Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

Mm wasukuma na wakurya jmn nawaelewa mnoo kwa kifupi watu wa kanda ya ziwa wana jua kupenda ukiacha kua wana wivu sana
 
Yes or no.
NOTE: mwanaume popote alipo kama hana vitu hivi ni northing.haijalishi ni kabila gani

1:Iq
2: mtafutaji(pesa)
3: kujiamini (confidence)
4: msafi
5: mcha mungu
 
358ed01584c3dd904a75561ae2a9e946.jpg





Wasukuma mupoooooo
Msukuma + Mhaya = Mashaallah
 
Naona E="Kapyungu A, post: 18174197, member: 300095"][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wachaga wanakuja shauri yako[/QUOTE Naona anatubip hatujui wachaga tulivyo
 
Naona umekuja kuniongelea huku. Lakini usemayo ni kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom