewa hata hivyo mara moja hlf ukachika inaafadhali maana zile kelele za walimwengu zinapungua. Hapo ni km ametoa nuksi.
 
Kama nakufahamu vile, ngoja nitafute mtu muhimu wa kukusaidia na hajaoa hadi sasa, na yeye anatafuta Mchumba ila yupo 40's MBUKWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…