Napingana na wanaosema Afya ya Rais si siri


unapingana na watu au katiba! Maana hili ni swala la kikatiba😂 kujipendekeza
 
Mchakato wa kuhusu nini kifanyike kuhusiana na afya ya rais pindi akiumwa umeandikwa kwenye katiba, unaelewa hilo?
 
Naunga mkono hoja huu uzushi wa mtandaoni unaboa Sana tu, na Raisi apige kimya hivo hivo
 
Kwani Kim jong un alikaa mafichoni kwa muda gani.
Hizi ni mbinu za viongozi wenye akili kujificha kwa muda ili wawajua wabaya wao
Na pia ujue ili uelewe vizuri mchezo inabidi utoke nje ta mchezo
 
K
Kwani akiamua kuchukua faragha kwa muda fulani ili atekeleze na kufuatilia kwa karibu mambo fulani katika utawala wake hapo kuna shida gani? Anaweza kujitakia faragha pia kwa ajili ya kuliombea Taifa dhidi ya Corona (mfano tu) hapo kuna shida gani? Naamini ni kwa faida ya kitaifa kuwa kwa sasa anafanya kazi bila kuonekana hadharani. Hata kama hauelewi ndivyo ilivyo.
 
Hebu na wewe tuwekee ushahidi kwamba haumwi!
 
Mkuu wew bado layman , kasome katiba kwa upana usije na mapambio mufu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Kim jong un alikaa mafichoni kwa muda gani.
Hizi ni mbinu za viongozi wenye akili kujificha kwa muda ili wawajua wabaya wao
Na pia ujue ili uelewe vizuri mchezo inabidi utoke nje ta mchezo

Kama tangu 2016 hajawajua wabaya wake na matokeo ya mchezo anaoupiga itakuwa ajabu sana.
 
Nimesoma katiba yetu sijaona Ibara inasema Rais atatekeleza majukumu yake kupitia magazeti na TV.

Jamaa wanaotuhumu huko kwa bahati mbaya sana hakuna aliyekuja na credible evidence ni speculations tu ndizo tunazohangaika nazo.

Sasa mtu anakuambia " NIMEAMBIWA" na chanzo changu cha kuaminika kuwa hali iko hivi, sasa sisi tutaamini vipi kuwa ni kweli kuwa hicho chanzo ni cha kuaminika ?? Na habari ni ya kuaminika??

Jamani eeh tuendelee na mambo yetu ukifika wakati muafaka tutawekwa wazi kama ipo haja ya kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…