Napingana na wanaosema Afya ya Rais si siri

Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake.

Kuondoka ghafla kwa Mhe Kijazi si Jambo dogo kwenye utawala wa nchi, huyu alikuwa mshauri mkuu wa Rais na aliyahifadhi mengi ambayo hakuna mwingine aliyeweza kuyafahamu isipokuwa watu wawili labda na wasaidizi wao.

Kwa kiongozi anayeliwazia mema na Taifa na kiongozi aliyefanya kazi kubwa ya mageuzi kwenye utumishi na mfumo wa serikali ikiwemo kupambana na ufisadi lazima akae ayapitie majalada yote nyeti nakutoa marlekezo kwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Lakini pia ipo hoja ya kuumwa, sidhani kama kukaa ofisini ukafanya kazi zako kumekatazwa kikatiba, hakuna sehemu katiba inamtaka Rais anatakiwa aonekane mara ngapi kwa wiki, mwezi au mwaka. Hivyo kukaa kwake kimya si kinyume Cha sheria.

Tatu Rais haendeshwi kwa matakwa ya watu flani wenye maslahi yao binafsi kwamba leo watamwambia ongea akaongea na kesho wakamwambia nyamaza akanyamaza. Rais ni mkuu wa nchi na hapaswi kuendeshwa na genge flani la watu. Hawa hawa mwaka jana walivumisha habari hizihizi lakini matokeo yalionekana. Tusipende kuibaka katiba kwa kuitumia vibaya au kuitafsiri tutakavyo.

Kama yupo mwenye ushahidi kwamba anaumwa aweke wazi na hapo ndipo zitaibuka hoja za kisheria na kikatiba na serikali itawajibika kujibu.

KUENDELEA KUMTAKA RAIS AJITOKEZE AACHE KAZI ALIZOKABIDHIWA NA SERIKALI NI UTOVU WA NIDHAMU DHIDI YA TAASISI HII NYETI. HATA AKIKAA MWAKA HAKUNA SEHEMU KATIBA INAMLAZIMU AJITOKEZE KUFANYA KAZI KWENYE MEDIA.

HONGERA SERIKALI KWA KUWEZA KUDHIBITI UPEPO WA WAHUNI WA MITANDAONI

unapingana na watu au katiba! Maana hili ni swala la kikatiba😂 kujipendekeza
 
Mchakato wa kuhusu nini kifanyike kuhusiana na afya ya rais pindi akiumwa umeandikwa kwenye katiba, unaelewa hilo?
 
Naunga mkono hoja huu uzushi wa mtandaoni unaboa Sana tu, na Raisi apige kimya hivo hivo
 
Kwani Kim jong un alikaa mafichoni kwa muda gani.
Hizi ni mbinu za viongozi wenye akili kujificha kwa muda ili wawajua wabaya wao
Na pia ujue ili uelewe vizuri mchezo inabidi utoke nje ta mchezo
 
K
Kwa tabia ya rais kuonekana kwenye vyombo vya habari kila siku toka aingie madarakani na sasa kutoweka ghafla kunaonyesha kuwa kuna tatizo pahali.

Kibaya zaidi ni pale serikali inapojaribu kuficha ukweli bila kujua kuwa muda wenyewe unaenda mbio na ndio utakaoleta ukweli siku chache zijazo.

Tumeongea humu mara kadha wa kadha kuwa hakuna binadamu special mbele ya Mungu lakini kuna watu wamekuwa wakimuona rais kama mtu tofauti hata machoni pa mwenyezi Mungu kitu ambacho sio kweli kabisa.

Hakuna kinachoweza kufichwa milele, ukweli utadhihiri tu na huenda serikali ikatafuta pa kuficha kichwa siku chache zijazo.
Kwani akiamua kuchukua faragha kwa muda fulani ili atekeleze na kufuatilia kwa karibu mambo fulani katika utawala wake hapo kuna shida gani? Anaweza kujitakia faragha pia kwa ajili ya kuliombea Taifa dhidi ya Corona (mfano tu) hapo kuna shida gani? Naamini ni kwa faida ya kitaifa kuwa kwa sasa anafanya kazi bila kuonekana hadharani. Hata kama hauelewi ndivyo ilivyo.
 
Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake.

Kuondoka ghafla kwa Mhe Kijazi si Jambo dogo kwenye utawala wa nchi, huyu alikuwa mshauri mkuu wa Rais na aliyahifadhi mengi ambayo hakuna mwingine aliyeweza kuyafahamu isipokuwa watu wawili labda na wasaidizi wao.

Kwa kiongozi anayeliwazia mema na Taifa na kiongozi aliyefanya kazi kubwa ya mageuzi kwenye utumishi na mfumo wa serikali ikiwemo kupambana na ufisadi lazima akae ayapitie majalada yote nyeti nakutoa marlekezo kwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Lakini pia ipo hoja ya kuumwa, sidhani kama kukaa ofisini ukafanya kazi zako kumekatazwa kikatiba, hakuna sehemu katiba inamtaka Rais anatakiwa aonekane mara ngapi kwa wiki, mwezi au mwaka. Hivyo kukaa kwake kimya si kinyume Cha sheria.

Tatu Rais haendeshwi kwa matakwa ya watu flani wenye maslahi yao binafsi kwamba leo watamwambia ongea akaongea na kesho wakamwambia nyamaza akanyamaza. Rais ni mkuu wa nchi na hapaswi kuendeshwa na genge flani la watu. Hawa hawa mwaka jana walivumisha habari hizihizi lakini matokeo yalionekana. Tusipende kuibaka katiba kwa kuitumia vibaya au kuitafsiri tutakavyo.

Kama yupo mwenye ushahidi kwamba anaumwa aweke wazi na hapo ndipo zitaibuka hoja za kisheria na kikatiba na serikali itawajibika kujibu.

KUENDELEA KUMTAKA RAIS AJITOKEZE AACHE KAZI ALIZOKABIDHIWA NA SERIKALI NI UTOVU WA NIDHAMU DHIDI YA TAASISI HII NYETI. HATA AKIKAA MWAKA HAKUNA SEHEMU KATIBA INAMLAZIMU AJITOKEZE KUFANYA KAZI KWENYE MEDIA.

HONGERA SERIKALI KWA KUWEZA KUDHIBITI UPEPO WA WAHUNI WA MITANDAONI
Hebu na wewe tuwekee ushahidi kwamba haumwi!
 
Mkuu wew bado layman , kasome katiba kwa upana usije na mapambio mufu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Kim jong un alikaa mafichoni kwa muda gani.
Hizi ni mbinu za viongozi wenye akili kujificha kwa muda ili wawajua wabaya wao
Na pia ujue ili uelewe vizuri mchezo inabidi utoke nje ta mchezo

Kama tangu 2016 hajawajua wabaya wake na matokeo ya mchezo anaoupiga itakuwa ajabu sana.
 
Nimesoma katiba yetu sijaona Ibara inasema Rais atatekeleza majukumu yake kupitia magazeti na TV.

Jamaa wanaotuhumu huko kwa bahati mbaya sana hakuna aliyekuja na credible evidence ni speculations tu ndizo tunazohangaika nazo.

Sasa mtu anakuambia " NIMEAMBIWA" na chanzo changu cha kuaminika kuwa hali iko hivi, sasa sisi tutaamini vipi kuwa ni kweli kuwa hicho chanzo ni cha kuaminika ?? Na habari ni ya kuaminika??

Jamani eeh tuendelee na mambo yetu ukifika wakati muafaka tutawekwa wazi kama ipo haja ya kufanya hivyo.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom