napendwa na vibibi vizee

napendwa na vibibi vizee

kitonsa

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
1,213
Reaction score
2,667
kwa ujumla mimi ni janki tu handsome boy, tatizo ninalokutana nalo natembea sana na vibibi vizee..sipendi hii tabia lakini imeshaingia kwenye damu. sababu nadhani ni 1.kuwatongoza kwake ni very simple 2 wanajua kubembeleza kuliko vijana .3 hawana gharama 4.wanajua mambo ya sita kwa sita OMBI langu kwenu wana jf naomba ushauri wenu nitawezaje kuacha tabia hii, kwa sababu nataka kuoa na kuwa na watoto, hawa vibibi vimesha fika meno_pause ivyo hawawezi kunizalia watoto
 
Hautaacha kwa sababu wewe kwanza ni mchawi, pili Unasema vibibi vinajua kubinuabinua vzr kwenye sita kwa sita.
 
acha kwa namna ile ile uliyoanza...
 
Huwezi kuacha kupakuna panapo washa.
Na ngoja hao unaowaita vibibi waamke ndipo utakapojua kwamba maharage nimboga ya serikali
 
Uko Tz ama wapi? Kwa sababu kuna nchi nlikua hahahah wazeee wanatongoza vijana balaa hasa wanajuaga waafrika wanaBigBanana
 
sawa HB....

kwa ujumla mimi ni janki tu handsome boy

may be unakutana na "vicheche" waliojichokea
kuwatongoza kwake ni very simple

cheap is expensive
hawana gharama

HIV is knoking at you
wanajua mambo ya sita kwa sita

ushauri-acha uzinzi...kuacha-ondoa beliefs ulizotaja...kuoa-muombe Mungu kwa imani yako atakujalia
OMBI langu kwenu wana jf naomba ushauri wenu nitawezaje kuacha tabia hii, kwa sababu nataka kuoa na kuwa na watoto
 
Sema unapenda kumlala mama yako usiwaite vibibi. boringo na ngai mariooo.com
 
babu wewe endelea tu kuwafumua ndio type zako Hawa wengine watakuumiza
 
Uongo huu.... Mbona sijasikia umetoka na Sitti Mtemvu?
 
kwa ujumla mimi ni janki
tu handsome boy, tatizo ninalokutana nalo natembea sana na vibibi
vizee..sipendi hii tabia lakini imeshaingia kwenye damu. sababu nadhani
ni 1.kuwatongoza kwake ni very simple 2 wanajua kubembeleza kuliko
vijana .3 hawana gharama 4.wanajua mambo ya sita kwa sita OMBI langu
kwenu wana jf naomba ushauri wenu nitawezaje kuacha tabia hii, kwa
sababu nataka kuoa na kuwa na watoto, hawa vibibi vimesha fika
meno_pause ivyo hawawezi kunizalia watoto

mr handsome uko vizur kabisa wew kavioe ivo vibibi mama yako atafurah sana kwa maisha ulochagua. gud boy.
 
Vibibi kizee yaani viajuza au vigagulaa??? Wamaanisha nini!! Ingekuwa M.I.L.Fs (wamama wa kawaida) ningekuelewa! Vibibi vizeee?? Maze una hitilafu, unahitaji maombi.
 
Back
Top Bottom