Napenda sana wa sampuli hii,wewe je??

Napenda sana wa sampuli hii,wewe je??

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,775
Reaction score
15,129
Yan nikimuona tuh huwa nakuwa hoi bin taaban,

mke si ndio huyu??

attachment.php
 

Attachments

  • SAMPULI HII.jpg
    SAMPULI HII.jpg
    24.5 KB · Views: 3,459
Ni wazuri sana ila muda mwingine wanakera.
Mijinyama inakuwa mingi mpaka anashindwa kuonyesha maujuzi wake kwe sita kwa sita.
Mijingine inakuwa na maugonjwa mengi mpaka yanakera.
Mijingine ndo inaona ndo kitega uchumi chao.

Ila msinirushie mawe ni Mtazamo tu.
 
Alalalalalalalal hii ikilala usingizi usiseme! Kila likigeuza linaachia hewa chafu utaskia tsuiiiiiii
 
Kumbe unamjua dada yako alivyo? Wacha bwana! Anyway mke wangu hayuko kihivyo. She is easy to handle and attractive.
Sasa uliyajuaje hayo yote mkuu Wiyelele?Au ndio mambo ya kuchakachua nje ya mahusiano uliyonayo?
 
Sasa uliyajuaje hayo yote mkuu Wiyelele?Au ndio mambo ya kuchakachua nje ya mahusiano uliyonayo?

Inaelekea wewe ni mtoto kabisa! Yaani hata kama umeoa ulikwenda tu Kariakoo na kujizolea mke?
 
Angalia usije kuwa unaongea na baba yako?

Kikikikikik, unapenda sana kuitwa MZEE? Maana siku hizi hata vijana unakuta wanataka waitwe wazee wa baiskeli, au mzee wa ulaji, mzee wa....!
 
Naomba jina la hamira alioitumia na mie nimpe huyu bibiye wa kwangu ili afure kama huyo apo! (picha ya kwanza)
 
Back
Top Bottom