Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

Umeishi uchagan sehemu gani kaa ukijua wachaga wapo tofaut kuna wale weupe wembamba wana nywele ndefu na sura nzur,Kuna wale wenye miguu ya bia iliyojaa na shepu haswaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna mchaga alie na mguu wa via au shepu labda kama baba msukuma au muhaya mama mchaga ndo anaweza akawa na element hizo kidooogooo lakini sura sikatai mnazo mmebarikiwa sana vingine usitudanganye sisemi kwakuwa mi msukuma no nasema jinsi ilivyo ahahahaha
 
Acha kukariri umeshaenda Rombo ukawaona wachaga wa huko jins walivyokua na shepu na miguu ya bia
 
Mhhhh hizo sifa mmekariri kutana nao uishi naoo,, kwanza ni wabaguz na roho mbaya kwa mtu asiye Msukuma mwenzao. Pili wanaume wanapenda kila mwanamke sio Mke tu akinogewa huko anamleta mpk mwanamke ndani na mkewe yupo . mwisho most of them IQ yao ipo very low
Cc geniveros njoo uthibitishe hizi sifa.
 
Hata mie nilishashuhudia mdada akiwa na bwana wakisukuma, Jama alikuwa ni Mpole flani, Wanajali na pia ni wasafi yani wanapenda unadhifu, au labda nilomuona mie wa kidar es salaam.
 
wanajua kupenda but washamba mapenzi.kitandqn nguvu nyingi ujuzi zero
 
Kumbe sijakosea kwa SUMA pendaga sana my bp.
 
Mtu yoyote ni mzuri, na ana ubaya wake.

Mtu mzuri ni yule alie lelewa katika misingi mizuri kutoka kwa walezi wake.

Na mtu mbaya ni yule alie lelewa katika misingi mibaya na walezi wake.

Binafsi nikimuona mtu yoyote najiona mimi.

Hivyo siwezi kumfanyia kitu nisicho kipenda mimi.

Na hata nikikukwaza ni kwa bahati mbaya, na ni mwepesi wa kuomba msamaha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom