Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

Sitaki mwanaume wakisuma ata wa bure, wanakuonyesha mapenzi, anakufanya unajiachia mwili, akili na roho afu mwisho wa siku ni wanaume ambao ni mala.ya natural so utajikuta ukilia kila siku
Teh teh teeeh!! Sasa si ndio maana anakuonyesha mapenzi ili usistukie huo umalaya wake! Hiyo ni sifa ya wanaume wengi malaya.
 
Wabheja Sana ...hujakokosea

Hata wew karbu kwenye himaya Ya ngosha wa mbanga..

[emoji125] [emoji125] ukitaka ndoa njoo pm[emoji39] [emoji39]
 
Mhhhh hizo sifa mmekariri kutana nao uishi naoo,, kwanza ni wabaguz na roho mbaya kwa mtu asiye Msukuma mwenzao. Pili wanaume wanapenda kila mwanamke sio Mke tu akinogewa huko anamleta mpk mwanamke ndani na mkewe yupo . mwisho most of them IQ yao ipo very low
[emoji23] [emoji23] Hapana bhana asee... Kwenye ubaguz na roho mbaya hapo nakataa.. Njoo ardhi ya usukumani uone makabila Mengine ambavyo wanaishi ma kufanya biashara na shughuli zingine kwa Amani na upendo.. Wachaga na waha watakuwa mashahidi.. Ukarim kwetu ni namba moja, we cjui umeishi na wasukuma wa dar..
 
Kumbe unalitambua hilo!! wasukuma hawana makuu na wanapenda marafiki.Kila kitu ni 'nduhu taabu'hata kama ana pingu mkononi.
 
Ukiwa mshamba lazima uoneshe sana upendo ili usiachwe.
 
Tatizo nywele tu hawana bora wanyamwezi wameachiwa mbegu za kiarab wamemix
 
Wasukuma hawana upendo wa dhat ila wanalazimishwa na maumbile yao kwan asilimia 95 hawatahiliw so wanaona akikuacha wew ambae unamfichia siri ya gov lake anahis hawez pata mwingin kama wew
 
Ata wanawake wa kisukuma wazuri pia. . .umbo,miguu ya ukwel mixer sura nzuri
Mhhhhhhh!!......Rafiki una tabia ya kula wanawake wenzako kama kobra anavyokula nyoka wenzake?[emoji30]....mbona wasifia wanawake wenzako???[emoji24]
 
Mhhhhhhh!!......Rafiki una tabia ya kula wanawake wenzako kama kobra anavyokula nyoka wenzake?[emoji30]....mbona wasifia wanawake wenzako???[emoji24]
Ni ajabu kumsifia mwanamke mwenzangu??

Binadamu bhana

Mwanamke mwenzangu huyo huyo nikimkashifu tunaambiwa wanawake hatupendani
 
Ni ajabu kumsifia mwanamke mwenzangu??

Binadamu bhana

Mwanamke mwenzangu huyo huyo nikimkashifu tunaambiwa wanawake hatupendani
Sijaona kosa, usiharibu siku yako muhimu kwa ustawi wa maisha yako na taifa lako, puzia na endelea na mengine my dear joanah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom