Napendekeza route mpya Mbezi Luis - Bunju

Kweli kabisa hata sisi watu wa mpji magoe inakuwa ngum sana kwenda bunju, na zaidi ya yote watuwekee lami
Kwa kweli hii barabara ya Mbezi High school kwenda mpigi magoe ni changamoto kubwa sana. Na hii ingesaidia sana tena sana magari yanayoenda kaskazini kupitia bagamoyo make ni bonge la shortcut. Barabara ni ya Tanroad lakini kuijenga ni mbinde sana. Hili jimbo la Kibamba lina lami chini ya asilimia 2 tu.
 
Yaan unauliza swali juu ya swali
Nakuuliza ww unaesema hiyo ni ruti ndefu sana wakati haizidi hata kms 35 ambako kiuchambuzi ni hivi
Mbezi mwisho hadi njia nne 7kms
Njia nne hadi tegeta 13kms
Tegeta hadi bunju b kati ya 14 au 15 kms ambapo total ni 35kms sasa hebu chukua umbali toka goms hadi masaki ni kms ngapi au mbagara kwenda kawe ni kms ngapi then utajua ipi ni ruti ndefu kati ya hizo
Tegeta nyuki to Mbezi luis ni route ya muhimu sana.
Wahusika wafanye hima barabara iko na lami tayari watoe maelekezo haraka.
Mkuu tayari kuna daladala naionaga tegeta nyuki mbezi via madale ila ipo moja tuu
 
Nakuuliza ww unaesema hiyo ni ruti ndefu sana wakati haizidi hata kms 35 ambako kiuchambuzi ni hivi
Mbezi mwisho hadi njia nne 7kms
Njia nne hadi tegeta 13kms
Tegeta hadi bunju b kati ya 14 au 15 kms ambapo total ni 35kms sasa hebu chukua umbali toka goms hadi masaki ni kms ngapi au mbagara kwenda kawe ni kms ngapi then utajua ipi ni ruti ndefu kati ya hizo

Mkuu tayari kuna daladala naionaga tegeta nyuki mbezi via madale ila ipo moja tuu
😄😄 Assingment yako nimefanya mkuu na yafuatayo ni majawabu
Goms to masaki ni 34-35 km
Mbagala to kawe 24-27 km
 
Safi sana basi kumbe inawezekana kukawa na ruti mbezi luis bunju b hata nauli wakiweka buku si mbaya kwani itapunguza ile kero ya kuunga unga daladala kwani hiyo nauli ya buku ndo wanayotuchaji usiku kutoka mwenge sheli hadi bunju b na tushaizoea
 
Nakuuliza ww unaesema hiyo ni ruti ndefu sana wakati haizidi hata kms 35 ambako kiuchambuzi ni hivi
Mbezi mwisho hadi njia nne 7kms
Njia nne hadi tegeta 13kms
Tegeta hadi bunju b kati ya 14 au 15 kms ambapo total ni 35kms sasa hebu chukua umbali toka goms hadi masaki ni kms ngapi au mbagara kwenda kawe ni kms ngapi then utajua ipi ni ruti ndefu kati ya hizo

Mkuu tayari kuna daladala naionaga tegeta nyuki mbezi via madale ila ipo moja tuu
Na vipi muda unaoutumia kukaa barabarani
 
Safi sana basi kumbe inawezekana kukawa na ruti mbezi luis bunju b hata nauli wakiweka buku si mbaya kwani itapunguza ile kero ya kuunga unga daladala kwani hiyo nauli ya buku ndo wanayotuchaji usiku kutoka mwenge sheli hadi bunju b na tushaizoea
Safi dulla ila swali langu la msingi niliomba upendekeze bei ya nauli
 
Back
Top Bottom