Napenda sana wa sampuli hii,wewe je??

Napenda sana wa sampuli hii,wewe je??

inabidi uuze chaga za kitanda yenu ununue za mninga... vinginevo kila siku mweleka..
 
Kikikikikik, unapenda sana kuitwa MZEE? Maana siku hizi hata vijana unakuta wanataka waitwe wazee wa baiskeli, au mzee wa ulaji, mzee wa....!
Haya mkuu tufanye umeshinda basi ili isiwe taabu maana kubishana si jambo ambalo nalihusudu kama wewe
 
Mie huwa napenda wale ambao hawapendwi na watu wengi,nakula peke yangu.
 



sisi tumelipa mahari na kuwaweka ndani moja kwa moja ili tufaidi pekeetu...!!
Maisha ni haya haya,na siku zote ni haya haya,kula vizuri kunahusika saana mkuu.
 

Attachments

  • JOTI.jpg
    JOTI.jpg
    9.4 KB · Views: 95
Ni wazuri sana ila muda mwingine wanakera.
Mijinyama inakuwa mingi mpaka anashindwa kuonyesha maujuzi wake kwe sita kwa sita.
Mijingine inakuwa na maugonjwa mengi mpaka yanakera.
Mijingine ndo inaona ndo kitega uchumi chao.

Ila msinirushie mawe ni Mtazamo tu.

Naunga mkono hoja.
Sitii neno zaidi, ili wakija kukurukia iwe ni wewe tu.
Ila yana ladha yake kwenye macho..

Ngoja nisiseme, bado niko kazini mimi!
 
ugojwa mmoja na mimi huo, mkuu umeamua kuja kutuliza huku mambo ya gas?

mkuu henge kumbe tunashare the same interest??

Basi tufurahi na tufurahie,viumbe hawa tumeumbiwa siee..!!
 
naunga mkono hoja.
Sitii neno zaidi, ili wakija kukurukia iwe ni wewe tu.
Ila yana ladha yake kwenye macho..

Ngoja nisiseme, bado niko kazini mimi!

sasa mbona mjini wamekuwa wana soko kubwa zama hizi??
Wana nini cha ziada,mimi nipige uniue kwa hao sibanduki,hata mke ni wa sampuli hii hii..
 
yepi hayo??

Yale yalee au,ya kubonyesha kizenjii??

hayo hayo ya kubonyezwa kizenjii wanakua hoiii hata round 1 haishi utasikia nimechoka bwana eeeeee mamaaa vp mbona ndo kwanza nipo nusu ya safari kulikon hao wanafaa wenyewe kwa wenyewe
 
hayo hayo ya kubonyezwa kizenjii wanakua hoiii hata round 1 haishi utasikia nimechoka bwana eeeeee mamaaa vp mbona ndo kwanza nipo nusu ya safari kulikon hao wanafaa wenyewe kwa wenyewe

dooh,,sasa kama ni wenyewe kwa wenyewe si watatoana roho moja kwa moja??
Tena kwa mali aliyowapa baba...!!
 
Kumbe unamjua dada yako alivyo? Wacha bwana! Anyway mke wangu hayuko kihivyo. She is easy to handle and attractive.

Hahahahaha! wiyelele angekuwa hivyo kama hapo kwenye Red , ungehangaika kweli? au unauziga?
 
Back
Top Bottom