Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

Tatizo lenu ni washamba mixer wachafu
Vingine mnajitahidi
Hayo maneno tu hakuna mtu ambae sio mchafu wala sio mshamba uchafu ni jadi ya mtu tu kwasababu wapo kabila wengine mbona wachafu uchafu ni hulka ya mtu yani
 
Tatizo lenu ni washamba mixer wachafu
Vingine mnajitahidi
Pumbavu zako uchafu upi kwa wasukuma?
358ed01584c3dd904a75561ae2a9e946.jpg





Wasukuma mupoooooo
 
Napenda wanaume wakisukuma sana wanaupendo wa dhati..!!nimeshudia tu kwa rafiki yangu..mpka nimetamani ..WASUKUMA HONGERENI KWAKWELI.
Unaweza kupika ugali wa mhongo aka udanga maana test ya kwanza ni hiyo ya pili unajua kupenda cc tukipenda tumependa ukizingua tu nyumba ndogo inafata ,km unaweza karibu
 
Back
Top Bottom