Yelonasikia mnanukia ng'ombe ng'ombe je ni kweli?
Mzigo mkubwa MPE mnyamwezi au mkwele.Mkwele oyeeHapo umenena sasa. Wasukuma kwa kweli tuna upendo wa dhati na mimi mwenyewe ni mmoja wapo...!!!
Na pia tu wachapa kazi sana !![]()
Mkwele ni nini mkuu? Ni aina ya mnyama ama?Mzigo mkubwa MPE mnyamwezi au mkwele.Mkwele oyee
Makavu liveTatizo lenu ni washamba mixer wachafu
Vingine mnajitahidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]acha kutudanganya unadhani sijAishi uchagani mm? Sura wanazo kweli sikatai tena asilimia mia zote ila tuje kwenye makalio , hips na miguuu utacheka ahahahahaa ahahahahaaHuyo mchaga uliemweka cjui wa wap kwa kweli hujakutana na mwanamke wa kibosho ww utaomba poo lazma ugeuze shingo
Acha kutupeperushia ndege..kwanza unapata faida gani ukisema haya.Mhhhh hizo sifa mmekariri kutana nao uishi naoo,, kwanza ni wabaguz na roho mbaya kwa mtu asiye Msukuma mwenzao. Pili wanaume wanapenda kila mwanamke sio Mke tu akinogewa huko anamleta mpk mwanamke ndani na mkewe yupo . mwisho most of them IQ yao ipo very low
Uchaf na usafi na tabia ya mtu mmoja mmoja,usitugeneralize mkuuTatizo lenu ni washamba mixer wachafu
Vingine mnajitahidi
Ulitaka niwape sifa msizo nazo?? Mfano mzuri muangalie tu mkulu ana rohombaya na anapenda kusifiwa sifa asizonazo ukimkosoa kidgo tu atakykomesha, ni km ww ulivyojidhihirisha hapa kutaka sifaAcha kutupeperushia ndege..kwanza unapata faida gani ukisema haya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]acha kutudanganya unadhani sijAishi uchagani mm? Sura wanazo kweli sikatai tena asilimia mia zote ila tuje kwenye makalio , hips na miguuu utacheka ahahahahaa ahahahahaa