Napenda wanawake wenye vitambi

Napenda wanawake wenye vitambi

Anavyolipenda sasa hili tambi yaan najiuliza alikuwa wapi siku zote halafu ananiambia shunie mm napenda sana kitambi chako yaan ukijilaza chali kinajigawa
Wololo hee hee hee hapo hata
Sifui dafu Bora umekataa mm na
Tambi maji na mafuta at ukilala chali
Linajigawa
 
Hii itakuwa promo....maana jamaa anajua kabisa demand ya wenye vitambi ni ndogo sana, Kwa hiyo hii ni njia moja wapo ya kuwavuta.
 
kuanzia leo nitaanza kujidai kumbe kuna wanaovifagilia vitambi eeh nilikuwa sijui hili vitambi oyee

hakuna lolote......punguzeni hivyo vitambi jamani.....kwa hali ilivyo ngumu tunahitaji kuwakunja hata kwenye vigari vyetu tumalizane...sasa nyie ni shughuli kuwakunja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom