Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

Halafu, wewe unasema mimba ilikuwa negative, mara uliporudia ikawa postive na ulipom-search ukamkuta na kikopo.

Kwahiyo ukaridhika na majibu yapi? Kwanini msingepima damu ili waone hormonal levels?

Wewe mtu wa Marekani mwenye uwezo wa mamilioni ulienda Hospital au Zahanati?
Mkuu msamehe hajui matumizi ya "ana" na "Hana" Ila yupo Marekani anatangaza lugha yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ningekuwa wewe simu yangu moja tu hanisumbui tena na angeniogopa kama ukoma.
Lakini wewe mleta mada unafeli wapi? Una hela kama unavuojinasibu lakini reasoning hujui.
Umeshinda hata kutumia laki moja kukopesha usumbufu wake?
Mimi siamini kama kweli Umeshindwa mpaka unalia humu jf.
Labda kuna mengine nyuma ya pazia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndo unadai mchumba wako? Ulimvalisha mpaka Pete?
Pole sana hpo ukikutana na mtu yupo kazini mission yake haijaikamilisha bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap. Uko sahihi. Sitabisha hilo. Nilikutana naye kwenye sherehe fulani ya harusi nikaona ni mdada mchapa kazi sana alikuwa anasaidia sana hapo siku hio. Ila ni gia tu za kujionesha sababu baadaye kwangu nilivyoondoka kusariri, nikaambiwa wala kazi akawa hafanyi. Anaangalia tu TV siku nzima.
 
miminimama,
Tanzania hakuna sheria za kuzuia stalking. Na pia sitaki kutumia ukatili wa kumfanyizia. Ila nimekuja hapa kupata mawazo na labda nafikiri mtu anaweza kujitokeza kwamba anafahamu ni mtoto wa nani. Nitasikiliza ushauri wako hata kama ni kutumia hela kiasi kikubwa. Polisi niliwatumia mwanzoni hawakunisaidia sana. Niwatumie tena? Kwa namna ipi. Asante kwa mchango wako
 
Pia nashukuru waliotoa ushauri wa DNA kuituma tokea USA au kutumia za wazazi kulinganisha. Pia kuhusisha familia na familia. Nitaangalia hilo. Lakini nina uhakika mtoto sio wake. Kwa hio pia usha
Mimi ningekuwa wewe simu yangu moja tu hanisumbui tena na angeniogopa kama ukoma.
Lakini wewe mleta mada unafeli wapi? Una hela kama unavuojinasibu lakini reasoning hujui.
Umeshinda hata kutumia laki moja kukopesha usumbufu wake?
Mimi siamini kama kweli Umeshindwa mpaka unalia humu jf.
Labda kuna mengine nyuma ya pazia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia nashukuru waliotoa ushauri wa DNA kuituma tokea USA au kutumia za wazazi kulinganisha. Pia kuhusisha familia na familia. Nitaangalia hilo. Lakini nina uhakika mtoto sio wake. Kwa hio pia ushauri wa kutumia PRIVATE INVESTIGATOR ni mzuri pia. Nilipe mtu amfuatilie ajue ni mtoto wa nani. Nitawajuza updates yake.
 
Halafu, wewe unasema mimba ilikuwa negative, mara uliporudia ikawa postive na ulipom-search ukamkuta na kikopo.

Kwahiyo ukaridhika na majibu yapi? Kwanini msingepima damu ili waone hormonal levels?

Wewe mtu wa Marekani mwenye uwezo wa mamilioni ulienda Hospital au Zahanati?
Mkurugenzi badirisha kwanza mtazamo wa kizamani. Hivi mtu akiwa majuu tu anakiwa na mamilioni siyo?mtazamo ni potofu
 
Anawasumbua kwani wao wanamhusu vipi? Mbona Kama hujitambui mzee? Hakuna walinzi wa kumzuia hapo ofisini? Inaonekana Kama kuna vitu unaficha. Kama mtoto ni wako lea

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna geti na ukuta. Lakini anakuja kuja tu hapo kuulizia kama nipo nk. Huwa anakaa kimya muda, halafu ghasia zinarudi. Ana mapepo kwa kweli. Hata hio kuja tu kwa geti sipendi. Nilishamsahau kabisa ila ni kama jini ambalo linatafuta gia mbalimbali za kuwa katika maisha yangu. Sitaki kabisa mawasiliano, kumwona, kuwasiliana naye nk. Na sasa ndio anatumia ndugu nao
 
Mkurugenzi badirisha kwanza mtazamo wa kizamani. Hivi mtu akiwa majuu tu anakiwa na mamilioni siyo?mtazamo ni potofu
Uko sahihi. Hata kama mamilioni yapo, sio ya kuchezea. Bado watu tunapambana kukuza kampuni nk. Kila hela ina mradi muhimu wa kuifanyia. Na sio kuchezea kwa mademu kama huyu
 
Kaka hapo uliingia mkenge....ukimwangalia vizuri huyo mwanamke ana vigezo vyote vya ubaharia a.k.a chama la wana....Ninachokushauri mpotezee tu,waambie na ndugu zako ukweli wampuuze tu ashakuona unatingishika ndo maana anakutingisha.

NB:punguza hizo USA kwenye maelezo mkuu,unatuumiza moyo sisi masikini tusio na hatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa USA zipungue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom