Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,105
- 2,719
Kwanza niseme nilikuwa sijui kama Makongoro alikuwepo katika CC ya ÇCM. Hawa CC wengi siwafafahamu, hata sasa naweza kumtaja tu Kinana na Wassira.
Lakini kumuondoa Makongoro kutoka CC ya ÇCM ni kama kumuondoa Rahul Gandhi kwenye CC ya Chama Cha Congress.
Nashangaa kabisa kwamba Makongoro, mtoto wa Mwalimu Nyerere anaweza kutolewa CC because of some mechanical rule. Hii inakifanya Chama Cha Mapinduzi kuwa hollow.