Napinga ujengaji flyover Dar

Napinga ujengaji flyover Dar

Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!

Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.

Tumekosoma kupinga kwako lakini ningekushauri badala ya kupinga hapa JF uende mahakamani ukasimamishe ujenzi unaoendelea hivi sasa. Kama hujui njia za kwenda kufanya pingamizi mahakamani, mtafute mchungaji Mtikila akupe darsa, ana uzoefu mkubwa sana wa mambo ya mahakama na kesi baina yake na Serikali zingine kashinda zingine kashindwa mpaka kafungwa.

Kupinga hapa JF ni kama kumpigia mbuzi guitar hakuna anaeweza kukusaidia zaidi.
 
Wakati familia ndiyo kampuni ndogo kabisa, serikali ndio kampuni kubwa kabisa. Kwahiyo hata serikali inaangalia wapi ikiwekeza pata kuwa na impact kubwa zaidi kwa malengo yake. kwa kuwa lengo la serikali ni kuimarisha standard ya maisha ya wananchi wake basi inaangalia ni wapi ikiwekeza wananchi wengi watafikiwa na huduma lakini wakati huo huo inaangalia ni wapi pataiwezesha kukuza mapato yake. Sasa ukilinganisha tatizo lililopo tazara Dar na hizo barabara za vumbi mikoani utagundua tatizo hilo nikubwa zaidi. Mfano wakati ni watu wachache sana wanaotumia barabara ya Mbeya-Tabora kwa wiki, kuna maelfu ya watu ambao wanaathirika kila siku na tatizo la jam za Dar na hawaathiriki wao tu bali pia makampuni na uzalishaji mwingine. Kwahiyo pamoja na umuhimu wa barabara za kuunganisha mikoa na wilaya lakini tatizo la Jam dar lazima lipewe kipaumbele. Hata hivyo hakuna nchi duniani iliyofanikiwa kubalance huduma katika miji mikubwa na pembezoni, hata zilizoendelea bado huduma katka miji mikubwa yenye uzalishaji mkubwa ni kubwa zaidi kuliko pembezoni.
 
Huyu Jamaa Sijui ni bush man katoka jangwa la Karahali.
 
Unajua ni fedha kiasi gani kinapotea kusafirisha Mzigo wa Biashara kutoka Mbeya kwenda Tabora kwa wiki mbili?
Kulinganisha na dar ni kidogo mno. 80% ya mzunguko wa pesa Tanzania uko Dar, Na hata movement za watu kwenda na kurudi kwa siku ktk barabara za dar ni kubwa mno kulinganisha na barabara ya Mbeya-Tabora ambako hata mtu akiamua kukaa Makongolosi akahesabu magari yanayotumia njia hiyo kwa siku yanaweza yasifike hata 50. Kwahiyo japo kuna watu wanaathrika kibiashara na uzalishaji lakini haiwezi kufikia hasara inayotokana na jam za dar.
 
Wakati familia ndiyo kampuni ndogo kabisa, serikali ndio kampuni kubwa kabisa. Kwahiyo hata serikali inaangalia wapi ikiwekeza pata kuwa na impact kubwa zaidi kwa malengo yake. kwa kuwa lengo la serikali ni kuimarisha standard ya maisha ya wananchi wake basi inaangalia ni wapi ikiwekeza wananchi wengi watafikiwa na huduma lakini wakati huo huo inaangalia ni wapi pataiwezesha kukuza mapato yake. Sasa ukilinganisha tatizo lililopo tazara Dar na hizo barabara za vumbi mikoani utagundua tatizo hilo nikubwa zaidi. Mfano wakati ni watu wachache sana wanaotumia barabara ya Mbeya-Tabora kwa wiki, kuna maelfu ya watu ambao wanaathirika kila siku na tatizo la jam za Dar na hawaathiriki wao tu bali pia makampuni na uzalishaji mwingine. Kwahiyo pamoja na umuhimu wa barabara za kuunganisha mikoa na wilaya lakini tatizo la Jam dar lazima lipewe kipaumbele. Hata hivyo hakuna nchi duniani iliyofanikiwa kubalance huduma katika miji mikubwa na pembezoni, hata zilizoendelea bado huduma katka miji mikubwa yenye uzalishaji mkubwa ni kubwa zaidi kuliko pembezoni.

Nitajie Nchi kubwa iliyoendelea iliyojenga flyover kwanza kabla ya barabara ndogo zinaounganishwa na br kubwa!

Nijuavyo mimi Dunia nzima kasoro sehemu za labda hapa Afrika fylover huwa ni hatua ya mwisho kabisa kwenye ujenzi wa Barabara, hii ni baada ya kuhakikisha hatua zote hza kupunguza foleni zimeshachukuliwa, sasa huwezi kuniambia kwamba unajenga flyover TAZARA kwa mabilioni ya shilingi halafu brb za pembeni zinazounganishwa na hiyo br Kuu ni matope na Madimbwi sasa utakuwa umefanya nini?
Unatoka kwenye flyover na 60 km/saa unaingia pembeni mashimo 5km/saa hiyo foleni itaishaje?

Pili unaangalia mambo kwa wigo mdogo sana, huwezi kusema kwamba umuhimu wa br Mikoani ni mdogo ukilinganisha Dar kwa maana chakula cha Dar kinatoka wapi?
Kama br Mikoani na Wilayani zikipitika chakula kitasafirishwa kwa Urahisi na bei ya Chakula hata huko Dar itashuka Pia, KItasaidia pia kupunguza msongamano Dar kwani Miundo mbinu mizuri inakuza uchumi hivyo kama kukijengwa Br ya kuunganisha kwa mf. Mbeya na Sumbawanga hawa watu wawili watafanya Biashara watazalisha Ajira huko huko na hawana haja ya kuja Dar, kutafuta kazi...

Maligahfi za Tanzania kama Dhahabu, Shaba Tanzania ziko wapi? Si ni Mikoani? Hauoni kama kuna Miundo mizuri huko Mikoani dhahabu inakotoka tuseme Geita itarahisisha usafirishaji na matokeo yake kuzalisha ajira nyingi?
Chukulia mfano kiwanda cha Cement cha Tanga Mjenzi wa Kigoma atafaidika vipi kama br haipitiki? Shule zitajengwaje?

Hivyo Dar ni muhimu kwa sababu ya mambo kama haya ya kutaka kila kitu kipelekwe Dar kwanza na ndio maana huwezi kumwambia Mtu abaki Biharamulo afanye nini, kama kila kitu kipo Dar?
Na kama kila Mtu akija kwa kuwa hakuna anayetaka kupitwa na Fursa hawa watu wataishi wapi? Kumbuka Dar ina 1500 km² tu na Tz nzima 945 000 km²!
 
Kijakazi wa II, inawezekana ikajengwa flyover dar, arusha, mwanza, znz, Dodoma sanjari na hizo barabara ulizozianisha ... Tatizo la CCM ni UFISADI uliopitiliza, kiasi ambacho TRA na Mashirika ya Umma kama TANAPA et al wanakusanya plus mapato ya Madini ni kikubwa sana kuweza kubadili sura ya Tanzania hadi vijijini... Haya yatawezekana CCM iking'olewa madarakani ...
 
Foleni mijini haimalizwi na flyovers bali kwa kuimarishwa usafiri wa umma, kudhibiti magari madogo yenye abiria mmoja mmoja kuingia katikati ya mji na kutawanya sehemu zinazotolea huduma (masoko, ofisi, magereji, shule, vyuo, viwanda) kwenye mitaa, wilaya na mikoa tofauti Vinginevyo foleni itahamia hukohuko juu ya flyovers
Hayo uliyosema ni sawa lakini sambamba na flyovers, waliojenga flyovers kwenye miji yao sio vivutio vya utalii ni ktk juhudi ya kudhibiti msongamano.
 
Kulinganisha na dar ni kidogo mno. 80% ya mzunguko wa pesa Tanzania uko Dar, Na hata movement za watu kwenda na kurudi kwa siku ktk barabara za dar ni kubwa mno kulinganisha na barabara ya Mbeya-Tabora ambako hata mtu akiamua kukaa Makongolosi akahesabu magari yanayotumia njia hiyo kwa siku yanaweza yasifike hata 50. Kwahiyo japo kuna watu wanaathrika kibiashara na uzalishaji lakini haiwezi kufikia hasara inayotokana na jam za dar.

Sasa unajua ni kwanini hali iko Hivyo? Mapato makuu ya Tanzania yanatoka wapi? Dhahabu! Inachimbwa wapi? Unajua ni kwa nini wafanyakazi wa kwenye Machimbo wanakuja kufanya manunuzi Dar? zaidi ya km 800?

Mlipa kodi mkubwa Tz ni nani TBL, unajua maligahfi ya Bia inatoka wapi? Mikoani! Unajua ni kwa nini Bia inapanda bei? moja ya sababu ni upatikanaji wa malighafi, Miundo mbinu mibovu, hivyo kama Mikoani kukiwa na br ya uhakika Malighafi itapatikana kwa urahisi na TBL wataongeza uzalishaji na matokeo yake mapato kuongezeka...
Hapo ananufaika kuanzia muuza mbolea, Mkulima, Muuza mbegu n.k

Nitajie Nchi kubwa iliyoendelea iliyojenga flyover kwanza kabla ya barabara ndogo zinaounganishwa na br kubwa!

Nijuavyo mimi Dunia nzima kasoro sehemu za labda hapa Afrika fylover huwa ni hatua ya mwisho kabisa kwenye ujenzi wa Barabara, hii ni baada ya kuhakikisha hatua zote hza kupunguza foleni zimeshachukuliwa, sasa huwezi kuniambia kwamba unajenga flyover TAZARA kwa mabilioni ya shilingi halafu brb za pembeni zinazounganishwa na hiyo br Kuu ni matope na Madimbwi sasa utakuwa umefanya nini?
Unatoka kwenye flyover na 60 km/saa unaingia pembeni mashimo 5km/saa hiyo foleni itaishaje?

Pili unaangalia mambo kwa wigo mdogo sana, huwezi kusema kwamba umuhimu wa br Mikoani ni mdogo ukilinganisha Dar kwa maana chakula cha Dar kinatoka wapi?
Kama br Mikoani na Wilayani zikipitika chakula kitasafirishwa kwa Urahisi na bei ya Chakula hata huko Dar itashuka Pia, KItasaidia pia kupunguza msongamano Dar kwani Miundo mbinu mizuri inakuza uchumi hivyo kama kukijengwa Br ya kuunganisha kwa mf. Mbeya na Sumbawanga hawa watu wawili watafanya Biashara watazalisha Ajira huko huko na hawana haja ya kuja Dar, kutafuta kazi...

Maligahfi za Tanzania kama Dhahabu, Shaba Tanzania ziko wapi? Si ni Mikoani? Hauoni kama kuna Miundo mizuri huko Mikoani dhahabu inakotoka tuseme Geita itarahisisha usafirishaji na matokeo yake kuzalisha ajira nyingi?
Chukulia mfano kiwanda cha Cement cha Tanga Mjenzi wa Kigoma atafaidika vipi kama br haipitiki? Shule zitajengwaje?

Hivyo Dar ni muhimu kwa sababu ya mambo kama haya ya kutaka kila kitu kipelekwe Dar kwanza na ndio maana huwezi kumwambia Mtu abaki Biharamulo afanye nini, kama kila kitu kipo Dar?
Na kama kila Mtu akija kwa kuwa hakuna anayetaka kupitwa na Fursa hawa watu wataishi wapi? Kumbuka Dar ina 1500 km² tu na Tz nzima 945 000 km²!
Hujaelewa hoja yangu sijasema flyover ndiyo hatua ya mwanzo nimelinganisha kuwekeza dar na mikoani. Sasa kwa suala flyover ni hivi; msongamano husababishwa na sababu nyingi lakini la msingi ni wingi wa magari kulinganisha na barabara na mji ulivyokaa. Kwa dar ilivyokaa pamoja na kuimarisha barabara nyinginezo lakini bado kwasababu shughuli nyingi za kibiashara na kuutawala zinafanyika Posta na kariakoo flyovers ni lazima. Sehemu zote zenye makutano karibu na city center mfano tazara, ubungo na mwenge suluhu ni flyovers maana hata ukiimarisha barabara za Mbezi-kinyerezi, mbezi-tegeta, kiluvya-Gongo la mboto na nyinginezo bado watu hawa wanaelekea city center kwahiyo flyover hazikwepeki. Hoja pekee ni ya kujenga miji mipya pembezoni mwa dar na kutawanya huduma lakini nalo hilo ni gharama zaidi kuliko flyovers na pia litakuja polepole maana ni rahisi kuhamisha ofisi za serikali lakini huwezi kuwalazimisha wafanyabiashara waende unakotaka wewe wao wanaangalia sehemu inayofaa kwa biashara zao. Kuhusu kuimarisha miundombinu mikoani hakuna anayepinga suala linakuja ni wapi kuna wazalishaji wangapi? kwa mtu anayeangalia faida utawekeza kwanza kuliko na wazalishaji wengi. Sasa najua utasema mikoani kuna wazalishaji wengi kwa maana ya wakulima lakini pamoja 80% ya watz ni wakulima lakini mchango wa sekta ya kilimo ktk pato la taifa unazidiwa hata na utalii.
 
Flyover ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi ili kupunguza traffic jam. Unajua ni sh ngap zinapotea kwa siku kwa sababu ya foleni Dar? Pesa itakayookolewa itasaidia kurekebisha huko kwengine.

Unapita BILA KUSIMAMA TAZARA kwavile kuna flyover LAKINI UKIFIKA BUGURUNI UMASIMAMA KWA FOLENI za mataa. Subirini muone gari zimepanga FOLENI HUKO HUKO JUU KWENYE FLYOVER
 
Hujaelewa hoja yangu sijasema flyover ndiyo hatua ya mwanzo nimelinganisha kuwekeza dar na mikoani. Sasa kwa suala flyover ni hivi; msongamano husababishwa na sababu nyingi lakini la msingi ni wingi wa magari kulinganisha na barabara na mji ulivyokaa. Kwa dar ilivyokaa pamoja na kuimarisha barabara nyinginezo lakini bado kwasababu shughuli nyingi za kibiashara na kuutawala zinafanyika Posta na kariakoo flyovers ni lazima. Sehemu zote zenye makutano karibu na city center mfano tazara, ubungo na mwenge suluhu ni flyovers maana hata ukiimarisha barabara za Mbezi-kinyerezi, mbezi-tegeta, kiluvya-Gongo la mboto na nyinginezo bado watu hawa wanaelekea city center kwahiyo flyover hazikwepeki. Hoja pekee ni ya kujenga miji mipya pembezoni mwa dar na kutawanya huduma lakini nalo hilo ni gharama zaidi kuliko flyovers na pia litakuja pole maana ni rahisi kuhamisha ofisi za serikali lakini huwezi kuwalazimisha wafanyabiashara waende unakotaka wewe wao wanaangalia sehemu inayofaa kwa biashara zao.

Tatizo ni kwamba watu kama wewe ndio moja ya sababu kwa nini Afrika hatuwezi kwenda mbele siku zote mnafanya mambo bila kufikiri, nimekwambia kwamba Flyovers siku zote huwa ni hatua ya mwisho baada ya nyingine zote kukamilika hata kama ukijenga flyover Ubungo kama Br za pembeni ni mbovu unakuwa haujafanya kitu!

Nenda Nairobi ukaone wamjenga hizo flyover lkn kwa kuwa nao ni vilaza na hawakufikiri leo kuna foleni si ajabu hata kabla ya flyover kujengwa na hakuna tofauti hata ya 1% waulize Wakenya watakwambia!

Suluhisho la foleni Dar sio flyover bali mambo ya msingi kabisa kwa mfano kwa nini Tegeta kuna foleni wakati ile br inaendelea mpaka bagamoyo?
sababu ni kwamba daladala zinasimama brn, Kwa nini Ubungo, magomeni, Buguruni kuna foleni kubwa ukienda utakuta Daladala zimesimama Brn hivyo tutatue hilo kwanza, tuhakikishe hakuna foleni yoyote inayosabishwa na Daladala kusimama br, tukitoka hapo tuhakikishe kwanza hakuna dereva aneyepita taa nyekundu na kukutana ktk na mwingine na kusababisha foleni, tuhakikishe hakuna dereva anayetanua na kukutana ktktk na kuziba br, tukimaliza hapo tuhakikishe br zote za pembeni zinazounga br kuu zinapitika baada ya hapo kama bado kuna foleni ndio sasa tuhamie kwenye njia mbadala ambao labda ndio itakuwa hizo flyover kinyume na hapo ni kupoteza fedha tu na hakuna Jipya!

Kwa rejesha mawazo yako kwenye theory ya .....Center - Peripheral relations, halafu jiulize jinsi uchumu wa nchi unavyorudi nyuma kwa watu kukaa kwenye foleni muda mrefu - muda wa kazi na mapumziko kupotelea njiani kwa kuchelewa kufika kazini na kurudi nyumbani, mafuta, vipuri n.

Kwa kufikilia ndo zitapunguza Foleni hapo Tazara?bora zingejengwa reli kuzunguka Jiji la dar,pia zikawepo reli zingine Ally Hasan Mwinyi,Kawawa,Morogoro road...hizi flyovers ni ubishooo usio na sababu
 
Tatizo ni kwamba watu kama wewe ndio moja ya sababu kwa nini Afrika hatuwezi kwenda mbele siku zote mnafanya mambo bila kufikiri, nimekwambia kwamba Flyovers siku zote huwa ni hatua ya mwisho baada ya nyingine zote kukamilika hata kama ukijenga flyover Ubungo kama Br za pembeni ni mbovu unakuwa haujafanya kitu!

Nenda Nairobi ukaone wamjenga hizo flyover lkn kwa kuwa nao ni vilaza na hawakufikiri leo kuna foleni si ajabu hata kabla ya flyover kujengwa na hakuna tofauti hata ya 1% waulize Wakenya watakwambia!

Suluhisho la foleni Dar sio flyover bali mambo ya msingi kabisa kwa mfano kwa nini Tegeta kuna foleni wakati ile br inaendelea mpaka bagamoyo?
sababu ni kwamba daladala zinasimama brn, Kwa nini Ubungo, magomeni, Buguruni kuna foleni kubwa ukienda utakuta Daladala zimesimama Brn hivyo tutatue hilo kwanza, tuhakikishe hakuna foleni yoyote inayosabishwa na Daladala kusimama br, tukitoka hapo tuhakikishe kwanza hakuna dereva aneyepita taa nyekundu na kukutana ktk na mwingine na kusababisha foleni, tuhakikishe hakuna dereva anayetanua na kukutana ktktk na kuziba br, tukimaliza hapo tuhakikishe br zote za pembeni zinazounga br kuu zinapitika baada ya hapo kama bado kuna foleni ndio sasa tuhamie kwenye njia mbadala ambao labda ndio itakuwa hizo flyover kinyume na hapo ni kupoteza fedha tu na hakuna Jipya!

Naunga mkono Hoja!ila mimi nataka reli ziongezwe tuwe na reli inayozunguka jiji la dar na nk
 
Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!

Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.

Sadakta mdogo wangu nashangaa kuwa watu wengine wanapendelewa kupatiwa barabara za lami wakati sisi wengine tunasota kwenye mavumbi kama huku kijichi na mbagala. Hata baadhi ya barabara zilizoko maeneo ya kariakoo hazina lami aibu gani hii!

Halafu sote tunalipa kodi zile 22 zilizowekwa kwenye mafuta na barabara sawasawa iweje wenzetu wapendelewe sisi magari yetu kila siku suspension zimekatika kwa kuendesha kwenye mashimo?
 
Kuanzia Nyakanazi mpaka Kidahwe, Kigoma hamna lami ni vumbi mwanzo mwisho aisee.....
 
CattleRustler, Kwa mfano mtu anayeishi Tabata akiwa na chaguo ama kufuata mandela, Nyerere au morogoro unadhani pale external patafurika?
Au tuangalie mtu aliyepo gongo la mboto akiwa na chaguo ama kupitia tandika, nyerere au tabata undadhani nyerere road itafurika? vivyo hivo kwa yule aliepo tegeta, mbagala, sinza na magomeni. Zaidi ya yote kwa nini mtu aliyepo Kinondoni studio alazimike kupitia Magomeni mapipa mara atakapo kwenda kariakoo? Kwa nini mtu aliyepo sinza kwa lemi alazimike kufuata barabara ya Shekilango pekee atakapo kwenda Mahakama ya ndizi?
Ukiangalia mji wa Roma unatumia ramani ilotengenezwa miaka 362BC na barabara zake ukiziangalia kwene ramani utaona zinafanana sana na squarter lakini kwa kuwa zimetengenezwa vizuri kwa kuongeza one way pamoja na kusambaza huduma jijini (badala ya hduma kirundikwa sehemu moja kama ilivyo Dar Es Salaam) then, mji unapitika kirahisi!!

Kuliwa na ubaya gani kujenge lile jengo jipya la utumishi kule sinza au Tegeta au Tandika? Vivyo hivo jengo la jipya la wizara ya Ardhi, Benki Kuu, Mambo ya ndani nk. Hayo majengo yalipata nafasi adhimu sana kuondoa msongamano lakini ubinfsi wa watendaji wa serikali kutaka kuwa city center ndo umesababisha yawe hapo!

Aisee idea yako ni nzuri ilatatizo mji haulipangwa na itakuwa gharama sana kujenga barabara lishi na tawanyishi Kwasababu itaitajika kuvunja na kufidi majengo mengi. Ila nashindwa kujua kwanini watu hawafikirii kujenga train za mjini. Mimi simtaalamu ila naona kama zinabeba watu wengi zaidi na haraka na hazitaitaji kuvunja nyumba nying za watu kuzijenga
 
Flyover is not an option for Dar Es Salaam!
Dar does not have much car to cause jams rather it lack street and feeder roads. drivers are confined in very few alternatives when they plan their journey!
A limited number of feeder and street roads create frustrations to drivers and consequently they disrespect traffic rules.
Take an example of traffic signals and bus bays, can you tell us any one of these features where traffic rules are complied?
Another example is Ubungo Bus terminal; Every morning you anticipate more than 200 buses to exit from a single gate mingling with cars that were sending relatives at the terminal as a result a substantial jam is created both within the terminal and at the Ubungo signal. Have you ever wondered a possibility of diverting some of the buses heading to northern Tanzania from using Morogoro Road to use Sam Nujoma or shekilango through mwenge then tegeta? or delay them by driving through Ubniversity of Dar Es Salaam then kimara meaning introducing another gate at the back of the terminal? Shifting the terminal to somewhere else may not solve the problem because traffic jams are like waves a delay at one point may inflict jams at a distant point!

Hujaelewa hoja yangu sijasema flyover ndiyo hatua ya mwanzo nimelinganisha kuwekeza dar na mikoani. Sasa kwa suala flyover ni hivi; msongamano husababishwa na sababu nyingi lakini la msingi ni wingi wa magari kulinganisha na barabara na mji ulivyokaa. Kwa dar ilivyokaa pamoja na kuimarisha barabara nyinginezo lakini bado kwasababu shughuli nyingi za kibiashara na kuutawala zinafanyika Posta na kariakoo flyovers ni lazima. Sehemu zote zenye makutano karibu na city center mfano tazara, ubungo na mwenge suluhu ni flyovers maana hata ukiimarisha barabara za Mbezi-kinyerezi, mbezi-tegeta, kiluvya-Gongo la mboto na nyinginezo bado watu hawa wanaelekea city center kwahiyo flyover hazikwepeki. Hoja pekee ni ya kujenga miji mipya pembezoni mwa dar na kutawanya huduma lakini nalo hilo ni gharama zaidi kuliko flyovers na pia litakuja polepole maana ni rahisi kuhamisha ofisi za serikali lakini huwezi kuwalazimisha wafanyabiashara waende unakotaka wewe wao wanaangalia sehemu inayofaa kwa biashara zao. Kuhusu kuimarisha miundombinu mikoani hakuna anayepinga suala linakuja ni wapi kuna wazalishaji wangapi? kwa mtu anayeangalia faida utawekeza kwanza kuliko na wazalishaji wengi. Sasa najua utasema mikoani kuna wazalishaji wengi kwa maana ya wakulima lakini pamoja 80% ya watz ni wakulima lakini mchango wa sekta ya kilimo ktk pato la taifa unazidiwa hata na utalii.
 
wewe KIBONA achakufikiri kwa makario dar sio kirakitu hapa tz rejea orodha ya BOT 2013 ya mikoa tajiri yaani yenye fedha tz inavyochangia pato la taifa dar tril 7.5, mza tril 4.1, mbeya tril 3.2 sasa kama dar imeshindwa kuizid mza x2 ndio iwe na 80%
 
Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!

Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.
Pole, ni upeo wako mdogo... kwa bahati mbaya sana, hakuna dalili kama utapona
 
Back
Top Bottom