Napenda wanawake wenye vitambi

Napenda wanawake wenye vitambi

Mabonge wana joto saiv ni msimi wa baridi na mvua tuache tusifiwe jamani

Hao wembamba wamepoa km nini akijua kuna mechi anajiotesha moto ili apate joto

kama ni hiyo ktk avatar huo sio ubonge huo mwili wa wastani, kuna wale vibonge kuanzia 100kg
 
Nimetokea kupenda kufanya mapenzi na wanawake wenye matumbo makubwa(vitambi).


Sio siri wanawake wa aina hii wana joto sana yaani ukiwa unashika shika nyama za tumbo mzuka unapanda fasta.
Unaumwa wewe si bure..!
 
Mkuu nataka nijue kwakweli nakuja inbox unijibu tu
Ujue nn na wakati umewapondea wanaume wanaotumiliki wanawake kwenye vitambi kwamba wana moyo mgumu kama mashabiki wa arsenal
 
Kwa mara ya kwanza JF nimeona na sisi wengine tumekumbuka afadhali loooooh!!!!
 
kuanzia leo nitaanza kujidai kumbe kuna wanaovifagilia vitambi eeh nilikuwa sijui hili vitambi oyee
Kila umbo lina mashabiki wake kilamtu asubiri hapo hapo watakuja mashabiki wako wanaopenda ulivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom