Napinga ujengaji flyover Dar

Napinga ujengaji flyover Dar

Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!

Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.

Mambo ya Kitaalamu, waachiwe wataalamu, hii ni sawa na wakati wa Nyerere ambapo alikuwa anafanya mambo ya ki taalamu bila utaalamu na hatimaye ilisababisha hasara kadhaa hata kupelekea uchumi wetu kuyumba, tusiendeshwe na mihemko, mtu unahemka unataka jambo flani liwe bila kuangalia faida na hasara zake

huko mikoni, inatakiwa yaboreshwe mashamba ili tukuze kilimo sababu tuna ardhi ya kutosha tena yenye rutuba
 
foleni mijini haimalizwi na flyovers bali kwa kuimarishwa usafiri wa umma, kudhibiti magari madogo yenye abiria mmoja mmoja kuingia katikati ya mji na kutawanya sehemu zinazotolea huduma (masoko, ofisi, magereji, shule, vyuo, viwanda) kwenye mitaa, wilaya na mikoa tofauti vinginevyo foleni itahamia hukohuko juu ya flyovers

umenena mkuu.
 
My concern iko mjini, hayo magari yakishafika itakuaje? Parking zikoje? Kwanini hatufikirii na kutekeleza miradi ya kuhamisha baadhi ya huduma muhimu na kuzitawanya maeneo mambalimbali ya jiji? Ni bora vibarabara vinaunganisha njia kuu na vitongoji zingeimarishwa kwanza. Kama naishi Mbweni na ninahitaji kwenda Airport sina haja ya kupita Ubungo.
 
Bavicha kwao upinzani ni kupinga kila kitu.

Na maccm kwao usanii tu, mnataka mkafanyie shooting tazara halafu FaizaFoxy and the like wadocument kuwa ni achievement ya kikwete.
 
Last edited by a moderator:
Ungetupa angalau projection ya barabara kilometa ngapi zinaweza kujengwa kwa gharama za fly over moja ya tazara.

Maendeleo yanawashika pabaya.. that is why kila kizuri mnapinga.. maana dah mnaona vsingizio vina pungua sasa
 
Kuna watu wao ni kupinga tuu.
Siasa zinaturudisha nyuma sana.

Nami napinga. Hamna siasa, ni akili ya kawaida tu. Je huko mjini yatapoelekea hayo magari inakuaje? Natumai kuna mpango madhubuti wa kumudu hayo magari meeeengi yatakayokuwa yanamiminika kwa wingi huko. Hapo nitaelewa na natumai ndivyo ilivyo. La sivyo, na flyover (upper passage) nayo itapitiwa na foleni.
 
Nakuunga mkono, kwanini flyover dar wakati bado nchi hii inatope badala ya lami huko mikoani na wilayani??
 
Maendeleo yanawashika pabaya.. that is why kila kizuri mnapinga.. maana dah mnaona vsingizio vina pungua sasa

Mkuu hata kama hujui kusoma hata picha huwezi kuona? Hizi gali zitakazo pita kwenye hizo daraja za juu na chini zitakuwa zinaelekea wapi? Hizo daraja zitapunguza msongamano wa magari,mimi nilifikili waanzishe mji mpya hata kibaha.
 
It's about 80/20 principle mkuu
Hata walioamua hivyo vijijini kwao huenda hakuna maendeleo bado, ila wanajua umuhimu wa dsm
 
Wazo lako ni zuri pia ni sahihi!
Dar Es Salaam Haihitaji barabara za juu katika kipndi hiki. Dar inahitaji barabara za mitaa (street roads), Barabara lishi (Feeder Roads) na nyongeza ya barabara tawanyishi (Arterial Roads). kwa mfano hivi Sasa Dar in arterial roads nane tu! wakti zilitakiwa angalau ziwe ishirini kwa uwiano wa safari za magari jijini.

Aisee idea yako ni nzuri ilatatizo mji haulipangwa na itakuwa gharama sana kujenga barabara lishi na tawanyishi Kwasababu itaitajika kuvunja na kufidi majengo mengi. Ila nashindwa kujua kwanini watu hawafikirii kujenga train za mjini. Mimi simtaalamu ila naona kama zinabeba watu wengi zaidi na haraka na hazitaitaji kuvunja nyumba nying za watu kuzijenga
 
Napinga ujengwaji wa barabara za juu au flyover Dar, badala yake hizo fedha zipelekwe kwanza Mikoani, Wilayani ambako hamna Barabara, kwa mfano kwenye kuunganisha Mikoa kwa Mikoa kama vile Tabora-Mbeya, Mtwara- Ruvuma, Kondoa-Handeni, Ifakara- Handeni-Lushoto, Arusha- Musoma n.k.
kwa kufanya hivyo kutawezesha pia Watu waishio mikoa mingine kujikomboa kiuchumi, Dar tayari tuko mbali sana kiuchumi ukilinganisha ni mikoa mingine, hivyo haileti maana kuendelea kuwekeza fedha zote hapa Dar!

Halafu isitoshe kabla hata ya kufikiri kujenga hizo flyover kwanza barabara za mitaani zote zijengwe na kupitika kama walivyofanya Barabara za oysterbay,Masaki, ambazo zimewaondelea foleni wakazi wa huko ingawaje uwiano wa watu wenye magali kwa wakazi wa huko ni mkubwa kuliko sehemu yoyote ile ya nchi yetu hivyo basi wajenge kwanza br pia sehemu kama za Sinza, Magomeni, Temeke, Vingunguti, n.k yaani flyover ziwe hatua ya mwisho kabisa.

safi GT

tumepiga kelele wee, kama kawaida yao CCM...akili zao ziko matakoni

what is happening now ni shifting of problem from these junctions to other junctions!! then tutajenga tena flyover kwa ajili ya hizo junctions

by the way undeground ways are superior to flyovers. Unaweza kutumia undeground kwa mambo mengi pia, kutoa maji machafu, electric wires, cables, etc!!!
 
Wasameheni kwani hawajui watendalo bora ungesema mradi wa kukusanya hela ya uchaguzi 2015 kwa jina la mabasi yaendayo kasi usingefanyika wakajenga fly over.Tatizo wasomi ni wengi humu JF
 
safi GT

tumepiga kelele wee, kama kawaida yao CCM...akili zao ziko matakoni

what is happening now ni shifting of problem from these junctions to other junctions!! then tutajenga tena flyover kwa ajili ya hizo junctions

by the way undeground ways are superior to flyovers. Unaweza kutumia undeground kwa mambo mengi pia, kutoa maji machafu, electric wires, cables, etc!!!

hawa watu hawakubali ushauri kabisa vichwa wanafugia. nywele tu
 
umeandika kisomi sana ! Bali usilolijua ni kwamba wenzako wamelenga barabara za maonyesho na wala si kukuza uchumi .
 
Nakuunga mkono, kwanini flyover dar wakati bado nchi hii inatope badala ya lami huko mikoani na wilayani??

mkuu hii ID huwa naichanganya na yule mlipwa elfu 7 Utaifakwanza , dah! Almanusura nikupe kitu , baadaye nikagundua wewe ni kamanda .
 
Mambo ya Kitaalamu, waachiwe wataalamu, hii ni sawa na wakati wa Nyerere ambapo alikuwa anafanya mambo ya ki taalamu bila utaalamu na hatimaye ilisababisha hasara kadhaa hata kupelekea uchumi wetu kuyumba, tusiendeshwe na mihemko, mtu unahemka unataka jambo flani liwe bila kuangalia faida na hasara zake

huko mikoni, inatakiwa yaboreshwe mashamba ili tukuze kilimo sababu tuna ardhi ya kutosha tena yenye rutuba

we ni mwehu wakati wa nyerere
tulikuwa na viwanda vyetu ndege zetu train zetu uda kideko moretco ..sido ..shireku .mmhhhh meli
 
Back
Top Bottom