Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 799
Uwiiiiii...Nadyia shemeji yangu hii picha yako imefikaje mikononi mwa THE BIG SHOW? umekosa nini kwa kaka mpaka uanikwe humu JF! Uwiiiiiiii...mbaaa!
Alalalalalalalal hii ikilala usingizi usiseme! Kila likigeuza linaachia hewa chafu utaskia tsuiiiiiii
Kumbe unamjua dada yako alivyo? Wacha bwana! Anyway mke wangu hayuko kihivyo. She is easy to handle and attractive.
Hahahahaha! wiyelele angekuwa hivyo kama hapo kwenye Red , ungehangaika kweli? au unauziga?
uwiiiiii...nadyia shemeji yangu hii picha yako imefikaje mikononi mwa the big show? Umekosa nini kwa kaka mpaka uanikwe humu jf! Uwiiiiiiii...mbaaa!
Ndio maana unataka ubaki na gesiiii, nimegundua! LOL
Yan nikimuona tuh huwa nakuwa hoi bin taaban,
mke si ndio huyu??
Ni wazuri sana ila muda mwingine wanakera.
Mijinyama inakuwa mingi mpaka anashindwa kuonyesha maujuzi wake kwe sita kwa sita.
Mijingine inakuwa na maugonjwa mengi mpaka yanakera.
Mijingine ndo inaona ndo kitega uchumi chao.
Ila msinirushie mawe ni Mtazamo tu.
Hapo inategemea ntu na ntu!
Una nyota ya Punda?Yan nikimuona tuh huwa nakuwa hoi bin taaban,
mke si ndio huyu??
vi-portable for me
![]()
Au mwalimu anatutega na avatar yake?Weeh mdogo wangu unamtega mwalimu eeh? gfsonwin, njoo huku.
una nyota ya punda?
Au ndo mambo ya....?
Hewalaah, kamebinuka utamu kweli haka..!vi-portable for me
![]()