Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

Ni ajabu kumsifia mwanamke mwenzangu??

Binadamu bhana

Mwanamke mwenzangu huyo huyo nikimkashifu tunaambiwa wanawake hatupendani
Sawa mkuu,mimi nikafikiri huwa unakula wanawake wenzako kama vile kobra anavyokula nyoka wenzake![emoji1]
 
Huyo rafiki yako nimemdanganya tu mimi sio msukuma kabisa.
 
Wasukuma hawana upendo wa dhat ila wanalazimishwa na maumbile yao kwan asilimia 95 hawatahiliw so wanaona akikuacha wew ambae unamfichia siri ya gov lake anahis hawez pata mwingin kama wew
Kumbe jf kuna vilaza weng
 
Tatizo lao hawajui kumuandaa mwanamke kabla ya ku duuu, wanarukia rukia tuuuu hata kabla mwanamke hujalainika🙁🙁
 
Wasukuma hawana upendo wa dhat ila wanalazimishwa na maumbile yao kwan asilimia 95 hawatahiliw so wanaona akikuacha wew ambae unamfichia siri ya gov lake anahis hawez pata mwingin kama wew
Kwani govi ni ulemavu?? [emoji1] [emoji1]
 
Mhhhh jaman hao wasukuma vip huwa wanapretend tu kwa muda moyo simba sura mwanakondooo ndo scopion pia msukuma
 
Napenda wanaume wakisukuma sana wanaupendo wa dhati, nimeshudia tu kwa rafiki yangu, mpaka nimetamani.

WASUKUMA HONGERENI KWAKWELI.
Hyo ndo sifa kuu ya wasukuma,wengne wanasifka kwa ujambaz na kufanya ndug zao ndondocha
 
[emoji23] [emoji23] Hapana bhana asee... Kwenye ubaguz na roho mbaya hapo nakataa.. Njoo ardhi ya usukumani uone makabila Mengine ambavyo wanaishi ma kufanya biashara na shughuli zingine kwa Amani na upendo.. Wachaga na waha watakuwa mashahidi.. Ukarim kwetu ni namba moja, we cjui umeishi na wasukuma wa dar..
Labda kwa kuwa wameish mjini ,[emoji23][emoji23][emoji23] ila sikutegemea maana mnasifika vizur kuja kuish nao nkaona km shetwanii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom