Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,265
- 14,909
- Thread starter
- #101
hata hiyo reli waliijenga dar kwanza!
SIO KWELI!
hata hiyo reli waliijenga dar kwanza!
Kumbuka miaka hiyo tanaga mzizima bagamoyo kilwa lindi ilihesabika kama jimbo moja tu!Reli ya Kwanza Nchini kwetu ilijengwa kutoka Tanga mpaka Moshi (KLM) na lengo lilikuwa ni kuifikisha mpaka Musoma, halafu ya Kutoka Dar Mpaka Tabora-Mwanza/Kigoma ikafwatia baadae, tena sana tu!
SIO KWELI!
Kumbuka miaka hiyo tanaga mzizima bagamoyo kilwa lindi ilihesabika kama jimbo moja tu!
Nashukuru mkuu nilikuwa sijapaona mahali hapa!Northern bypass ukiingia mjini kama unatokea namboole stadium. Picha hizi hapa
![]()
![]()
![]()
Hii ramani sikubalini nayo! Una maana ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi? Hebu kairekebishe kwanza kabla ya kuipost humu ndani.
Yawezekana kweli mimi sijui kusoma ramani na wewe ni msomi wa ramani zaidi yangu. Hebu nijuze basi mpaka wa Tanzania unaishia wapi katika hiyo ramani ilibandikwa.naona hujui kusoma ramani!!!!!!
hapo hakuna mpaka mbona!.
Kwa mtazamo wangu hizo "flyover" hazitosaidia kivile. Tatizo la foleni Dar kweli ni sababu ya magari mengi na barabara chache, ila lazima tukubali MIPANGO ya kupunguza foleni imekuwa mibovu. Hivyo namuunga mkono mtoa thread. Pia kuna vibarabara "vidogo" vya nje kidogo ya Dar ila ni vya muhimu kweli, vingeboreshwa kwa kiwango cha lami. Mfano: barabara ya mlimani (chuoni) inayotokea Kimara Baruti, Kinyerezi road ingetakiwa ipanuliwe na itengenezwe lami mpaka Mbezi, kisha nyingine toka Kinyerezi ipite mpaka huko Pugu, chanika, mpaka mbagala, kongowe kisha Kigamboni. Yaani hizi ziwe barabara kubwa. Wenye magari wangekuwa na machaguo kadhaa ya kupita wanapoenda au kurudi makwao/ maofisini. Pia ingependeza kama mji mpya wa kisasa (maofisi), ungejengwa huko nje ya Dar mjini, yaani Kisarawe. Foleni zingepungua.
mbona nimesha sema katika ramani hiyo mpaka wa tz na malawi haujaoneshwa...Yawezekana kweli mimi sijui kusoma ramani na wewe ni msomi wa ramani zaidi yangu. Hebu nijuze basi mpaka wa Tanzania unaishia wapi katika hiyo ramani ilibandikwa.